TANZIA Mwanaharakati wa Belarus akutwa amefariki dunia nchini Ukraine

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326
Vitaly Shishov ambaye ni Kiongozi wa Kundi linalosaidia watu waliokimbia Belarus amekutwa akiwa amefariki dunia karibu na nyumbani kwake Nchini Ukraine, ikiwa ni siku moja baada ya kuripotiwa hajulikani halipo.

Polisi wamesema wanachunguza kama Shishov aliuawa na mazingira kutengenezwa ili aonekane kama amejiua, baada ya mwili wake kukutwa ukining'inia.

Nchi za Ukraine, Lithuania na Poland zimekuwa maeneo makuu ambayo watu wanaokimbia ukandamizaji Nchini Belarus tangu kufanyika Uchaguzi Mkuu wa Agosti 2020.

======

The head of a group helping people who have fled Belarus has been found dead near his home in neighbouring Ukraine.

Vitaly Shishov's body was found hanged in a park in Kyiv, a day after he failed to return from a jog. Police have opened a murder inquiry.

Police said they were investigating whether he had been killed and his death made to look like suicide.

Meanwhile a Belarusian Olympic sprinter who feared for her safety has been granted a humanitarian visa by Poland.

Mr Shishov led the Belarusian House in Ukraine, helping people who left Belarus amid a police crackdown.

Ukraine, Poland and Lithuania - neighbours of Belarus - are the main destinations for those fleeing persecution, following the disputed re-election of President Alexander Lukashenko in August 2020.

Friends of Mr Shishov reported that he had been followed recently, Belarusian journalist Tadeusz Gizcan said in a tweet on Monday.

The Belarusian House in Ukraine provides support to new arrivals in finding accommodation, jobs and legal advice, its website says.

Source: BBC
 
Hivi watawala kwanini hawapendi kukosolewa? kila mara humu duniani akitokea mtu kuisema serekali iliyopo adarakani ni wakuuliwa au kuteswa tu, kwani watawala huwa ni malaika wala hawana mapungufu?
 
Hivi watawala kwanini hawapendi kukosolewa? kila mara humu duniani akitokea mtu kuisema serekali iliyopo adarakani ni wakuuliwa au kuteswa tu, kwani watawala huwa ni malaika wala hawana mapungufu?
Na hiyo huwa haiishii tu serikalin hadi kwenye vyama vya siasa ukimkosoa mwenyekit au mwandamiz yoyote lazima ushambuliwe na chawa wake nadhan tatizo linaanziaga huko
 
Back
Top Bottom