mwanajeshi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mwanajeshi wa Marekani akutwa na hati ya kuuza siri kwa China

    Mchambuzi wa Jeshi la Marekani, Korbein Schultz amekiri mashtaka ya kula njama ya kuuza siri za kijeshi kwa China, ikielezwa alilipwa Dola 42,000 (Tsh. Milioni 113.3) ambapo hukumu yake inatarajiwa kutolewa Januari 2025. Schultz ambaye alikuwa na kibali cha usalama ili kupata taarifa za siri za...
  2. SankaraBoukaka

    JamiiForums Tanzania Prediction: Afisa Aliyatuma Vijana kufanya Uovu Hatoguswa

    Afisa wa jeshi, kama mtu mwingine yeyote mwenye mamlaka, anaweza kutumia vibaya mamlaka yake au mamlaka yake juu ya raia. Matumizi mabaya kama hayo yanaweza kuchukua aina mbalimbali, ikiwa ni pamoja na vurugu za kimwili, unyanyasaji, kulazimisha, au aina nyingine yoyote ya ukatili ambao unakiuka...
  3. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Nimeota mimi mwanajeshi vitani, ilivyofika kuanza operation msituni nikashtuka fasta usingizini

    Kifo kisikie tu ila Ikifika zamu ya kukabiliana nacho huwa ni kizaa zaa. Huwa nacheza ma game ya combat au frontlines heroes naona tu raha kuwaua maadui. Paah Paah napiga tu risasi kwenye simu sasa leo mapema alfajiri ikanijia ndoto kama unavyojua ndoto mwili unahisi kitu una ki perform live...
  4. toriyama

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mchoro wa Jengo la Ikulu ya Kenya umevujishwa Huu hapa. Kueleka maandamano kwenda ikulu siku ya alhamis

    Mchoro wa Jengo la Ikulu ya Kenya umevujishwa Huu hapa. https://x.com/Murangoanalyst_/status/1805642997469495590?t=80emWWWphzY2QaF_rYH1Xw&s=19
  5. M

    JamiiForums Tanzania Nimetoka kusifiwa natembea kama mwanajeshi, nimefurahi sana

    Ebana wanajamvi inakuwaje? Nilikuwa natembea kuelekea kwenye Kituo cha basi upande wa pili. Nilipokuwa navuka zebra kuelekea kwenye hicho kituo kulikua na mzee mmoja kakaa anasubiri basi. Cha kushangaza alikuwa ananiangalia kwa makini sana hadi nikajishtukizia. Nilipofika karibu yake...
  6. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Mwanajeshi Mstaafu wa Marekani adai Nchi za Afrika zirudishwe kwenye Utawala wa Kikoloni kwa kushindwa kujisimamia zenyewe

    Erik Prince, afisa wa zamani wa Jeshi la Wanamaji la Marekani na mwanzilishi wa kampuni ya binafsi ya kijeshi ya 'Blackwater', hivi karibuni alitoa maoni yake kwamba nchi za Kiafrika zinapaswa kurudishwa kwenye ukoloni kwa sababu viongozi wake wana ufisadi na ubinafsi. Prince alitoa mtazamo...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Huyu Mwanajeshi aliyekuwa akihutubia leo si ndiyo yule muuza madafu wa Ikulu, au?

    Nafikiri wengi wanakumbuka mwezi uliopita pale tulipoona wauza madafu wapo Ikulu kwa ajili ya "kuuza madafu" kwa waalikwa. Walipiga picha na kurasa za mbele za magazeti wakatamalaki. Wapo waliohoji maigizo yale yalikuwa na haja gani, basi tukaona wanafanyiwa interviews clouds etc na mmoja...
  8. KIBUGAmk

    JamiiForums Tanzania Anataka kuwa mwanajeshi, vitu gani avizingatie?

    Kuna dogo amefeli form four kapata division four ya 30. Anataka aje kujitolea jeshini siku nafasi za kujiunga na JKT zikitoka
  9. M

    JamiiForums Tanzania Spika na Mbunge Mwanajeshi wavutana kisa kigezo cha JKT

    Mtakaofanikiwa kuiona clip hiyo wakiwa Bungeni nadhani kuna haja ya kupima na kutathimini hoja ya huyo mjeshi aliyesimamishwa na Spika na kisha kupima hoja ya Spika. Kwa mtazamo wangu naona kuna haja ya viongozi wengi wanaopewa nafasi za mamlaka na maamuzi wakawa wameiva vilivyo kuhusu masuala...
  10. Ghost MVP

    JamiiForums Tanzania Mwanajeshi kumshambulia dereva wa daladala ikiwa na abiria ni kuhatarisha maisha ya abiria pia

    Kuna Mkasa umtokea ukimuonesha Mwanajeshi wa JWTZ akimshambulia Dereva wa daladala ya Tabata, Lakini Akiwa anafanya Tukio hili Dereva wa Daladala alikuwa hajaweka gari katika 'Parking' Hivyo ikawa inatembea, Hii ni hatari kwa maisha ya abiria walioko katika Daladala hiyo na Wale wanaotumia Kwa...
  11. MK254

