Mparee2 JF-Expert Member Joined Sep 2, 2012 Posts 3,290 Reaction score 5,769 Jan 15, 2022 #1 Sifa Awe na umri wa miaka 33 na kuendelea Awe Muislam na anajitegemea (mfanyakazi/mfanya biashara) Asiwe kwenye Ndoa Sifa zingine karibu pm
Sifa Awe na umri wa miaka 33 na kuendelea Awe Muislam na anajitegemea (mfanyakazi/mfanya biashara) Asiwe kwenye Ndoa Sifa zingine karibu pm
Frustration JF-Expert Member Joined Jan 30, 2018 Posts 3,199 Reaction score 4,193 Jan 15, 2022 #2 Pm ni sifa gani hiyo? Mama anaupiga mwingi hadi wanaume wanauhakika wa kuoa
Kichwa Kichafu JF-Expert Member Joined Apr 13, 2017 Posts 44,985 Reaction score 189,587 Jan 15, 2022 #3 Kila la kheri mkuu.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 180,452 Reaction score 197,986 Jan 16, 2022 #4 Kila la kheri...