mwanaharakati

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaharakati Boniface Mwangi Atangaza Kuwania Urais Kenya 2027

    Mwanaharakati wa haki za binadamu nchini Kenya, Boniface Mwangi, ametangaza kuwania urais katika uchaguzi wa mwaka 2027. Mwangi, ambaye amekuwa mstari wa mbele kuongoza maandamano ya kupinga serikali yanayoshirikisha vijana wengi, anataka kugeuza nguvu hizo za maandamano kuwa harakati ya...
  2. 1Africa54

    JamiiForums Tanzania Mwanaharakati Boniface Mwangi aondolewa mashitaka ya ugaidi, sasa akabiliwa na kosa la kumiliki risasi kinyume cha sheria

    Idara ya Upelelezi wa Jinai (DCI) nchini Kenya imeondoa mashitaka ya ugaidi dhidi ya Mwanaharakati Boniface Mwangi, ambaye sasa anakabiliwa na mashitaka ya kumiliki risasi kinyume cha sheria. Mwangi, ambaye ameachiwa kwa dhamana, awali alishtakiwa kwa kusaidia shughuli za kigaidi kufuatia...
  3. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Mwanaharakati maarufu wa haki za binadamu, Kombo, ametuma ujumbe mzito kwa aliyekuwa balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole, kufuatia

    Mwanaharakati maarufu wa haki za binadamu, Kombo, ametuma ujumbe mzito kwa aliyekuwa balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole, kufuatia kujiuzulu kwake hivi karibuni. Akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari leo Julai 16, 2025 , Kombo alieleza kushangazwa na kauli za Polepole...
  4. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Padri Kitima: Yanayoharibu taifa nitayasema hata kama wataniita mwanaharakati

    Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padri Charles Kitima, amesema Yanayoharibu taifa nitayasema hata kama wataniita mwanaharakati. Tunayoyafanya sasa hivi Tanzania Venezuela walishawahi kuyafanya kaingalie Venezuela inavyoenda sasa.
  5. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Unafunga goli 3 za offside ndani ya mechi mbili halafu unatoka kujifanya mwanaharakati wa mpira

    Ninavyowajua wanayanga hawajaumbwa na aibu. Yaani nadhani aibu ilikuwa imeisha kwa hiyo wakaumbwa hivyo hivyo bila kuwekewa soni ndani mwao. Muumba aliona ni heri ampe sungura aibu ila asiwape wanayanga. Hawa walioshupaza shingo zao, wakaita hadi TRA na TAKUKURU, wakaenda CAS, wakaenda Mahakama...
  6. Huihui2

    JamiiForums Tanzania Mwanaharakati Japhet Mattara aumizwa, anahitaji msaada

    Namuona ni "poyoyo" kwa sababu mwaka 2022 alichapisha habari za uwongo kwenye Twitter akashtakiwa na kafungwa bada ya kukosa fedha za kulipa faini. Mwaka 2024 akachangiwa na wana Twitter na akatoka. Baada ya kuachiwa jela amekuwa ni mtu wa kutukana na kukshifu mamlaka kama alivyokuwa Mdude_Nyagali.
  7. ngara23

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kuwa Mwanaharakati wa wanyama wafugwao, kuhusu zoezi kuchinja

    Hawa wanyama ni wema na ni rafiki kwetu sisi binadamu Lakini binadamu wamekuwa wapumbavu na wakatili Kwa viumbe hivi Wanyama hawawezi kuongea wala kujitetea, watatetewa na nani ? 1. Kuhusu suala la kuchinja. Tunaweza kuwa tunahitaji kitoweo kutoka Kwa wanyama ila utaratibu wa kuchinja, ni...
  8. N

    JamiiForums Tanzania MAREKANI YADAI kuchunguza ripoti za mateso za mwanaharakati wa Kenya Boniface Mwangi na Agather Atuhaire wa Uganda nchini Tanzania; inataka uchunguzi

    https://nation.africa/kenya/news/africa/us-demands-answers-from-tanzania-on-boniface-mwangi-agather-atuhaire-torture-claims--5055008?fbclid=IwY2xjawKedsVleHRuA2FlbQIxMQABHukqJTQqQdD9M6_P7IAPsxMA2SmVPDulEpTFYPt8dKYcN4gL5jg93slqRle4_aem_Z13cOlvjRQOfJnicy5KMJg
  9. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania Ubakaji wa Mwanaharakati Agatha ni Uhalifu wa Kimataifa – ICC itaingilia!

    Sasa basi, hebu tusikilize kwa makini – this ain’t just some regular violation, huu siyo mchezo wa kitoto. Hiki kilichomkuta dada yetu Agatha Namirimu, mwanaharakati shupavu kutoka Uganda, ni kitendo cha kishetani, cha kinyama, na cha kutisha mno – ni ubakaji wa kisiasa, ni attempt ya kuua sauti...
  10. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Mwanaharakati wa haki za Binadamu Agather Atuhaire, apatikana baada ya kutupwa mpaka wa Tanzania-Uganda, Mtukula

    Masaka, Uganda Kituo cha Utafiti cha Agora kimethibitisha kuwa mkurugenzi wao, Agather Atuhaire, ambaye tangu Jumatatu anashikiliwa na maafisa wa Tanzania, amepatikana asubuhi ya leo akiwa hai katika mpaka wa Uganda na Tanzania. katika taarifa hiyo wameelezea kuwa "Tunafarijika kuufahamisha...
  11. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Boniface Mwangi amepigwa na kuteswa na mamlaka za Tanzania na kutelekezwa Ukunda, familia yake yathibitisha

