Imenishangaza: Dunia ya leo bado kuna wanaume wanapigana mpaka kuuana kisa mwanamke?

Paploman

JF-Expert Member
Apr 13, 2019
1,720
3,237
Nimesikia Habari za Chuo cha Utumishi Tanga, Vijana wamezichapa hadi mmoja akaaga dunia kisa binti Sauda Hussein waliyekuwa wanachangia kimapenzi.

Bado najiuliza huyu Sauda alikuwa na utamu kiasi gani? Mpaka hii mijemba kuona chuo kizima ni yeye tu wengine hawafai mpaka wakaanza kumgombania.

Mimi hata nimfumanie mke wangu analiwa achana na ile njia halali hata iwe kinyume na maumbile siwezi kufanya upuuzi wa kupigana, sanasana nitawapa uhuru wa kuwapisha ili walane vizuri.

Kijana, wazazi wanauza kila walicho nacho huko kijijini ili wakupe elimu unaenda kupigania mapenzi?

Sina haja ya kumpa R.I.P aliyekufa, hawa ni WAPUMBAVU.

Poleni sana wazazi wa hawa watoto, mmepoteza mali zenu kuwapa elimu na mitoto imekuwa MIPUMBAVU
 
sijawahi bt mambo ya emotional feeling ni hatari sana mkuu
Mkuu mimi ni mchakataji haswa wa hizi papuchi kabla sijapunguza na kuoa, nilishawahi kufumania wapenzi wangu mara kadhaa, sikuwahi hata kuinua mdomo kumtukana nageuzia majeshi kwingine.

wapo waliotembea na marafiki zangu wa karibu na wala sikuleta noma ya kuua urafiki.

Ni upumbavu kupigana kisa mapenzi
 
Unaweza kupigana kisa mwanamke?
Wewe sema uliyenaye umemchoka unatafuta sababu za kumuacha ili umpate atakaye kupa sababu ya kupigana hadi ufe.

Mbali na yote ugomvi wa jinsi hii upande mmoja ndio unashida wewe mtu unamkimbia anakufuta nyuma akituhumu umechukua demu wake huku akikutolea maneno makali unajikuta unazichapa sio kwa sababu ya mbunye bali kwa maneno makali anayoyatoa mwenzako. Ila kupigania demu ni umama sana.
 
Acha hoja za kitoto.Unakuta dume lenzako limekuwahi liko ndani kwa nini usiaondoke ukaanzishe koloni kwingine

Kupigana kisa mwanamke ni uzwazwa, haya faida ya hao waliyoipata ni nini?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom