mwanamke

  1. T

    JamiiForums Tanzania Rafiki yangu kaniaminisha mwanamke aliye kwenye mahusiano huwezi kuchati mpaka saa nane usiku

    wakuu ni Adje. Mechi ya South Africa na Nigeria tulikuwa tunacheki mshkaj wetu mmoja akawa kuna demu anamfukuzia, sasa mpaka usiku mrefu anachat nae akawa anatuambia demu anasema yupo na mtu wake. Jamaa wangu mmoja akajibu hivi. Hakuna mwanamke aliyepo kwenye mahusiano na anaishi na mwanaume...
  2. JamiiForums Tanzania Mwanaume ukipata chance ya kula pesa za mwanamke zile sana sharti huyo mwanamke asiwe mama yako au ndugu yako

    Ni ngumu Mwanaume kula hela ya mwanamke Ila Kuna nyakati nafasi inapatikana ushauri ukipata hiyo nafasi we kula pesa. Kuna wanawake wenye pesa Ila kichwani sifuri wengi wapo mijini hawa ni kula mbususu Zao na hela Zao hadi akili ziwakae Sawa. Dunia imekua katili sana dhidi ya Mwanaume Ina bid...
  3. JamiiForums Tanzania Nampeleka Mahakamani Mwanamke niliyezaa naye kwa kushindwa kumhudumia mwanaye. Hoja nitakazopeleka Mahakamani ni hizi

    NAMPELEKA MAHAKAMANI MWANAMKE NILIYEZAA NAYE KWA KUSHINDWA KUMHUDUMIA MWANAYE. HOJA NITAKAZOPELEKA MAHAKAMANI NI HIZI. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Lazima naye ahudumie. Sikumtuma abebe mimba na anizalie mtoto. Wakati tunafanya alivyokuwa anajichetua, kujibinjua, kubiringita, kujipogoa...
  4. JamiiForums Tanzania Ukishazoea kushi na mwanamke ni ngumu sana kumudu maisha ya Ubachela

    Natumia nguvu nyingi sana nisimoigie yule mwanamke ila sijui kama ntafanikiwa, Upweke ni jambo gumu sana
  5. JamiiForums Tanzania Huwa nawaambia na nasema tena: Mwanamke sio mbadala wa nyeto

    Kama una uraibu wa nyeto, kuoa au kuwa na mademu wengi sio suluhisho. Nyeto haiingiliani popote na K. Kuna clip iliwahi kuvuja ya waziri mmoja wa Kenya anapiga nyeto ofisini akijirekodi. Yule ni Waziri, ana mke na access ya demu yeyote muda wowote ila anapiga nyeto. Juzi imevuja clip ya Drake...
  6. JamiiForums Tanzania Mwanamke muigizaji wa filamu za ngono (porn) atalii Iran, akaribishwa kwa mbwembwe

    Tafuteni hela, hizi sheria kali za kidini huwa dhidi ya maskini tu...
  7. JamiiForums Tanzania Je ni sawa mwanamke kuwa na vinyweleo vingi mikononi kama mwanaume?

    Hii kitu inanishangaza sana, nipo mkoa X ambapo ndipo makazi yakudumu yalipo ila sikai sana sababu ya kazi zangu, lakini ninakutana na mambo ambayo nadhan yanasababishwa na mabadiliko ya tabia ya nchi au sijui ni hormonal imbalance kwa wadada. Nilipoingia huu mkoa wiki 2 zimepita nilienda...
  8. JamiiForums Tanzania Ulimi wa mwanamke vs chui

    Unaambiwa ulimi wa chui ni mgumu kiasi kwamba unaweza kutoa rangi kwenye ukuta na kusaidia kutoa ngozi kwenye wanyama anaowakamata. Lakini cha kushangaza ulimi wa mwanamke ni hatari zaidi kuliko ulimi wa chui. Wanawake mmetishaaaa
  9. R

    JamiiForums Tanzania Kila mwanamke ninayetembea naye uolewa; nina nyota ya ndoa nimesaidia wengi waliokata tamaa

    Kuna mambo ukisimulia watu wanaweza wasiamini ila yapo. Nimetafakari sana kuhusu kusaidia kuolewa kwa wanawake. Nimekuwa nikikutana na wanawake wengi tunajadili maisha hasa sehemu za ulabu. Matokeo yake zaidi ya wanawake 85 niliokutana nao wakiwa na changamoto ya kutoolewa nikatembea nao...
  10. JamiiForums Tanzania Mwanamke anamaumivu na akikuumiza anakuumiza kweli

    sisi wanaume waongo ila mwanamke anamaumivu na akikuumiza anakuumiza kweli kwa hiyo wanaume tusiwatendee sana vbaya wanawake.
  11. R

    JamiiForums Tanzania Mwanamke na mwanaume waliosimamishwa kwenye mkutano na Makonda siyo wanandoa na wala hakuna anayewafahamu. Walitokea wapi?

