Ulimi wa mwanamke vs chui

Majighu2015

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
2,924
3,904
Screenshot_20240205-072025.jpg

Unaambiwa ulimi wa chui ni mgumu kiasi kwamba unaweza kutoa rangi kwenye ukuta na kusaidia kutoa ngozi kwenye wanyama anaowakamata. Lakini cha kushangaza ulimi wa mwanamke ni hatari zaidi kuliko ulimi wa chui. Wanawake mmetishaaaa
 
Mwanamke alijipeleka kwa dakitari kufanyiwa body checkup ya afya kama utaratibu wa kawaida aliojiwekea! Akapimwa kisukari, pressure, n.k. Alafu daktari akamwambia anaingia hatua nyingine Physical checkup ampapo alikagua ndani ya sikio pua na macho alafu akamwambia "ebu nikaangalie kakiungo kanakoletaga shida saana kutoka kwenu wanawake. Mwanamke ghafla kainama na kuvua chupi na kupanua mapaja tayari kwa kukaguliwa! Dakitari kashanga?? Unafanya nini? Akamjibu "si ulisema unaendakagua kakiungo kanakosababishaga shida saana? Daktari kasema sio huko! Nilimaanisha "ulimi" achama niangalie afya ya ulimi na kinywa! 😔🤣😄😄
 
Mwanamke alijipeleka kwa dakitari kufanyiwa body checkup ya afya kama utaratibu wa kawaida aliojiwekea! Akapimwa kisukari, pressure, n.k. Alafu daktari akamwambia anaingia hatua nyingine Physical checkup ampapo alikagua ndani ya sikio pua na macho alafu akamwambia "ebu nikaangalie kakiungo kanakoletaga shida saana kutoka kwenu wanawake. Mwanamke ghafula kainama na kuvua chupi na kupanua mapaja tayari kwa kukaguliwa! Dakitari kashanga?? Unafanya nini? Akamjibu "si ulisema unaendakagua kakiungo kanakosababishaga shida saana? Daktari kasema sio huko! Nilimaanisha "ulimi" achama niangalie afya ya ulimi na kinywa! 😔🤣😄😄
😂
 
:D:D hawa viumbe hawa, kimsingi hata wao wenyewe hawaelewi wanataka nini.
 
Madhara ya ulimi wa mwanamke.
Unavunja ndoa,wanaume kushinda bar,maboss wakali maofisini,vifo vyao,kupigwa kwao,vifo vya mapema kwa wanaume,wanaume kuoa mke WA pili,unasambaratisha familia,unaleta magonjwa,ndo chanzo cha upungufu wa nguvu za kiume kwa wengi.
 
Hapo anaongelea maneno. Kwamba mwanamke ana uwezo wa kutumia maneno kukuangamiza
Maneno ya mwanamke siyo ya kusikilizwa sana, Mwanamke anategemea Ushauri kutoka kwa mwanamke mwenzie, kwa hiyo ukiona unapewa Ushauri na mwanamke ujue ameshauriwa na mwanamke mwenzie.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom