Chini ya jua, hakuna mwanamke mgumu. Mwanamke anayekukubalia kirahisi ni bora kuliko anayekuzungusha

AlphaMale

JF-Expert Member
Oct 26, 2019
613
1,402
Nyota nzuri ya mahusiano mara nyingi huonekana mwanzo wa mahusiano, enyi wanaume wenzangu ukijichunguza vizuri, utagundua kuwa wale wadada uliowatongoza, halafu wakakukubalia haraka na wakakupa papuchi kirahisi, mara nyingi ndo walidumu na wewe kwa mda mrefu, kama mliachana bhasi, basi ni wewe uliwaacha, au wewe ulikua pasua kichwa ndo ukaachwa.

Mwanamke akikupa papuchi kirahisi haimaanishi kuwa na wanaume wengine wanapewa kirahisi kama ulivopewa wewe, kuna vidume vinamtongoza huyo mdada hata SMS hawajibiwi, au wanajibiwa SMS kwa ukali, kwenye swala la kupewa papuchi au kukutana tu mahali, hao vidume wengine wanapigwa kalenda.

Mdada akikuzungusha sana wakati wa kutongoza huyo inabidi uwe makini nae, hata akija kukubali, atakubali kwasababu hakuwa na option ingine, au atakubali kwasababu unampa hela a.k.a anaona una maisha mazuri ya kifedha

Kwamfano, ww na mdada hamjawahi ku-sex ndo kwanza mmeonana, siku chache baada ya kuchukua namba yake ya simu unamwita gheto, au mahali flani mkutane, anatoa visingizio ili asionane na ww, Mara yuko busy, Mara hakuamini, etc, jiulize..kama huyo mdada angeitwa gheto na Justin bieber, au male celebrity crush wake, angetoa hivyo visingizio anavokupa wewe?

Tafakari, chukua hatua
 
Kumekucha..😅

Bwana na atufanyie wepesi sisi me ili tuwafahamu ke..!

Kwa maana nae alinena toka ktk ubavu wetu alimtwaa mwanamke,nae awe msaidizi wetu.
Badala yake wamekuwa wakitufungulisha nyuzi hasubui pevu namna hii..😜
 
Nyota nzuri ya mahusiano mara nyingi huonekana mwanzo wa mahusiano, enyi wanaume wenzangu ukijichunguza vizuri, utagundua kuwa wale wadada uliowatongoza, hlf wakakukubalia haraka na wakakupa papuchi kirahisi, mara nyingi ndo walidumu na wewe kwa mda mrefu, kama mliachana bhasi, basi ni wewe uliwaacha, au ww ulikua pasua kichwa ndo ukaachwa.

Mwanamke akikupa papuchi kirahisi haimaanishi kuwa na wanaume wengine wanapewa kirahisi kama ulivopewa wewe, kuna vidume vinamtongoza huyo mdada hata SMS hawajibiwi, au wanajibiwa sms kwa ukali, kwenye swala la kupewa papuchi au kukutana tu mahali, hao vidume wengine wanapigwa kalenda.

Mdada akikuzungusha sana wakati wa kutongoza huyo inabidi uwe makini nae, hata akija kukubali, atakubali kwasababu hakuwa na option ingine, au atakubali kwasababu unampa hela a.k.a anaona una maisha mazuri ya kifedha

Kwamfano, ww na mdada hamjawahi ku-sex ndo kwanza mmeonana, siku chache baada ya kuchukua namba yake ya simu unamwita gheto, au mahali flani mkutane, anatoa visingizio ili asionane na ww, Mara yuko busy, Mara hakuamini, etc, jiulize..kama huyo mdada angeitwa gheto na Justin bieber, au male celebrity crush wake, angetoa hivyo visingizio anavokupa wewe?

Tafakari, chukua hatua
Pole sana kiongozi naona umeandika kwa hisia sana itakuwa imekukuta.

Sent from my SM-G965U using JamiiForums mobile app
 
Duniani kuna watu wa aina nyingi na kila mmoja na tabia zake.

Kuna wanaume hawapendi akitongoza akubaliwe same day, akikubaliwa hudhani mwanamke ni malaya. Kuna wanaume wengine asipokubaliwa na mwanamke haraka hukata tamaa na kuamua kuacha kumfuatilia.
 
Kwa ushauri wako yupi bora anaekubari mapema au anae zinguazingua
 
IMG_20200621_211417.jpg
 
Back
Top Bottom