mwanamke

  1. T

    JamiiForums Tanzania Wanaofikiri watafanya mzaha na CCM kwa kuwa mwenyekiti ni mwanamke wajiandae kisaikolojia, kadhamiria kuchoma vichaka majoka yasijifiche

    Nyoka kikawaida ni muoga sana, anatumia mbinu rahisi sana kujilinda yaani kukimbilia kichakani, akiamini kwamba yupo sehemu salama na akifuatwa na adui atatumia werevu wake kumshambulia adui. Katika mchakato wa kuua nyoka kichakani muuaji pia anatakiwa mbinu ya kuchoka kichaka ili hata wadudu...
  2. Liverpool VPN

    JamiiForums Tanzania Niliishi na mwanamke kwa miaka 2 bila kujua ni mke wa mtu

    Moderator please DELETE huu Uzi.
  3. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Usioe mwanamke wa namna hii

    Habari! Usioe mwanamke wa namna hii; 1. Anayevaa mawigi 2. Anayeweka kucha za bandia 3. Anayeweka kope za bandia 4. Anayevaa shanga kiunoni 5. Ana smart phone na hana kazi 6. Ana ghetto na hana kazi au ana ghetto na anaishi karibu na wazazi. 7. Aliyekuambia mfanye siri mlipoanza mapenzi. 8...
  4. Kijakazi

    JamiiForums Tanzania Kwanini ni ngumu kusikia Mwanamke akisema “Mume wangu“?

    Binafsi nimekuwa nikijiuliza sana hili swali, ni kawaida sana kwa Mwanaume kusema Mke wangu hivi na vile, au hata kutambulisha huyu ni Mke wangu lkn kinyume chake ni nadra sana kusikia Mwanamke akisema Mume wangu hivi na vile au labda akitambulisha huyu ni Mume wangu, wengi akienda mbali sana...
  5. mimi mtakatifu

    JamiiForums Tanzania Uliwezaje kudili na mwanamke aliyekuweka 'pending'?

    Wanaume uwa tunakutana na aina hii ya wanawake. Unamtongoza lakini asemi Hapana wala asemi Ndio. Mnawasiliana vizuri pengine unaweza dhani soon unakula tunda. Lakini upewi chochote. Sometimes unaamua kumpotezea ila yeye bado anatengeneza mazingira mawasiliano yasife. Kuna wengine anakua...
  6. Deja vu27

    JamiiForums Tanzania Mwanamke akiingia peponi, wanaume wote hatuna dhambi

    Nimejaribu kuwaza sana mpaka nimefikia kusema hivyo bhasi nina uthibitisho kuhusiana nahili Mwanamke vs mwaume Tuanze na MAUMBILE Mwanamke Kaumbwa na viungo vyote lakini hajaridhika, kapewa kope anaona hazitoshi kaamua kuongeza za kwake za bandia aonekane mzuri, kapewa nywele asilia na za...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwanamke wa kushea nae mume

  8. Kendk

    JamiiForums Tanzania Mwanamke serios anaitajika

    Naitwa jack umri wang miaka 32 natafuta mwanamke tuwe na mahusiano badae ndoa umri kuanzia miaka 26 mpaka 35 awe ameajiriwa.kwa aliye tayari karibu pm
  9. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwangu Mimi Mwanamke huyu 'aliyejiua' baada ya 'Kufumaniwa' Mubashara na Mumewe ndiyo Shujaa wangu wa Kufungia Mwaka 2021

    Marehemu Anna Shirima popote ulipo sasa hapo Kaburini ulikozikwa Mkoani Kilimanjaro GENTAMYCINE nakutunuku Tuzo ya Ushujaa Uliotukuka kwa Kitendo chako kizuri na cha Kimedani pia cha Kujiua baada tu Kufumaniwa na Mumeo ukiwa 'Unakazwa' na Hawara yako. Wala hukutaka Mambo mengi au kupotezeana...
  10. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Makosa wafanyayo wanaume katika kutuma nauli ili mwanamke aje ghetto ambayo husababisha mwanamke kutokuja ghetto licha ya kutumiwa nauli

    Kama umetuma nauli Na mwanamke hajaja ghetto basi wewe ndio mwenye makosa Na sio mwanamke ambae hajaja ghetto. IPO namna ya kutuma nauli ambayo uki I apply mwanamke lazima aje ghetto. ( HAPA NAMZUNGUMZIA MWANAMKE AMBAE NDIO ANAKUJA GHETTO KWAKO KWA MARA YA KWANZA. ) Kabla sija elezea mbinu...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwanamke asiyetaka kuzaa

