Mwanamke jiko bana, kwingine tutaelekezana tu

CONTROLA

JF-Expert Member
Sep 15, 2019
6,939
22,971
Sina maneno mingi mingi leo ila napenda tu kusema na kuwambia kina mama/dada zetu kwamba sisi wanaume hamna kitu tunapenda na kukifurahia kama chakula cha nyumbani ambacho ni kitamu kilichopikwa kwa ustadi na level za ki 5 star hotel.

Mambo mengine yotee huko tunaweza kuelekezana ila jikoni ni eneo lenu bwana hebu jitahdini sekta hiyo, hamna kitu inauma na kutia simanzi unaacha hela ya kutosha chakula kitamu halafu unarudi home unakuta umepikiwa chakula cha kambini ki ukweli inauma.

Japo mnatulishaga kwa mahaba na kutudekeza ila niwambieni tu tunakulaga basi tu ila kula vyakula vya kambini nyumbani inatia simanzi kubwa sana,Nyumbani ndio mwisho unajua,nimeshinda kazini mchana yote nimekula kula sehemu tofaut tofaut ninaporudi home tunatamani tukutane na vitu vitamu mezani hata kama ni mboga ya nyanya bila nyama uwezekano wakuipika ile mboga ikawa kama imepikwa kwa mchuzi wa nyama huo uwezo upo bana "hamjaamua tu"

sasa punguzeni kutubebisha,juhudi zenu zihamishieni JIKONI unajua hata tukishba tukafurahia chakula mtu ukashushia maji aaah hata ukienda uwanjani dakika 90 unakimbia vizuri sana tu na huchoki.ila pigo za kutulisha michemsho vitu vimekorogwa korogwa tu aah mnazingua.

Stress za mume zinaondolewa na msosi mtamu tena ulopikwa na wewe maza mjengo sio dada wa kazi,linapokuja swala la matumbo yetu fahamuni nyie ndio wajibu wenu kuhakikisha kinachoingia mmekithibitisha.

Nyie chukulieni poa JIKO,endeleeni hivyo hivyo halafu mtaona kifuatacho ITV.
 
Napenda sana mwanaume anaye-appreciate chakula.

Chakula ni kama tendo la ndoa na vinaendana. Jinsi unavyosifia mapishi ya mkeo unampa moyo kesho na wiki ijayo anaongeza maufundi jikono.

Unapomsifia mumeo kwa mauno na mikito anayokupa kitandani wallahi usipoweka kikinga mimba utakuwa unazaa kama wapemba. Maana mwanaume atahamasika kila mara na wasaa aupatao akupe mtungo wa maana.

Kama ilivyo chakula kina mapishi tofauti tofauti na kadha kadha wa kadha kadri mpishi atavyotaka pishi lake liwe ndivyo na tendonla ndoa, lina style kadha wa kadha kadri watumiaji walivyo na utayari wa kugeuka mkao wowote na kuongezeana hamasa ya kula bila kukifu wala kuvimbewa.

Vyote chakula na tendo la ndoa hunogeshwa na chachandu..... 😋😋😋

Hakuna asiyependa kusifiwa, sifa mubashara pale mlaji unapopata ladha murua na pale unapoona kasoro mrekebishe mpishi kosa dogo dogo kesho aboreshe zaidi na si kumdhihaki au kumkebehi, haifai.

Kasinde mie napenda kula msosi mtamu (nauandaa kiufasaha) na napenda Mahaba Matata.

K’ Matata.
 
Kweli kabisa hakuna raha kama unapika chakula mtu anakula na anakisifia yaan huwa nafurahi sana na kunipa nguvu ya kupika na kujifunza aina tofauti ya vyakula, Yaan mimi jikoni huwa sitaki aingie mtu mwingne yan kila mda nataka nipike mimi tu..

Sema kupika ni kama kipaji na ukipenda na kukifurahia unachokifanya bas hakuna chakula kitakachokushinda kupika.. Mimi nina dada angu mkubwa tumelelewa pamoja ila ikija kwenye suala la kupika utadhan tumelelewa tofauti maana hajawah kujua kupika kabisa na saiz ana miaka km 27 lakin hajui kusonga hata ugali wa watu wawili.
 
27 yrs hajui kupika? hata mimi namzidi huyo special case
 
Napenda sana mwanaume anaye-appreciate chakula.

Chakula ni kama tendo la ndoa na vinaendana. Jinsi unavyosifia mapishi ya mkeo unampa moyo kesho na wiki ijayo anaongeza maufundi jikono.

Unapomsifia mumeo kwa mauno na mikito anayokupa kitandani wallahi usipoweka kikinga mimba utakuwa unazaa kama wapemba. Maana mwanaume atahamasika kila mara na wasaa aupatao akupe mtungo wa maana.

Kama ilivyo chakula kina mapishi tofauti tofauti na kadha kadha wa kadha kadri mpishi atavyotaka pishi lake liwe ndivyo na tendonla ndoa, lina style kadha wa kadha kadri watumiaji walivyo na utayari wa kugeuka mkao wowote na kuongezeana hamasa ya kula bila kukifu wala kuvimbewa.

Vyote chakula na tendo la ndoa hunogeshwa na chachandu..... 😋😋😋

Hakuna asiyependa kusifiwa, sifa mubashara pale mlaji unapopata ladha murua na pale unapoona kasoro mrekebishe mpishi kosa dogo dogo kesho aboreshe zaidi na si kumdhihaki au kumkebehi, haifai.

Kasinde mie napenda kula msosi mtamu (nauandaa kiufasaha) na napenda Mahaba Matata.

K’ Matata.
Mambo mrembo..?😉
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom