Tundu A. Lissu amekata tamaa ya kuja kuwa Rais wa Tanzania. Ataendelea kuwa Mwanaharakati Machachari wa Tanzania

Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Oct 31, 2014
5,362
11,519
Busara na Hekima ya mtu hupimwa nyakati za
1. Taabu/ Mateso/ Majonzi/ Huzuni
2. Nyakati za Furaha/ Raha n.k

Nyakati hizi Tundu Lissu anaweza akadhani anafurahia sana na kusheherekea kifo cha Mh. JPM na kumwongelea awezavyo. But baadaye akija kukaa na kupata akili akiwa ameweka jazba, mihemko na hasira pembeni atagundua makosa yake.

Alikuwa na nafasi nzuri ya kusema amesamehe yote na anawatakia Watanzania pole na maombolezo ya amani. Angeonekana ana busara na roho ya kusamehe/utu.

Ila kuendelea kuipiga mateke na kuimwagia mchanga Maiti ya JPM hakuoneshi kuwa sasa yeye ni Jasiri. Kunaonesha ni dhaifu anayepigana na kiumbe kisicho na uwezo wowote.

Alipaswa atumie wakati huu kwa busara sana kuwausia viongozi wengine namna ya kuishi na Wananchi. Na pia kama kuna sehemu anaamini hakutendewa haki kama angekuwa Mkristo angeachilia tu.

Binafsi sijui Dini ya Tundu Lissu au Dhehebu lake. Nlisoma kisa cha Daudi miaka ya nyuma alipokuwa akitafutwa na Sauli auawe. Nlifuatilia sana ule ugomvi wao kila mara. Mpaka siku ile Sauli ameingia Pangoni alipokuwa amejificha Daudi kujisadia. Daudi angemuua tu na ku claim Ufalme. Hakufanya hivyo.

Nadhani ilitokea kama mara mbili hivi. Daudi alikuwa akimwombea Sauli aishi maisha marefu ili aje aone aibu mwenyewe. Hakutaka kumuua. Mungu alipendezwa na tabia ya Daudi. Na tukumbuke naye alikuwa binadamu alishawahi kukosea mara kadhaa. Hakuwa Malaika.

Tundu Lissu mimi huwa nampenda akiwa kama tu mwanaharakati. Kiuongozi bado sana.hana busara au hekima ya kiuongozi. Hawa hubaki hivi hivi miaka yote. Si watendaji wazuri. Ila ni waongeaji wazuri.

JPM hakuwa mwongeaji mzuri. Hakuwa akivutia kumsikiliza. Binafsi Rais wa mwisho kusikiliza Hotuba zake alikuwa ni Benjamini W. Mkapa. The man was smart upstairs.

Waliokuja wote hakuna aliyekuwa ni good speaker. Ukimsikiliza kikwete ukimsikiliza Magufuli. Lakini Magufuli ilikuwa inawezekana akaamua kufanya kazi flani na akafanya kwa kila namna.ili mradi afanye.

Tundu Lissu kama ngeweza mshauri au angekuwa anashaurika angetulia.afanye siasa ambazo ni matured, sophisticated. Siasa za tweteer na instagram hazitomsaidia.

Ajikite kwenye utatuzi wa matatizo ya Nchi na Wananchi. Aachane na Mashambulizi kwa JPM hayatomsaidia. Mwendazake keshaenda. Yeye asamehe na ku move on.

Najua wafuasi wake mtakuja na matusi pasipo kujadili katika hali ya kumsaidia na kuisaidia nchi. Nashukuru Sikuwahi kuwa Mfuasi wa Dini,Kabila,Mtu,Team wala Chama. Nasimama mimi na uelewa wangu kupima jema na baya.
 
Lissu akirudi bongo nitampiga RISASI Mimi mwenyewe, sitanii. Nimeshaandaa magazine za kutosha. Washtue MODS, toa taarifa popote Ila huu ndo ukweli. Hii Vita ni kama 2Pac na Notorious B.I.G ili pande zote zi balance akifa mmoja lazima na mwingine afe. Mfikishie huu ujumbe TUNDU LISSU. Hata asije leo asubiri 2025 akitua nchini tu ndani ya siku 30 lazima tumuondoe. Hii Vita aliyoanzisha imemzidi kimo.MARK MY WORDS.
 
Lissu akirudi bongo nitampiga RISASI Mimi mwenyewe, sitanii. Nimeshaandaa magazine za kutosha. Washtue MODS, toa taarifa popote Ila huu ndo ukweli. Hii Vita ni kama 2Pac na Notorious B.I.G ili pande zote zi balance akifa mmoja lazima na mwingine afe. Mfikishie huu ujumbe TUNDU LISSU. Hata asije leo asubiri 2025 akitua nchini tu ndani ya siku 30 lazima tumuondoe. Hii Vita aliyoanzisha imemzidi kimo.MARK MY WORDS.
Mbeba Maono hafi 16 bullets then he still Alive
 
Yawezekana lisu anazichanga karata zake vibaya wakati huu, anajipotezea yeye na chadema wafuasi na wapenzi wa chama,
Kwa njia aliyoichagua Lisu kwasasa na namwambia tu APAMBANE NA HALI YAKE.
 
Back
Top Bottom