    JamiiForums Tanzania Mwanajeshi wa Iran aingiwa na mzuka na kuua wenzake watano, eneo lililoshambuliwa na bomu

    Kaamua kuwawahisha wenzake kwa mabikira na kutoroka...... An Iranian soldier opened fire on fellow soldiers, killing five of them in the southeastern city of Kerman, where 94 people were killed in a bombing attack earlier this month, Iranian state TV reports. State TV says the shooting...
  12. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Leo nimeona mwanajeshi mwenye ndevu Tanzania

    Mnasemaga wanajeshi wa Tanzanaia hawaruhusiwi kufuga ndevu? Wait… Leo katika maadhimisho ya miaka 60 ya mapinduzi matukufu ya Zanzibar nimemuona mwanajeshi ana ndevu. Kitaalam imekaaje
  13. S

    JamiiForums Tanzania Kujiunga jeshi isiwe sababu ya kufanya kazi za kutweza utu. Anachofanya mwanajeshi huyu ninaamini hata yeye hakipendi

    Nafahamu mwanajeshi ameapa kufa kwa ajili ya kulinda taifa lake. Lakn kamwe hakuapa kuwa hata kinyesi atakishika kwa mikono. Hakuapa kuwa hata mkojo atauzoa kwa mdomo. Hakuapa kuwa kwenye shughuli za uokoaji atatumia mikono yake kutafuta maiti kwenye tope. Serikali imenunua magari 270 ya...
  14. Surya

    JamiiForums Tanzania Ukikutana na Polisi au Mwanajeshi kwenye ndoto nini Tafsiri yake?

    Kati ya ndoto ambazo ni rahisi kupata tafsiri yake basi ni zile ndoto unapokutana na watu wa usalama katika ndoto. Mambo ni mawili, polisi anaweza kuwa upande wako (polisi mzuri) au polisi anaweza kuwa against na wewe (police mbaya). Police mzuri - Malaika. Police mbaya - Majini (roho chafu...
  15. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania DR-Congo: Mwanajeshi apiga Risasi Ndugu na Waombolezaji kwa Kumzika Mwanae wa Kiume kabla hajafika

    Hiki Kiherehere kipo sana tu na Maeneo mengine labda alichofanya huyu Mwanajeshi kitakuwa Funzo Kwenu. Taarifa Kamili: Aljazeera.com === A soldier in the northeastern Democratic Republic of the Congo opened fire on family members and others who had buried his son before he could arrive home...
  16. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mwanajeshi akipigwa na Raia kwa Ugomvi Wao Kujitetea Kwake ni kwenda Kambini kuomba Msaada kwa Wenzake?

    Inakuwaje Mtu uliyefunzwa vyema tena Kimedani/ Kivita ukiwa na Ugomvi wako na Raia kwa mfano mmegombania Mwanamke na akakuzidi Kete 'akambandua' na Wewe (Mwanajeshi) kuchezea Kichapo (Kipigo) utakachokifanya ni kwenda Kambini kuwachukua Wenzako ndiyo mje Kumchangia huyu Raia na Kumpiga...
  17. Suley2019

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Video inasambaa ikionesha Mwanajeshi wa Marekani (Texas) akiwavusha Wahamiaji haramu

    Salaam Ndugu zangu, Nimekutana na video kupitia mtandao wa Tiktok ikimuonesha Mwanajeshi wa Texas akiwavusha Wakimbizi kimagendo. Je, kuna ukweli wowote kwenye hili? Picha haihusiani na habari. Credit: AP News
  18. 6 Pack

    JamiiForums Tanzania Je, nitumie njia gani ili niachane na mchepuko wa mwanajeshi bila matatizo yoyote?

    Nipeni mbinu ndugu yenu, maana kila nikijaribu kumkwepa kiaina beauty huyu inashindikana. This girl she's very beautiful na pia ana sifa muhimu zote ambazo zinamfanya aonekane bora mbele ya bora wengine. Ndio maana mjeshi yupo tayari kumpa kila anachotaka ilimradi asimkose mrembo huyo. Mimi...
  19. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Waziri Mkuu aagiza Mwanajeshi, maarufu kama HK akamatwe kwa udhalilishaji

    Waziri Mkuu alitoa agizo hilo jana alipokuwa akizungumza na wananchi wa Nzuguni katika maadhimisho ya miradi iliyozinduliwa katika kilele cha sherehe za miaka 59 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, kikiwamo kituo cha Zimamoto na Uokoaji. Kijana huyo alitoa tuhuma hizo, baada ya Waziri Mkuu...
  20. HERY HERNHO

    JamiiForums Tanzania Video ya mfungwa wa vita akikatwa kichwa na wanajeshi wa Urusi

    Siku ya jana Jumanne video ya kutisha ilianza kusambazwa kwenye mitandao ikionesha mwanaume aliyevaa magwanda ya kijeshi huku akiwa amevaa utepe mweupe (ambao kwa kawaida hutumiwa kama utambulisho wa mwanajeshi wa Urusi nchini Ukraine) akimkata kichwa mwanaume aliye hai aliyekuwa amevaa sare ya...
Back
Top Bottom