mwanajeshi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mbute na chai

    JamiiForums Tanzania Ukisikia komando unafikiri ni mwanajeshi wa namna gani!?

    Habari wanajamii. Nimeona ni shiriki pamoja nanyi kuhusu maana halisi ya neno komando (Commando) na namna linavyotumika jeshini.. Neno komando lilitumika na utawala wa kiholanzi (dutch cape colony) katika nchi ambayo sasa huitwa Afrika ya Kusini. Kulianzishwa vikundi vya kaburu (boers) ambavyo...
  2. Guselya Ngwandu

    JamiiForums Tanzania Mwanajeshi mstaafu wa Ujerumani na nia mbaya dhidi ya Tanzania

    David James McAllister, aliyezaliwa January 12 mwaka 1971, ni mtu wa kutiliwa mashaka makubwa anayehudumu katika Bunge la Ulaya (European Parliament) kutokea Ujerumani. McAllsiter ambaye ana doa kubwa la kuwa mbaguzi wa rangi ana mtetezi mkubwa wa ndoa za jinsi moja (Ushoga) ameonekana kwenye...
  3. Bwana Mkubwa9

    JamiiForums Tanzania Hiroo Onoda: Askari wa Kijapan aliyeendelea kupigana WW2 kwa miaka 29 baada ya vita kuisha

    Wakati mwaka 1944 ukiwa unaelekea tamati, hii ni baada ya miaka zaidi ya saba ya vita, mambo yalikuwa yanaiendea kombo Japan.⁣⁣⁣ Uchumi wake ulikuwa umeharibika vibaya, jeshi lake lilikuwa limetapakaa karibia kila kona ya Asia bila kuwa na mfumo thabiti wa kimawasiliano na mipaka iliyokuwa...
  4. O

    JamiiForums Tanzania Majeshi yote yana askari na majeshi yote yana Wanajeshi

    Kumekuwa na watu wengi tena wasomi na wengine ni viongozi wa serikali wanajua kwamba Ukisema mwanajeshi ni yule wa Jwtz ila ukisema askari ni wale wa mambo ya ndani yaani Magereza,polisi nk,,,,sasa twende pamoja uelimike na wewe uelimishe Mwananajeshi ni muunganiko wa maneno mawili yaani...
  5. K

    JamiiForums Tanzania General Venance Mabeyo kakosea kusimama kulia kwa Rais Samia. Mwanajeshi senior anakaa kulia kwa junior

    Hakuna siku ya furaha kama leo ambapo kwa mara ya kwanza Amiri Jeshi Mkuu wetu, Samia Suluhu amevaa magwanda ya jeshi. Binafsi kwangu nimefurahi kumuona mama na magwanda yake. Hongera mama yetu Rais Samia. Zipo porojo za wasiofahamu wanahoji kwa nini kavaa wakati Kikwete, Mkapa na Mwinyi...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Inadaiwa huyu ndiye Moses Lijenge (luhende)

    Nimeona picha ikizunguka mtandaoni watu wanaomba wamuone mahakamani naye apandishwe kizimbani. Narudia tena: INADAIWA kuwa ndiye yeye. Utata umeibuka alipo mmoja wa watuhumiwa katika kesi ya kufadhili ugaidi inayomhusisha Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake, aitwaye Moses Lijenge...
  7. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Mwanajeshi aliyemuua Osama amlaumu Biden juu ya hali ya Afghanistan

    akili ya kawaida unatoa kwanza raia wa marekanj na silaha za marekani ndio jeshi linaondoka ila huyu mluga luga katoa kwanza jeshi sijui alitegemea nini. kuna mjeshi wa navy seals aliemuaa osama kamchana Biden juu ya huu upuuzi, silaha za zaidi ya trilioni 180 zimeachwa huko,saizi taliban...
  8. Jembe Jembe

    JamiiForums Tanzania Askari JWTZ Arusha amuua mfugaji kwa risasi

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha linamshikilia askari wa jeshi la wananchi Tanzania, (JWTZ), wilayani Monduli kwa tuhuma za kumuua kwa kumpiga risasi mfugaji, Laisi Lemomo(26)Mkazi wa Kijiji Cha Lashaine wilayani Humo. Akiongea na vyombo vya habari ofisini kwake kamanda wa jeshi la polisi Mkoani...
  9. Prof Koboko

    JamiiForums Tanzania Hivi Harmonize ni mwanajeshi wa kikosi gani hadi avae nguo za jeshi, anaogopwa?

    Nimeshangaa sana kuona msanii huyu anazunguka akiwa amejiachia na mavazi ya kijeshi wakati Raia wa kawaida wasiokua maarufu wakivaa wanaambulia kipigo na pengine kesi za uhujumu uchumi. Viongozi wa Jeshi letu kwanini wasimchukulie hatua msanii huyu au watolewe ufafanuzi wa mavazi haya? Ni mara...
  10. Jasusi Mbobezi

    JamiiForums Tanzania Ombi kwa Mhe. Rais: Ikikupendeza mkoa wa Mtwara uongozwe na Mwanajeshi

    Kwanza nakupongeza kwa namna unavyojituma kuitumikia nchi kwa moyo wa dhati na nakupa pole kwa matusi unayolipwa na baadhi ya Watanzania. Hata Yesu alijitoa kwaajili ya wanadamu na hawakusita kumsulubisha kwa aibu, ndivyo tulivyo mzee wangu ila we fanya kazi, Mungu atakulipa. Nirudi kwenye...
  11. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania 2020 GEORGIA BANK ROBBERY: Mtu mmoja (inasemekana ni mwanajeshi muasi) anawezaje kuwachukua mateka watu zaidi ya 40 kwa wakati mmoja bila kizingiti?

    Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Eti ndugu zangu watanzania; Mtu mmoja (inasemekana ni mwanajeshi muasi) anawezaje kuwachukua mateka watu zaidi ya 40 kwa wakati mmoja bila kizingiti? Polisi katika jamhuri ya zamani ya Soviet ya Georgia walikuwa wakimtafuta jambazi wa benki...
  12. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania MATUKIO KATIKA PICHA NA VIDEO: Yaliyojiri visiwani Zanzibar katika Uchaguzi Mkuu 2020

    Video ikionyesha wananchi wakiwarushia mawe askari visiwani Zanzibar Video ikiwaonyesha askari wakimshushia kipigo Mwananchi kwa madai ya kuwarushia maneno
  13. Miki123

    JamiiForums Tanzania Wanajeshi wa Korea Kaskazini wamchoma moto mwanajeshi wa Korea Kusini

    Wanajeshi wa korea kaskazini wameonyesha mfano wa kutovumilia yoyote anayehatalisha hali ya usalama ya taifa hilo. Wanajeshi wa kim jong un jumanne ya wiki hii wamemchoma moto na kumpiga risasi mwanajeshi wa korea kusini kwenye eneo lenye ulinzi wa hatari DMZ. Mwanajeshi wa korea kusini alikuwa...
  14. Faith Luvanga

    JamiiForums Tanzania Mwanajeshi mstaafu wa Marekani aliyeishi na VVU kwa miaka 20 bila kufahamu

    Mwanajeshi wa majini wa Jeshi la Marekani amekuwa akiishi na Virusi vya Ukimwi kwa zaidi miongo miwili bila kujijua kutokana na kile anachodai kuwa wafanyakazi afya wa serikali hawakumpa majibu baada ya kumfanyia vipimo mnamo katikati ya mwaka 1995 ambapo wanajeshi wote wa jeshi la majini...
  15. dvj nasmiletz

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli Mtumishi wa Serikali mfano Mwanajeshi akifariki mshahara wake unaendelea kuingia?

    Hivi ni kweli mtumishi wa serikali mfano mwanajeshi akifariki mshahara wake unaendelea kuingia? Na kama unaingia ni kwa muda gani? Vipi kuhusu bima pia nayo inaendelea? Hiyo ni kwa waliofariki 1995 kurudi nyuma. Msaada tafadhali ====
Back
Top Bottom