mwanaume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Miss Halima

    JamiiForums Tanzania Juma lokole anakwambia wolper na mulky vita ni kubwa ya kugombania mwanaume isarito

    Lokole anadai kuwa Mulky na Wolper wamekuwa wakishushiana maneno mazito huku Isarito akitajwa kuwa kiini cha mvutano huo. Baadhi ya kurasa za burudani pia zimeanza kuripoti madai hayo, hali inayofanya sakata hilo kuendelea kuwa gumzo kwenye mitandao.
  2. Sodoku Myebusi

    JamiiForums Tanzania Kila mwanaume aliumbwa awe Msodoku kisha Myebusi

    Msodoku ni mwanaume rijali na ngangali hasa mwenye mfumo dume na mkakamavu. Anayejua majukumu yake ni kumlinda mwanamke. Wanaume waliumbwa hivyo wawe Wasodoku kisha Wayebusi. Basi tu wakaja kengeuka na kuwa Wapashiwa.
  3. Sodoku Myebusi

    JamiiForums Tanzania Myebusi ni toleo la kwanza na la Mwisho la Mwanaume

    1. Myebusi siyo romantic. Huwezi mkuta Myebusi anabembeleza demu au anakuwa romantic. Yupo very strict and calm. Ila anajua sana kulea familia. 2. Myebusi hakimbii mtoto au mke. Myebusi unaweza mkuta anawatoto hata 10 wote atawahudumia vizuri na wake mke wake bila shida 3. Nlisema Wayebus...
  4. John Sin

    JamiiForums Tanzania Mwanaume anaetetea wanawake kwenye kila jambo, ukiwa serious ukamtongoza anaweza kukubaliki

    Huu ni utafiti wangu hasa nilifanya kupitia mnyama fisi na nilibase kwenye mambo ya homoni za testosterone na progesterone Ambapo fisi jike ana testosterone nyingi kuliko dume na uume pia Hii theory nataka niifanye kazi kwa hawa wanaume wanaotetea sana wanawake katika kila jambo bila kuangalia...
  5. Miss Halima

    JamiiForums Tanzania Card B; Siwezi kumpikia mwanaume kama una njaa si uagize

    Rapa machachali wa Marekani, Cardi B mwenye watoto wanne, ameweka msimamo wake wazi kabisa kwamba kwasasa hawezi kabisa kumpikia wanaume, na akiwa na njaa anaweza kuagiza chakula kupitia Uber Eats. Kauli yake imezua mjadala mkubwa mtandaoni kwa kasi, huku baadhi ya watu wakiiona kama ishara...
  6. Natafuta Ajira

    JamiiForums Tanzania Kwahiyo mkeo ni baby mama wa mwanaume mwingine?

    Imagine kuunga tela kwenye familia ya mwanaume mwingine wakati unaweza kuanzisha familia yako Kwanini ujiingize kwenye Mgogoro usiokuhusu? Una haraka sana ya kuoa? Umekosa mwanamks wa kuanza nae mechi 0-0? Imagine wakati lile bao la mimba linaingia mkeo alivyomshikilia baba mtoto kwa nguvu ili...
  7. Miss Halima

    JamiiForums Tanzania Mambo 3 Yanayoweza Kumfanya Mwanamke Ajivunie Mwanaume Aliyenaye

    Katika uhusiano, mwanamke hawezi kujivunia mwanaume kwa sababu tu ya sura yake au uwezo wake wa kifedha. Mara nyingi, fahari ya mwanamke hutokana na namna mwanaume alivyo, kile alichonacho na zaidi namna anavyomtendea mwanamke aliye naye. 1. Vile alivyo Tabia na utu wa mwanaume vina nafasi...
  8. Miss Halima

    JamiiForums Tanzania Aina ya mwanamke ambaye kila mwanaume anatamani kumpata

    Je, ni kweli kwamba kila mwanaume anatamani mwanamke mwenye uzuri wa kuvutia tu, au kuna sifa nyingine zinazomfanya mwanaume amtamani mwanamke kwa ajili ya maisha ya muda mrefu? Je, mwanaume anatafuta mwanamke anayemheshimu, anayempa amani, anayejua kuwasiliana vizuri na anayebaki naye wakati...
  9. Miss Halima

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kumtengenezea mwanaume hofu ya kukupoteza

    Thamani yako kwake inategemeana na Kiasi cha hofu aliyonayo. Asipokuwa na hofu atakutreat vyovyote atakavyoona inafaa. Haya ndiyo mambo utakayoyafanya Kukusaidia uweze Kumtengenezea hiyo hofu. 1. Muoneshe wanaume wanaokutaka wanamzidi yeye. Hii haitakiwi Kwa kiburi wala dhihaka, bali Kwa namna...
  10. Yoda

    JamiiForums Tanzania Mwanamke kuomba na kutegemea pesa za mwanaume ni ishara ya umasikini au wajibu wa wanaume?

