Mwanajeshi aliyemuua Osama amlaumu Biden juu ya hali ya Afghanistan

sky soldier

JF-Expert Member
Mar 30, 2020
5,408
19,032

akili ya kawaida unatoa kwanza raia wa marekanj na silaha za marekani ndio jeshi linaondoka ila huyu mluga luga katoa kwanza jeshi sijui alitegemea nini.

kuna mjeshi wa navy seals aliemuaa osama kamchana Biden juu ya huu upuuzi, silaha za zaidi ya trilioni 180 zimeachwa huko,saizi taliban wananyonga watu hewani kwa helikopta zilizoachwa.

Naona Biden uongozi huu umemshinda, afya yake tumeshaona inatia shaka kuanzia kuanguka anguka kwenye ngazi, kuwa msahaulifu (dementia), kukwepa kujibu maswali na kubwa kuzidi yote ni hii kuondoa jeshi kabla ya kutoa wananchi wa marekani na silaha za trilioni 180
 
Ndio walipewa masaa kadhaa wawe wameondoka zaidi ya hapo ambush ingehusika ndio maana marekani wamekimbia kama wendawazimu
 
By the way kati ya failed mission za USA na hii ya Watelaban ipo katika historia
Hi8 ndi9 inaongoza, Biden akili ndogo sana, unatoaje jeshi wakati kuna raia wa nchi yako na silaha za matrilioni.

Hapa hata trump wamefosi kumtupia lawama lakini imeshindikana, Biden kaaibisha sana nchi yake
 
Ndio walipewa masaa kadhaa wawe wameondoka zaidi ya hapo ambush ingehusika ndio maana marekani wamekimbia kama wendawazimu
Ni kutokana na akili ndogo za Biden, hivi unatoaje jeshi wakati raia wako na silaha zako bado zipo kwa adui, huyu mzee ugonjwa wake wa akili (dimentia) ushagharimu maisha ya watu
 
Huwezi mlaumu biden kwenye hili maaana mahesabu Yao hayakwenda vizuri maana Taliban walitabiriwa wataishika nchi ndani ya siku 90 Ila Hali imekuwa tofautii ndani ya siku 7 wako mlangoni apo utafanya kipi mtume jeshi mpigane au muwatoe watu au mtoe vifaa vyenu vya matirioni maamuzi alivyofanya ni sahihi kabisaa
 
Hawajaacha hizo silaha, magari na helicopter kwa bahati mbaya, hiyo ni mipango ya kimkakati. Wameviacha kwa makusudi kabisa. Kumbuka Taliban walianzishwa na Marekani. Kwa lugha rahisi Taliban ni mtoto wa Marekani.
 
akili ya kawaida unatoa kwanza raia wa marekanj na silaha za marekani ndio jeshi linaondoka ila huyu mluga luga katoa kwanza jeshi sijui alitegemea nini.

kuna mjeshi wa navy seals aliemuaa osama kamchana Biden juu ya huu upuuzi, silaha za zaidi ya trilioni 180 zimeachwa huko,saizi taliban wananyonga watu hewani kwa helikopta zilizoachwa.

Naona Biden uongozi huu umemshinda, afya yake tumeshaona inatia shaka kuanzia kuanguka anguka kwenye ngazi, kuwa msahaulifu (dementia), kukwepa kujibu maswali na kubwa kuzidi yote ni hii kuondoa jeshi kabla ya kutoa wananchi wa marekani na silaha za trilioni 180

Frankly speaking BID.. is Incompetent to continue being the President.
 
Hi8 ndi9 inaongoza, Biden akili ndogo sana, unatoaje jeshi wakati kuna raia wa nchi yako na silaha za matrilioni.

Hapa hata trump wamefosi kumtupia lawama lakini imeshindikana, Biden kaaibisha sana nchi yake
Marekani hivi inawahusu?

Wewe ni mwajeshi au unaongea tu?

Msiwe mnapenda kulaum ya wenzenu wakati yenu yanawashinda pimbi nyie.

Hayo maamuzi ni ya msingi sana lengo la kuacha silaha ni ili waafghanstan wauane wao wenyewe na vita ya wa kwa wao iendelee kwa kutumia silaha zilizoachwa
 
Back
Top Bottom