mwanaharakati

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Morocco: Mwanaharakati aachiwa huru baada ya kugoma kula gerezani kwa siku 19

    Mwanahistoria na Mwanaharakati nchini Morocco Maati Monjib aliyekuwa jela na kugoma kula kwa siku 19 ameachiliwa huru baada ya kushikiliwa kwa kipindi cha miezi mitatu. Msomi huyo mwenye umri wa miaka 60 amekaribishwa uraiani na marafiki na wafuasi wake hapo jana baada ya kuachiwa kutoka jela...
  2. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Tundu A. Lissu amekata tamaa ya kuja kuwa Rais wa Tanzania. Ataendelea kuwa Mwanaharakati Machachari wa Tanzania

    Busara na Hekima ya mtu hupimwa nyakati za 1. Taabu/ Mateso/ Majonzi/ Huzuni 2. Nyakati za Furaha/ Raha n.k Nyakati hizi Tundu Lissu anaweza akadhani anafurahia sana na kusheherekea kifo cha Mh. JPM na kumwongelea awezavyo. But baadaye akija kukaa na kupata akili akiwa ameweka jazba, mihemko na...
  3. pingli-nywee

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Mwanaharakati na mkosoaji mkubwa wa Rais Museveni, Dkt. Stella Nyanzi akimbilia Kenya, aomba hifadhi ya kisiasa

    Nana angedhani kwamba ipo siku nchi ya Kenya ndio itakuwa hifadhi la wakimbizi wa kisiasa ndani ya ukanda wa Afrika Mashariki? Aliyekuwa mgombea ubunge jijini Kampala(Woman Mp Seat) na Research Fellow kwenye Chuo Kikuu cha Makarere, mwanaharakati wa kisiasa nchini Uganda, Dr Stella Nyanzi...
  4. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Mwanaharakati Zara Kay akabiliwa na mashtaka ya kuwa na uraia pacha nchini Tanzania. Hati yake ya kusafiria yachukuliwa na Vyombo vya Usalama

    Mwanamke wa Australia amekamatwa na kushtakiwa nchini Tanzania muda mfupi baada ya kukosoa jinsi Rais wa Tanzania anavyoshughulikia janga la COVID-19 katika chapisho la mitandao ya kijamii. Zara Kay, raia wa Australia ambaye alizaliwa nchini Tanzania, aliambiwa afike kituo cha polisi katika...
  5. Kinyungu

    JamiiForums Tanzania Barabara ya Ujerumani kupewa jina la mwanaharakati wa Tanzania, Lucy Lameck. Alikuwa Waziri wa 1 mwanamke wa Tanzania

    Barabara hiyo ya Wissmannstraße inatarajiwa kubadilishwa jina mwaka ujao Madiwani katika mji mkuu wa Ujerumani , Berlin wamepiga kura ya kuondoa jina la barabara moja linalompatia heshima gavana mmoja wa nyakati za ukoloni katika eneo la Afrika mashariki aliyeshutumiwa kwa kuagiza mauaji na...
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Lupaso, Mtwara: Rais Mstaafu, Hayati Benjamin William Mkapa azikwa kwa Heshima

    Historia ya Benjamin Mkapa MFULULIZO WA MATUKIO MBALIMBALI YALIYOTOKEA WAKATI WA MSIBA NA MAZISHI YA HAYATI MZEE BENJAMINI WILLIAM MKAPA WANANCHI WASIMAMA BARABARANI KUAGA MWILI WA RAIS MKAPA Wananchi wa maeneo mbalimbali ya Dar es Salaam, wameonekana wakisimama barabara kuonyesha heshima kwa...
  7. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Mwanamke mwanaharakati

    MWANAMKE MWANAHARAKATI Na, Robert Heriel Siku hizi dunia imebadilika na kuchukua sura ya kisogo. Kumeibuka makundi ya watu wajiitao wanaharakati katika mambo mbalimbali katika jamii. Wanaharakati walikuwepo tangu kale, zamani za mababu na enzi ya enzi. Zamani wanaharakati walijipambanua kama...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Riwaya: Wahuni Wote Peponi

    Mtunzi: Muddyb Mwanaharakati Imetolewa: Mei, 2020 Mawasiliano: 0713538427 MOJA MIADI! Miadi ikisogea moyo huhakaika, kwa kasi na haraka huwa kama kidonda kinachopwita, pwi-pwi, pwi! Kufanya hivyo ni rai kwa mwili umsubiriao mwenza kwa hamu kuwa wasaa utawadia, huku matarajio ya mambo kuwa...
Back
Top Bottom