    Wanawake kuomba pesa ni kwa sababu wao ni masikini na tegemezi zaidi kwa wanaume au kwa sababu ni wajibu wa wanaume kuwapa pesa wanawake wao bila kujali utofauti wa hali zao za uchumi / ukwasi ?
  11. Teremaro

    JamiiForums Tanzania Daktari wa maswala ya uzazi kwa mwanaume

    Habari Wana JamiiForums, naomba kujua Daktari mzuri ama hospital inayotibu maswala ya uzazi wa mwanaume! Asante sana
  12. figganigga

    JamiiForums Tanzania Chalamila Ondoa ICD Mjini kama wewe Mwanaume. Acha kuonea Madereva

    Dereva akimchana live Chalamila MY TAKE Chalamila kaagiza Malori yote yanayo egesha kando ya barabara yakamatwe. Lakini ICD zote zipo kando ya barabara na hazina Parking. Maseva 50 wanaweza kukutana wote kwenye ICD ili washshe au wapakie. Unategemea nini kitatokea. Mfano MOFAT saaa hivi...
  13. Sakwe

    JamiiForums Tanzania Je, mwanaume ulishawahi kugeuzwa mchepuko na ukachukulia poa?

    Asalaam waleyikum wanajamvi! Wakuu poleni na kazi na hongereni, malengo yetu nikufikisha pato la trilioni 1 kama taifa hivyo tusiache kuchapa kazi Wakuu nilikuwa na mahusiano na mdada huyu mrembo hatari ila baada ya misiguano ya hapa na pale tulishia kuachana huku chanzo ikiwa ni mimi fast...
  14. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Mwanaume, kabla ya kuhonga mwanamke, umpendaye, umemtumia mama yako pesa maradufu kuliko ya kumpa mwanamke wako. Hakikisha umejiridhisha wewe kabla ya

    Mama ni mmoja tu, na upendo wake hauna kifani. Mimi babu yenu Bujibuji Simba Nyamaume na miaka yangu 64, kuna binti anahongwa na Bwana wake, tena kijana barobaro kabisa, anakuja kunipa mimi hizo hela, eti ni nyingi sana hawezi kwenda nazo kwao. Mwanaume kabla hujahonga, hakikisha umejipenda...
  15. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania "Nataka mwanaume sahihi" - "sahihi ni Pesa"

    Ewe kijana , ukiwa una mahusiano unayotaka yawe ndoa, mwanamke anakuzungusha kila siku , anakwmbia subiri na anawaambia marafiki zake anasubiria "mwanaume sahihi" basi zingatia neno "sahihi" maana yake ni "pesa" Huna hela kaa pembeni , Ndoto ya kila mwanamke ni kuishi maisha ya kwenye tamdhilia...
  16. Baba mtakatifu91

    JamiiForums Tanzania Mwanaume ni kichwa cha familia, usipoteze ubaba wako kwa upofu wa mapenzi

    Natumai mpo poa wadau leo ningependa kuwapa codes wanaume wenzangu waliooa na ambao hamjaoa someni hizi sheria 1.Hutakiwi kueleweka sana kwa mkeo(fanya kama upo upo tu) muache atumie nguvu kujua wewe ni mtu wa namna gani. 2.Mkeo hatakiwi kujua kipato chako na hata akijua usimwambie unaingiza...
  17. John Sin

    JamiiForums Tanzania Ni laana kulea mtoto wa mwanaume mwenzio anaepumua kwa bondi ya mbunye kutoka kwa mamaake

    Bora ukaathiri yatima Hela zako bora unywe pombe Ukishindwa kabsa kampe mwamposa Ukzidiwa sana nenda riverside Kama vipi bora humchangie kanji ujenzi wake kule Mumbai Lakn kulea mtoto wa mwanaume mwenzio ambae bado anavuta oxygen hapa dunian ni ulofa wa kiwango cha lami
  18. realMamy

    JamiiForums Tanzania Mwanaume hodari anajua kumdekeza mke/Mpenzi wake

    Nyumba sio kambi ya kijeshi wala sehemu ya kutoa amri. Ni mahali pa upendo, utulivu na furaha. Mkeo au mpenzi wako ndiye mshirika wako wa maisha. Baadhi ya wanaume hujifanya ni makamanda wa Jeshi nyumbani kwa kutoa amri za hapa na pale. Mfano "Nipe maji ya kunywa" "Niwekee maji...
  19. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kutaka bikra kwa mwanamke utakayemuoa ni Haki yako kama mwanaume.

    KUTAKA BIKIRA KWA MWANAMKE UTAKAYEMUOA NI HAKI YAKO KAMA MWANAUME. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Usione aibu kuulizia bikira kwa mwanamke unayetaka kumuoa. Muulize tuu unaogopa nini? Muulize kama hana anajihisi vipi kama utamuoa huku akiwa hana bikira. Sikiliza mtazamo wake. Hapo...
  20. Mwizukulu mgikuru

    JamiiForums Tanzania Inawezekana mwanaume akuumize binti mrembo kama wewe😏

    hii kauli imeharibu mahusiano ya wanawake wengi na kuwatoa kabisa kwenye ramani..
Back
Top Bottom