Shanga zinasaidia nini akivaa mwanamke?

mzee wa magumashi

Senior Member
Oct 10, 2012
136
42
Salama wakuu.

Naleta Uzi huu kwenu mnipe ushauri napata shida kufikiri Sana kwamba shanga zinaongeza mahaba kwa mwanamke kivipi?

Au zimewekewa ashiki kuwa mwanaume akiziona dushe linatuna na mahaba kedekede siyo mzoefu na kifupi sijawahi kula mwanamke wa shanga.

Na shinikizo linakuja kwa watu wanaomzunguka wife yaan ofisin kwao wanawake majority Wana shanga, nikapata swali dogo kwamba akivaa siyo ikawa ngome ya majini mahaba?

Matusi siyo sehemu yake na kama no bathing better kupita kwenye Uzi huu.

Asanten wakuu.
 
Shanga au siku hizi kuna cheni za kiunoni.. huwa urembo ikiwa Mwanamke awe na kiuno flani cha kubonyea... Hata ukimuweka chuma mboga unaona mashimo yote mawili..

Kinyume na hapo wale wenye vitambi, na mabonge bonge hizo shanga zinawafanya waonekane kama waganga wa kienyeji..
 
Kwa Dar mademu wengi wanavaa hii kitu.
Ukienda club ni mwendo wa cheni kiunoni Wengine zinaonekana hata kwenye usafiri na mabarabarani wakijinyoosha kidogo tu.
 
Back
Top Bottom