    Kama wewe ni mwanamke na hutaki kuzaa basi njoo tuzungumze, yawezekana tukaishia kufunga ndoa mi nawe. Mimi sihitaji mtoto kabisa. Mimi naishi Dar es salaam. Dini yangu ni mkristo. Kwa upande wa mwanamke sina vigezo vingi kwasababu kigezo kikibwa tayari kipo kwamba huitaji kuzaa/huna mpango...
  12. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Napenda kumtongoza Mwanamke anapokuwa na wenzake

    Ku approach ni kumfata mwanamke kwa lengo la la kuanzisha mahusiano ya mapenzi au urafiki. Iwe ni enzi hizo shuleni, chuoni, sokoni, barabarani, n.k. huwa napenda kujitosa kwa mwanamke ambae yupo na rafiki zake / yake. huwa nawasalimu kwa heshima wote kwa pamoja, kisha naweka wazi nimemfata...
  13. Dumuzii

    JamiiForums Tanzania Tofauti kati ya Mwanamke na Uanauke

    Kuna mwanamke na uanauke hivi ni vitu viwili tofauti alivyo vibeba mtu mwenye jinsia ya kike. mwanamke yupo presharized na Mambo ya kidunia hata 50/50 nk lkn uanauke uliopo ndani yake hayo maswala hauyatambui hata ajifosi vipi utamgomea japo ataigiza kuwa yupo sawa ila uanauke utamlilia tu kuwa...
  14. C

    JamiiForums Tanzania Mwanamke usivunje ndoa kisa michepuko ya mumeo

    Mwanamke elewa kuwa asili ya mwanaume ni udume ambao anahitaji atawale dunia kwa kila kitu. Wanyama na ndege pia viumbe vya kiume hutawala species zao. Kwa hiyo basi fanya ufanyalo mwanaume lazima achepuke, hata umlambe makunyanga yake lazima achepuke, hii siyo tabia ni nature ya viumbe vya...
  15. Underthesea

    JamiiForums Tanzania Story time: Amfuata mwanamke Sweden kutoka India kwa baiskeli

    Pradyumna Kumar "PK" Mahanandias alizaliwa mwaka 1949 katika kijiji kimoja huko India kwenye moja ya matabaka ya kihindi ya chini kabisa (untouchables) kwahiyo hakuwa na tumaini la kutoka kwenye maisha ya ubaguzi na umaskini. Ni kawaida Kwa wahindi kuita wanajimu watoto wanapozaliwa. Mnajimu...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Huyu mwanamke kanikosa na njaa zake

    Nimekutana nae kwenye gari natoka mikoa ya kaskazini mwa nchi hii, nimepanda Basi nimekuta kwenye siti kakaa peke yake kaweka begi lake alivyoniona kalitoa tukaa wote nikampa salaam akaitikia kidharau nikasema powa nami nikawa bize na simu zangu. Tumefika Korogwe Basi ikacmama kuchimba dawa ndo...
  17. Mr Mose

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri jinsi ya kuacha kuangalia filamu za ngono

    Mimi ni kijana wa miaka 23,tatizo langu ni kwamba napenda sana kuangalia video za kikubwa yaani X videos. Nipo addicted kiasi kwamba napoteza muda na pesa nyingi kununua bando. Natamani kuacha lakini nashindwa, nina miaka kama minne sasa naangalia karibia kila siku. Naombeni ushauri nifanyaje...
  18. Equation x

    JamiiForums Tanzania Mkabizi uchumi wa nyumbani mwanamke, hutojutia.

    kabla sijaoa, nilisema sitaoa mwanamke aliyeajiriwa; na kweli nilifanikisha kwa kupata kifaa kweli kwa muonekano, pia kichwani yuko vizuri. Na wakati nilipokutana naye mara ya kwanza, nilimpiga interview kama mtu anayeomba kazi, ila lengo langu ni kupata mtu atakayetimiza majukumu yangu...
  19. kalisheshe

    JamiiForums Tanzania Uhusiano wangu na mwanamke wangu kipenzi umeingia doa, muda wowote nitakipoteza nilichokipenda kwa moyo wote

    Habari Ni kijana 25-27 years Nina mpenzi Yuko chuo anamalizia mwaka wake wa mwisho. Ninampenda na yeye alinipenda( kwa Sasa sijui make simuelewi elewi) mpaka nikapanga akimaliza tu masomo yake nipeleke mahari kwao niishi nae. Uhusiano wetu umedumu kwa mwaka mmoja Sasa. Kuna taarifa mbaya...
  20. O

    JamiiForums Tanzania Utamfanyaje mwanamke anayekuambia ana mimba wakati hana?

    Wadau maoni muhimu, imagine umekuwa ukiamini unahudumia mimba yako. Kila siku unatoa pesa ya matumizi hadi bajeti za vifaa vya kujifungulia, halafu mwisho wa siku unakuja kuambiwa mimba haikuwepo
Back
Top Bottom