    Yule mama aliyesema ametengana na mme wake na kwamba anakosa pesa ya kula imebainika ni bosheni ya mzee baba kutafuta kick. Kwanza hawa wafu siyo wenyeji wa kanda ya ziwa, lakini pia yule mwanamke na mwanaume inasemekana walikuwa na usafiri wao kwenye mkutano ila mwanamke akawa anajidai hana...
  12. JamiiForums Tanzania Acha kushindana na Mwanamke

    Unashindanaje na kiumbe ambacho kina nyoa nyusi halafu kinajichora nyusi na Wanja? Unashindanaje na kiumbe ambacho kinakata kucha halafu kinajiweka kucha bandia? Unashindanaje na kiumbe ambacho kinavaa mini skirt halafu anahangaika kuivuta chini ili iwe ndefu? Unashindanaje na kiumbe ambacho...
  13. JamiiForums Tanzania Straight Talk: Mwanaume toa ushauri wa moja kwa moja kwa mwanamke kuhusu jambo lolote lile

    Habari WanaJamiiforums, Poleni na majukumu ya hapa na pale 🤝, Imekuwa kawaida Wanawake kulalamika kwamba wanaume hawaangalii wala kutilia mkazo kikamilifu kuhusu shida zao. Lakini ukweli ni kwamba kuna mambo ambayo wanaume nao wanatamani wanawake wajue baadhi ya mambo:- |-• Wanaume wengi...
  14. JamiiForums Tanzania Mwanamke mwenye faida na mwanamke mzigo katika mahusiano au ndoa

    Mahusiano mazuri au ndoa imara inategemea na aina ya mtu uliyenae katika mahusiano au ndoa husika. Naomba niwape siri moja ambayo pengine dada yangu umekuwa ukiichukulia kawaida na kuendelea kuwaita wanaume wote mbwa kumbe kosa ni lako mwenyewe. Na kaka yangu pengine na wewe umeendelea...
  15. JamiiForums Tanzania Mwanamke atakayepata Marks kuanzia 75% anaweza kuwa Mke wangu

    Kwema wakuu! Ngoja tupitishe muda kwa stori kidogo. Zifuatazo ni vigezo na Marks ambazo Mwanamke yeyote aki- score kuanzia 75% anaweza kuwa mke wangu. 1. Awe Mwanamke Mrembo na Mzuri ( Marksi 30) I. uzuri wa sura 10% ii. Shape 👉🏼 Kibindo, Chura aka msambwanda wa kati 10% iii) Rangi maji ya...
  16. JamiiForums Tanzania Mke wangu msaliti

    Nina mchumba angu tulipanga mwezi wa tatu niende kwao nikajitambulishe ila kuna kosa analifanya hajataka kubadlika. Mwezi wa tisa alichat na mhuni nikamkanya na alilia sana wakati anaomba msamaha, nikasamehe. Mwez wa kumi karudia the same nkaamuru abadili namba ya simu akafanya hivyo. Juzi...
  17. JamiiForums Tanzania Hakuna uhusiano wa ukubwa wa maumbile ya mwanamke na kuzaa kwake au kufanya sana sex

    Based on true story/ based on experience. Kama ilivyo kwa wanaume wenye vibamia na ma tango, the same kwa wanawake, ni suala la ki maumbile zaidi na kukiko kimazingira period.
  18. JamiiForums Tanzania Video: Huyu ndio Mwanamke asietaka kumpikia Mume wake

    Wengi mnamjua kama Diva The Bawse, huyu Mwanamke anajiita Rihanna na pia bila kusahau anajiita Beyonce. Huyu Beyonce wa Bongo hataki kumpikia wala kumfulia Mume wake, kwa mujibu wa hii Video. ANGALIA VIDEO HAPA 📹 ZamaradiTv
  19. JamiiForums Tanzania Trump atakiwa kumlipa mwanamke aliyemdhalisha Kiongono Tsh. Bilioni 211

    MAREKANI: Mahakama imeagiza Rais wa zamani, Donald Trump kumlipa fidia ya zaidi ya Tsh. Bliloni 211, mwanamke aliyetambulika kama E Jean Carroll ambaye alimshtaki Trump kwa madai ya kumnyanyasa Kingono mwaka 1990. Kwa mujibu wa uamuzi wa Mahakama, Mgombea Urais huyo wa Republican atalazimika...
  20. L

    JamiiForums Tanzania Dalili za mwanamke anayechepuka kwenye mahusiano(Ndoa)

    1.kubadi ratia yake ya Kila siku ghafla.mafano kama alikuwa anarudi home saa kumi na ukaona anarudi mara saa tatu ya usiku ,mara saa nne. 2.kujibu majibu ya kejeli au matusi Kwa mwanamume wake mfano ;kati ya wanaume na wewe ni mwanamume. 3.Matumizi kuongezeka ghafla,kuwa na income ambayo source...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…