    Taarifa imetolewa na Citizen tv hivi punde Ahsanteni sana === Waufukweni said: Mwanaharakati maarufu kutoka Kenya, Boniface Mwangi, ambaye alikuwa akishikiliwa nchini Tanzania, ameripotiwa kusafirishwa kwa njia ya barabara na kutelekezwa katika mji wa Ukunda, uliopo pwani ya Kenya. Taarifa...
  12. evangelical

    JamiiForums Tanzania Uganda kutomfukuza mwanaharakati wa Kenya alipokwenda kusikiliza kesi ya Besigye huku wakimsifu Samia kwa kumfukuza

    Kuna mambo yanafurahisha sana . Yaani watu wanakusifia wewe kwa kufanya kitendo flani kibaya . Kitendo hicho kibaya aliyekusifia yeye mwenyewe hakifanyi. Hii kwa wenye akili inaonyesha huyo mtu anakudharau anakuona wewe lofa flani anakupoteza manake huko ni kutoa sifa za uongo. Kuna watu...
  13. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Polisi waenda Hoteli ya Serena kutaka kumkamata Mpiga picha na Mwanaharakati Kenya Boniface Mwangi ikihusishwa na kesi ya Lissu

    Wakuu, Polisi wameendelea kufanya ujinga na mambo ya ajabu kwa usalama wa wananchi. Asubuhi hii ya leo polisi wavamia chumbani kwa mpigapicha na na mwanaharakati wa masuala ya kisiasa kutoka kenya Boniface Mwangi wakisema wanataka kufanya ukaguzi. Boniface alikataa kufungua mlango na kuongea...
  14. I

    JamiiForums Tanzania Peter Kibatala ni Wakili au Mwanaharakati?

    Mimi sio Mwanasheria wala Mwanadiplomasia lakini juzi nimestushwa sana na andiko la Wakili ambaye anatajwa kuwa Mweledi sana wa Sheria Wakili Peter Kibatala,kuhusu Kesi ya Ndugu Tundu Antipas Lissu,andiko ambalo alipost kupitia mtandao wa X zamani Twitter! Katika andiko hilo Wakili Peter...
  15. contask

    JamiiForums Tanzania Kama ni mwanaharakati wa fedha za mtandaoni hutakiwi kukosa hivi vitu

    Habari wakuu Kama kichwa kinavyojieleza vitu hvyo ni kama vifutavyo ✅Good profile ✅Goodsite kama vile upwork,fiverr na zingineezo ✅Skills ✅Mullavid VPN ✅Tor browser ✅Crypto wallet kama vile binance ✅burner phone ✅Proxy 5 ✅Good OPSEC ✅RDP ✅Cc cleaner Vingine tuendelee kuvishusha kwenye comment...
  16. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mvutano waongezeka baada ya mwanaharakati wa Molo kuuawa

    Wakazi wenye hasira walivamia chumba cha kuhifadhi maiti na kuchukua mwili wa mwanaharakati Richard Otieno, aliyeuawa Jumamosi usiku, kabla ya kuvamia Kituo cha Polisi cha Elburgon. Otieno, anayejulikana kama "Rais wa Molo," alishambuliwa na watu wasiojulikana nje ya nyumba yake, takriban mita...
  17. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lema: Nikigundua kwamba Kumuunga mkono Lissu imewakwaza nitakuwa mwanaharakati huru na sitaweza kuwa mwana CCM

    Wajameni! Lema leo ametema cheche zake katika kuelekea uchaguzi wa CHADEMA taifa. Na ameonyesha kummunga mkono Tundu Lissu ==================== Na nikigundua kwamba mimi kuwa mwanachama wa chama hiki CHADEMA kwa maamuzi haya (kumuunga mkono Lissu) ambayo ni ya kidemokrasia sana yatawakwaza...
  18. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa bure! Ukiwa mwanaharakati dhidi ya CCM usikimbilie nchi za Afrika Mashariki au Urusi au China. Nenda Marekani, UK au Nchi ya Umoja wa Ulaya

    Nawaonea huruma sana wanaopingana na madhalimu CCM alafu wanakimbilia nchi za Afrika Mashariki au China au Urusi. Kwa kifupi hutakuwa salama nchi yeyote ya Afrika au kwenye hizo nchi marafiki wa CCM. Nchi za Kiarabu ndo kabisa maana majasusi wa nchi mbalimbali ndo wanafanya field zao hata...
  19. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu: Bora niitwe Mwanaharakati kuliko Mwanasiasa wa nipe nikupe, wanajua mimi sinunuliki

    Makamu Mwenyekiti CHADEMA Bara, Tundu Lissu kuhusu kuitwa Mwanaharakati na sio Mwanasiasa kwahiyo hafai kuwa Mwenyekiti wa Chama. "Mwanaharakati inatumika kama neno huna sifa, Wanaharakati maarufu wa dunia hii ni kama Julius Nyerere, Nelson Mandela. Yeyote yule unayemfikiria katika Afrika hii...
  20. KHM 1995

    JamiiForums Tanzania Je Erythrocyte ni chawa au mwanaharakati?

    Erythrocyte ni red blood cell inayohusika na usafirishaji wa oxygen kutoka kwenye lung kwenda kwenye tissue za mwili vilevile inahusika na usafirishaji dioksidi kaboni(carbon dioxide) kutoka kwenye tissue za mwili kwenda kwenye lung Mr. Erythrocyte unathamani kubwa sana kwa sisi kingdom...
Back
Top Bottom