Mwanamke acha kushiriki na Mwanaume wa aina hii

WilsonKaisary

JF-Expert Member
Apr 4, 2017
392
946
Unajituma mwenyewe ukienda kwa boyfriend wako unamfanyia usafi, unampikia,unamfulia nguo, halafu kwa unampa na mapenzi moto moto unajikunja mwenyewe kwenye sex mtoto wa watu viuno feni mwenyewe na kilio juu cha mahaba unampa mpaka style za akiba za kwenye ndoa mpaka unataka kuvunja mgongo hadi shetani anakaa kando kujifunza toka kwako halafu baada ya yote hayo unatoka umechoka mpaka nyonga zinakuuma, boyfriend wako anakusifia na kukuambia kwamba atakayekuoa atafaidi kweli🏃🏾‍♂️🏃🏾‍♂️🏃🏾‍♂️🏃🏾‍♂️🏃🏾‍♂️🏃🏾‍♂️😁

Hapo utaamini kweli uchawi upo na aliyewaroga wanaume alishakufa🏃🏾‍♂️🏃🏾‍♂️🏃🏾‍♂️. Jitunze mwaya, kiendelee kuwa mnato, kinukie mpaka kwa majirani huko hakuna kumpa huduma za mke mwanaume ambaye hajakuoa.

Hakuna kumvulia chupi na kumchanulia miguu janaume gumegume ambalo halitaki kukupa na kukuvika taji la thamani ya uanamke wako yaani ndoa

2020 ndoa bila kuvua chupi inawezekana. Uamuzi ni wako jiamini, jithamini na jifunze heshima yako baki ya utamu wako usitanue kizazi bure kwa mwanaume suruali
 
Jina ka la kiume ila maandiko ya ke vile. Hakuna msichana wa kudanganywa tena kihivyo unavyotaka. Bila kuonja nikupeleke wapi miye?? Njoo kwanza upigweh miti hadi uvimbiwe ndo ndoa. Nnani avute ndani bila kuona ukitema mate hovyo? Nije nikaoe debe tupu?
 
Pole sana mkuu kwenye hyo style ya akiba ndio ilikua karata yako ya mwisho ya kukupeleka kwenye ndoa nayo umeitoa

We kaa pmbeni kunywa maji ya baridi yaliyoganda upooze machungu na sio kuwaaribia mabahari!
 
Unaona wivu wanawake wanavyotufanyia sio? Au ujapata wa aina hiyo anayemaliza shughuli zote? Acha tuendelee kula raha sisi. Kama huyo wako akufanyii hivi tafuta anaye fanya hivyo ufurahie maisha uache ng'ong'o mzee..
 
Acha wivu mtoto wakiume
tapatalk_1590264400840.jpeg
 
Unajituma mwenyewe ukienda kwa boyfriend wako unamfanyia usafi,unampikia,unamfulia nguo,halafu kwa ujinga wako unampa na mapenzi moto moto unajikunja mwenyewe kwenye sex mtoto wa watu viuno feni mwenyewe na kilio juu cha mahaba unampa mpaka style za akiba za kwenye ndoa mpaka unataka kuvunja mgongo hadi shetani anakaa kando kujifunza toka kwako halafu baada ya yote hayo unatoka umechoka mpaka nyonga zinakuuma,boyfriend wako anakusifia na kukuambia kwamba atakayekuoa atafaidi kwelihapo utaamini kweli uchawi upo na aliyewaroga wanaume alishakufakitunze mwaya,kiendelee kuwa mnato,kinukie mpaka kwa majirani huko hakuna kumpa huduma za mke mwanaume ambaye hajakuoa,hakuna kumvulia chupi na kumchanulia miguu janaume gumegume ambalo halitaki kukupa na kukuvika taji LA thamani ya uanamke wako yaani ndoa.2020 ndoa bila kuvua chupi inawezekana.Uamuzi ni wako jiamini,jithamini na jifunze heshima yako baki ya utamu wako usitanue kizazi bure kwa mwanaume suruali
Unawaharibia mabaharia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom