Leo kila mmoja ameshuhudia kauli ya wazi toka kwa captain Tesha ikieleza hali mbaya ya nchi, na kulitaka jeshi lichukue uongozi ili kuinusuru nchi. Kwa wale waliopitia mafunzo ya kijeshi, kama mimi, tunajua kabisa, hakuna askari hata mmoja anayeweza kutoka hadharani na kutoa kauli kama hiyo...
Wanaukumbi.
(✍️ na mchambuzi wetu)
TESHA NI KANJANJA TU HAKUNAGA MWANAJESHI WA HIVI JWTZ
Nimemsikiliza huyu mtu aliyejivalisha nguo za JWTZ na anajiita Kepteni Tesha nimebaki najiuliza maswali mengi sana kama hii ndiyo aina ya wanajeshi wetu basi tuna wanajeshi vilaza sana kwenye JWTZ...
Kwa kweli Mama mikumi tena. Dogo anasema Weekend kesho tutamtafute yeye kuanzia Biriani mpaka wale walevi Mkojo wa Shetani. Mimi allahamdulilah sinywi vitu kharamu ila najua kaka yake mjaa laana kesho atakunywa sana.
Naambiwa mapolisi walio mafunzo pia wamepewa nguo za kiraia na kuingiziwa...
Inawezekana kabisa Watu wameridhika kwakua wanaishi vizuri kupitia Wana mtandao.
KOSA kubwa tunalolifanya kama Nchi ni kutokuwaza THAMANI YA RASILIMALI ZETU MIAKA MICHACHE IJAYO !!.
Katika Wakati ambao Thaman ya Rasimali zetu itakua juuu zaidi, ndio wakati ambao Serikali itakua Haina chochote...
Baharia wa Jeshi la Wanamaji la Marekani huko California amehukumiwa kwa kosa la ujasusi kwa kuuza siri za kikosi hicho kwa afisa wa China ambaye alimsajili kupitia mtandao ya kijamii.
Jinchao Wei, 25, alipatikana na hatia ya mashtaka sita, ikiwa ni pamoja na ujasusi, njama ya kufanya ujasusi...
Patrick Osoi, aliyewahi kuwa askari wa Jeshi la Ulinzi la Kenya (KDF), alikamatwa Jumanne baada ya kuunda vuguvugu la kupinga ukatili wa polisi pamoja na maafisa wawili wa polisi. Siku ya Jumatano, alifikishwa katika Mahakama ya Kahawa.
Kwa mujibu wa hati ya maombi iliyowasilishwa na Idara ya...
Akizungumza na wananchi, Mbunge wa Jimbo la Kawe kupitia tiketi ya CCM, Askofu Josephat Gwajima amesema Rais sio mzalendo namba moja. Wanajeshi ndio wazalendo namba moja kwa kuwa wanatoa uhai wao ili kuilinda nchi.
Hata hivyo amesema kisiasa Rais anaonekana ni mzalendo namba moja. Nje ya siasa...
Mwanajeshi wa Israel Daniel Edri, ambaye alishiriki katika mauaji makubwa ya halaiki huko Gaza na Lebanon, alijikuta katika msongo mkubwa wa mawazo (PTSD).
Kiasi cha kuchukua maamuzi ya kujichoma moto akiwa ndani ya gari lake, ambalo liliungua katika msitu karibu na mji wa Safed uliokaliwa kwa...
Raia mmoja wa Israel mwenye asili ya kiarabu leo akiwa kwenye usafiri wa Umma wakati anashuka alimtemea mate Mwanajeshi wa jeshi la Israel IDF kisha kukimbia tukio hilo lilinaswa na kamera za cctv zilizomo kwenye basi hilo.
Juhudi za kumtafuta zinaendelea baada ya wataalamu wa Forensic-lab...
jamaa siku ya kwanza kuripoti kazini kwenye kituo kipya anapewa kazi ya kupeleka wafungwa sita Gereza jipya , ni askari mzuri lakini wafungwa hao ni wakatili balaa
kizazasasa kinatokea baada ya safari kuanza na kupata ajali njiani ??? je ungekua wewe askari ungefanyaje? movie ndo hiyo kazi...
