Wanaume ni bora ukakataa kuishi na mwanamke mwenye mtoto kabla kuliko kupretend kumbe haupendi

happy amos

JF-Expert Member
Feb 23, 2012
239
500
Naiman kwa uwezo wa Mungu mko wazima

Kuna kitu kinaniumiza moyo sijui nipo Sawa au naakosea naomben tu mnisahihishe kama
Iko hv niliolewa nikiwa na mtoto mmoja ambae baba ake ni marehem sasa kwa mume wangu huyu wa sasa pia ninamtoto 1

Mtoto alikua anaishi nyumban kutoka afya ya mama sio nzuri ikalazimika mama kwenda kwa kaka angu ivyo ikabidi nikamchukue mtoto nikae na huyu mume wa sasa hakua na tatizo
Kilichonifanya nije hapa huyu mwenzangu anakipato kizuri tu anasomesha mdogo wake 1

Na watoto wa dada ake ambae hana uwezo wawili 2 wote private
Imagine likizo ikiisha wanakuja nyumbani anaenda anawalipia ada na kuwanunulia mahitaji yote ya shule wa kwangu hata daftari tu hakuna yan hata ile begi la shule

Silamimiki amsomeshe ada hua nalipa mimi lkn kweli unaishi nyumba moja na mtoto anakuita baba hata uniform tu hamna mbaya zaidi uwezo unao unawajali wadogo zako tu yan hua naumia sana
Mwaka jana niliongea nae nikamwambia aache uabaguzi lkn nadhan moyoni hataki tu

Mwaka jana pia ikitoka mtoto wangu alifukuzwa ada alikua anadaiwa laki 1 mimi nilikua bestest naumwa ndani ivyo biashara zangu zikasimama nikamuomba naomba laki moja nimlipie ada mtoto akaniambia subir mtoto akakaa nyumban, Mungu alivyo wa ajabu baada ya wiki mdogo wake akasimamishwa ajabu akamlipia mdogo wake laki 3 hata siku moja hakuacha kwenda shule wangu hakumlipiaa mpaka nikaenda kukopa.
 
antanarivo

Senior Member
Jan 9, 2018
167

Pole sister hii inaumiza ,japo kiuhalisia wanaume wengi Kama sio wote wako hivo hata mm hapa nimewahi date na single mothers Kama watatu Kama sio wanne Na wote nilio date nao nilikuwa nawaahidi nawaoa lakini nikikumbuka kuwa Wana watoto stimu zinakata kabisa yaani afu ukiangalia manzi mzuri Ila shida ni mtoto.

Yaani kutunza mtoto ambaye sio wako inauma aisee japo hata Kama anahudumia atafanya kinafiki lakini kiuhalisia ni ngumu Sana ,yaani Mara Mia nitunze mdogo wa mke Ila sio mtoto wake aliyezaa na mtu mwingine, ushauri wangu usije kumwambia au kumshirikisha matatizo yoyote yanayohusu mtoto maana utakuwa unamkwaza

(maana Kuna dada mmoja naye akawa ananiambia nimpe nauli ili akamchukue mtoto wake daa iliniuma Sana japo sikumwonesha nimeumia na ukizingatia baba wa mtoto yupo )yaani ukiona tatizo lolote linalohusu mwanao Bora umwambie Kaka au ndugu yako wa damu Ila sio mumeo na huo ndo ukweli maana inaweza kuwa sababu ya kuachana
 
Dreadnought

JF-Expert Member
Mar 25, 2013
2,175
2,000
Pole sister hii inaumiza ,japo kiuhalisia wanaume wengi Kama sio wote wako hivo hata mm hapa nimewahi date na single mothers Kama watatu Kama sio wanne Na wote nilio date nao nilikuwa nawaahidi nawaoa lakini nikikumbuka kuwa Wana watoto stimu zinakata kabisa yaani afu ukiangalia manzi mzuri Ila shida ni mtoto, yaani kutunza mtoto ambaye sio wako inauma aisee japo hata Kama anahudumia atafanya kinafiki lakini kiuhalisia ni ngumu Sana ,yaani Mara Mia nitunze mdogo wa mke Ila sio mtoto wake aliyezaa na mtu mwingine, ushauri wangu usije kumwambia au kumshirikisha matatizo yoyote yanayohusu mtoto maana utakuwa unamkwaza (maana Kuna dada mmoja naye akawa ananiambia nimpe nauli ili akamchukue mtoto wake daa iliniuma Sana japo sikumwonesha nimeumia na ukizingatia baba wa mtoto yupo )yaani ukiona tatizo lolote linalohusu mwanao Bora umwambie Kaka au ndugu yako wa damu Ila sio mumeo na huo ndo ukweli maana inaweza kuwa sababu ya kuachana
Ulikosea sana kuwahadaa hap single mothers mkuu.