Siku hizi kila mtu anazungumzia Kagame kwa mabaya, mara ooh ni dikteta, mara anatufanyia figisu, mara atoke madarakani. Lakini wachache sana wanajua ukweli wa historia yake na jinsi Tanzania ilivyoshiriki kwenye safari yake ya kuwa kiongozi mkubwa barani Afrika.
Kwanza kabisa, Kagame si mtu wa...
Mwanajeshi wa Marine (USA) aliamua kuacha kazi jeshini na kuanza kazi mpya kama mwalimu wa high school, sasa kabla mwaka wa masomo haujaanza aliumia mgongo na akatakiwa avae plaster cast(piopi zile wanazovaa waliovunjika), akafungwa plaster cast iliyozunguka sehemu ya juu ya mwili wake...
Mwanajeshi Mstaafu Petro Masali amekutwa amefariki dunia yeye na mke wa mtu aliyefahamika kwa jina la Marrysiana Edward, wakiwa katika hali ya faragha kwenye moja ya chumba cha nyumba ya aliyekuwa mwanajeshi huyo, katika Kata ya Ipuli Manisipaa ya Tabora.
Tukio hilo limetokea ikiwa ni siku moja...
Wakuu
Kuna video hii ikimuonesha Mwanajeshi wa Rwanda, ambaye amejikuta matatani nchini Msumbiji baada ya wananchi kumshtukia akiwa amevaa sare za jeshi la polisi wa Msumbiji na kumzonga wakitaka avue mask
Pia, Soma:
+ Jeshi la Rwanda kusalia Msumbiji
+ Kujiondoa kwa Majeshi ya Africa Kusini...
..Msikilize Tundu Lissu akieleza kilichotokea mpaka kada wa Chadema akapigwa risasi.
..kuna ushahidi usio na shaka kwamba kada wa Chadema ameuwawa na mawakala / agents wa CCM.
..maelezo ya Polisi mkoa wa Singida yanatofautiana na maelezo ya Mkuu wa Wilaya ya Manyoni...
Copy and Paste kama ilivyokutwa;
"Moyo wangu unavuja damu kuhusu binti yangu wa kwanza Maria Izidory Petro ambaye alikuwa anasoma Chuo, Institute of Tax Administration kilichoko Dar es Salaam akichukua Shahada ya Kodi. Alipata changamoto ya kiafya ghafla kwa ambacho kilidaiwa kuwa sumu kwa...
Wanaukumbi.
Bunge la Marekani limepitisha kitendo ambacho kinapiga marufuku kabisa kuongea na kupinga Israel.
Hata ukihubiri sehemu za biblia zinazosema wazi siku ambazo Wayahudi walimuua Kristo utakamatwa.
Sheria ya "antisemitism" ambayo imepitishwa hivi punde katika Bunge HAIFAI tu kuwa...
Mwanajeshi wa kwanza wa Israel amethibitishwa kuuawa ndani ya Lebanon tangu uvamizi wa ardhini kuanza.
Jeshi la Ulinzi la Israel (IDF) lilitangaza katika taarifa kwamba Kapteni Eitan Yitzhak Oster, 22, aliuawa ndani ya Lebanon siku ya Jumatano.
Kijana huyo mwenye umri wa miaka 22 alikuwa katika...
Wanakumbi,
⚡️‘Asubuhi ngumu’ nchini Israeli, wanajeshi na maafisa 4 wa Israeli waliuawa, akiwemo mwanajeshi wa kike mjini Rafah jana.
9 kujeruhiwa, ikiwa ni pamoja na majeraha makubwa
Katika mashambulizi mawili tofauti hapo jana huko Gaza...
Kipindi Trump akiwa Madarakani aliona Marekani haina sababu ya jeshi kuendelea kubaki Afghanistan, kama ni kushinda vita walishashinda kwa kuichomoa serikali ya Taliban, hakukuwa na sababu ya kuendelea kubaki.
Trump alimchimba mkwara kiongozi wa Taliban wakiwa kwenye kikao alimpa karatasi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.