Sijui kwa nini tunawahukumu sana wanawake wenye watoto utafikiri walijizalisha wenyewe kumbe chanzo ni sisi wanaume
 
happy amos

JF-Expert Member
Feb 23, 2012
239
500
Pole sister hii inaumiza ,japo kiuhalisia wanaume wengi Kama sio wote wako hivo hata mm hapa nimewahi date na single mothers Kama watatu Kama sio wanne Na wote nilio date nao nilikuwa nawaahidi nawaoa lakini nikikumbuka kuwa Wana watoto stimu zinakata kabisa yaani afu ukiangalia manzi mzuri Ila shida ni mtoto, yaani kutunza mtoto ambaye sio wako inauma aisee japo hata Kama anahudumia atafanya kinafiki lakini kiuhalisia ni ngumu Sana ,yaani Mara Mia nitunze mdogo wa mke Ila sio mtoto wake aliyezaa na mtu mwingine, ushauri wangu usije kumwambia au kumshirikisha matatizo yoyote yanayohusu mtoto maana utakuwa unamkwaza (maana Kuna dada mmoja naye akawa ananiambia nimpe nauli ili akamchukue mtoto wake daa iliniuma Sana japo sikumwonesha nimeumia na ukizingatia baba wa mtoto yupo )yaani ukiona tatizo lolote linalohusu mwanao Bora umwambie Kaka au ndugu yako wa damu Ila sio mumeo na huo ndo ukweli maana inaweza kuwa sababu ya kuachana
Sasa ni bora angekuwa wazi tu kabla atujaanza kuishi mapema sababu alinikuta naishi nae na akachagua kuishi na mimi wakati anajua na mtoto mnakosea aisee
 
antanarivo

Senior Member
Jan 9, 2018
167
500
Sasa ni bora angekuwa wazi tu kabla atujaanza kuishi mapema sababu alinikuta naishi nae na akachagua kuishi na mimi wakati anajua na mtoto mnakosea aisee
Wanaume wameumbiwa tamaa hio ni nature yaani unaweza kuta hata hapa ulipoandika huu uzi Kuna watu wanakutamani tayari na wanaweza kukushawishi uachane naye huyo ili akutunze lakini end of the day Hali inakuwa mbaya zaidi kuliko sasa
 
chizcom

JF-Expert Member
Jul 31, 2016
4,503
2,000
Naiman kwa uwezo wa Mungu mko wazima
Kuna kitu kinaniumiza moyo sijui nipo Sawa au naakosea naomben tu mnisahihishe kama
Iko hv niliolewa nikiwa na mtoto mmoja ambae baba ake ni marehem sasa kwa mume wangu huyu wa sasa pia ninamtoto 1
Mtoto alikua anaishi nyumban kutoka afya ya mama sio nzuri ikalazimika mama kwenda kwa kaka angu ivyo ikabidi nikamchukue mtoto nikae na huyu mume wa sasa hakua na tatizo
Kilichonifanya nije hapa huyu mwenzangu anakipato kizuri tu anasomesha mdogo wake 1
Na watoto wa dada ake ambae hana uwezo wawili 2 wote private
Imagine likizo ikiisha wanakuja nyumbani anaenda anawalipia ada na kuwanunulia mahitaji yote ya shule wa kwangu hata daftari tu hakuna yan hata ile begi la shule
Silamimiki amsomeshe ada hua nalipa mimi lkn kweli unaishi nyumba moja na mtoto anakuita baba hata uniform tu hamna mbaya zaidi uwezo unao unawajali wadogo zako tu yan hua naumia sana
Mwaka jana niliongea nae nikamwambia aache uabaguzi lkn nadhan moyoni hataki tu
Mwaka jana pia ikitoka mtoto wangu alifukuzwa ada alikua anadaiwa laki 1 mimi nilikua bestest naumwa ndani ivyo biashara zangu zikasimama nikamuomba naomba laki moja nimlipie ada mtoto akaniambia subir mtoto akakaa nyumban, Mungu alivyo wa ajabu baada ya wiki mdogo wake akasimamishwa ajabu akamlipia mdogo wake laki 3 hata siku moja hakuacha kwenda shule wangu hakumlipiaa mpaka nikaenda kukopa.

baba wa kambo hana tofauti na mama wa kambo
 
Extrovert

JF-Expert Member
Feb 29, 2016
48,694

Pole na huu mkasa japo jamaa yako anaonekana mbaguzi sana😅 ila dah inauma sana.
 
antanarivo

Senior Member
Jan 9, 2018
167
500
Una umri gani mkuu samahani kwa swali hili.

Wapo naongea kwa uzoefu nina rafiki zangu kadhaa wameoa single mothers na watoto wanawapenda kama kawaida na maisha yanaenda vizuri.
Na baba wa mtoto huyo anawajua sio/ umri sio kigezo Ila uhalisia ndo hivo mwanaume kulea mtoto ambaye sio wake atalea lakini sio kwa mapenzi ya dhati ndo maana nasema huyo mume wa huyo dada sio mnafiki na ampende Ila ukipata mwanaume mnafiki ataonesha kumtunza lakini moyo haupo huko
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom