mwanafunzi

  1. Nafaka

    JamiiForums Tanzania Usiombe ukutane na mwanafunzi wa IT mwaka wa kwanza

    Aisee ikitokea umekutana na mwanafunzi wa IT mwaka wa kwanza wengi ni much know. Niko na dogo hapa kamaliza mwaka wa kwanza anasoma masuala ya security yani yeye kila kitu anasema anaweza hack iwe gmail, wi-fi, mitandoa ya simu atumie net bure, anakwambia gmail haiko secure, instagram anaweza...
  2. Msitari wa pambizo

    JamiiForums Tanzania Ni utaratibu gani wa kufuata ili kubadili tahasusi(combination) kwa mwanafunzi aliyepangiwa kombi asiyoitaka?

    Ndugu zangu nimekuja hapa kuomba msaada wenu wa haraka. Imebaki wiki mbili wanafunzi wa kidato cha tano wa Report lkn nimepata kesi ya dogo mmoja hapa anahitaji msaada wa haraka maana ni kama amevurugwa. Dogo amesoma shule ya kata na amepambana kweli akapata div One ya 17 na matokeo yake ni...
  3. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Ruvuma: Wazazi waliomuozesha mwanafunzi kwa Tsh. 30,000 waomba radhi

    Familia ya wazazi waliomuozesha mwanafunzi wa kidato cha tano kwa mahari ya shilingi elfu 30 wilayani Tunduru - Ruvuma wameungana kuomba radhi ili Serikali iwasamehe kwa kitendo walichokifanya kwa madai kuwa walikuwa hawajitambui. Pia Soma: Mwanafunzi wa Kidato cha Tano aolewa kwa Tsh. 30,000...
  4. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Anashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kukutwa na mwanafunzi chumbani kwake saa tano usiku

    Kijana David Ruya mkazi wa Tunduru Mjini – Ruvuma anashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kukutwa na mwanafunzi chumbani kwake saa tano usiku. Baada ya kukamatwa mwanafunzi huyo mwenye umri wa miaka 12 alikana kuingiliwa kimwili na mtuhumiwa huyo, lakini baada ya vipimo ilibainika kuwa walisema...
  5. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mwalimu anayedaiwa kumbaka Mwanafunzi afutiwa Dhamana

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Mfawidhi wa Wilaya ya Misungwi imemfutia dhamana Mwalimu Mkuu wa shule ya Msingi Kilimo, Paulo Charles (39) aliyetuhumiwa kubaka na kumpa ujauzito mwanafunzi wake ili asiharibu ushahidi upande wa mashitaka. Akimsomea mashitaka mawili kwenye kesi ya makosa ya jinai namba...
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi wa Kidato cha Tano aolewa kwa Tsh. 30,000 DC Mtatiro aingilia kati na kuvunja ndoa

    Mkuu wa Wilaya ya Tunduru, Julius Mtatiro amevunja ndoa ya kinyemela ya kimila iliyokuwa imefungwa baina ya "Muddy Muuza Urembo" wa Tunduru Mjini na Binti aliyechaguliwa kujiunga na elimu ya Kidato cha Tano katika Shule ya Wasichana ya Masasi. DC Mtatiro ameongoza vyombo vya usalama kuwakamata...
  7. Zee la madawa

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi wa chuo cha TIA Mtwara ajiua

    Mwanafunzi wa Chuo cha Uhasibu (TIA) Mkoani Mtwara aliyetambulika kwa jina moja la Regan ambaye amekuwa akiishi Mtaa wa Chikongola, Manispaa ya Mtwara- Mikindani anadaiwa kujinyonga hadi kufariki na mwili wake kukutwa ndani ya chumba chake. Taarifa za kifo chake zilianza kusambaa jana July...
  8. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi arubuniwa kwa Tsh. 7,000 na ‘Babu’, apewa ujauzito

    Mzee Amos Samson (65), mkazi wa Kijiji cha Mwamala Wilaya ya Shinyanga, anatuhumiwa kumpa ujauzito mwanafunzi wa kidato cha kwanza mwenye umri wa miaka 16 (jina linahifadhiwa) baada ya kumrubuni kwa kumpa Sh7, 000. Mwanafunzi huyo wa kidato cha kwanza katika Shule ya Sekondari Kolandoto...
  9. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Mwanafunzi kidato cha 3 adaiwa kujinyonga, kisa kuikataa Shule

    Mwanafunzi wa kidato cha tatu katika Shule ya Sekondari Lumbira iliyopo Kata ya Luanda Wilaya ya Mbozi mkoani hapa, Jafari Mwashitete (16) amekutwa amefariki shuleni akidaiwa kujinyoga. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Songwe ACP Theopista Mallya amethibitisha kutokea kwa tukio la kujinyonga kwa...
  10. D

    JamiiForums Tanzania Kutembea na mfanyakazi wa ndani (house maid) hakuna tofauti na mwalimu kulala na mwanafunzi ni kujizalilisha kabla ya kuzalilika

    Ndugu zangu nawasihi simameni kama wazazi! Unapopoewa dhamana ya kumlinda mtoto wa mtu hakikisha unatimiza majukumu hata kama kuna udhaifu wowote! Mimi enzi nafundisha shule ya kujitolea enzi hizo nimemaliza chuo! Kuna kabinti kalinitamkia waziwazi Ikanahitaji penzi langu! Lakini nilikumbuka...
  11. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi aliyepotea kwa siku 35 adai aliondoka Shuleni baada ya kubakwa na Mwalimu

    Mwanafunzi kidato cha tano wa Shule ya Sekondari Panda hill, Esther Noah (18) amesema chanzo cha kutoroka shuleni ni kunyanyaswa kingono na mwalimu wa shule hiyo anayejulikana kwa jina la mwalimu Jimmy.
  12. D

    JamiiForums Tanzania Sakata la mwanafunzi kubakwa na mwalimu Jimmy lina ukakasi lakini ipo shida kwa mwalimu

    Yule binti mwanafunzi aliyepotea! Alipatikana akiwa amewekwa kimada na muuza mkaa! Anasimulia binti huyo alifikia uamuzi huo baada ya kunyanyaswa shule na mwalimu Jimmy! Binti anazidi kusimulia ilikuwa majira ya chakula alichelewa kufuata chakula, akiwa bwenini alikuja mwalimu akawafurusha...
  13. Bueno

    JamiiForums Tanzania Hivi Transcript ni haki ya Mwanafunzi kupatiwa na Chuo?

    Naomba kuuliza wadau kuhusu hilo suala la transcript zinazotolewa vyuoni, hizi transcript ni haki ya Mwanafunzi kupatiwa na Chuo au ni mpaka mwanafunzi afukuzane na uongozi wa Chuo ndio wampe transcript? Nasema hivi sababu kuna Chuo X kilichopo maeneo ya Mkoa wa Dar es Salaam kinamzungusha...
  14. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi Esther wa Panda Hill aliyepotea kwa siku 35 amepatikana, yadaiwa alitoroshwa na mchoma mkaa

    Hatimaye Ester Noah Mwanyiru mwanafunzi wa sekondari ya Pandahill aliyetoweka 18 May 2023 amepatikana. Taarifa iliyotolewa na mama yake mzazi inaeleza amepatikana wilayani Mbalizi kwa mama fundi cherehani. Alibadili jina kuwa Erica na amekua akivaa Hijab inayofunika uso, na kuacha macho tu na...
  15. Rurakha

    JamiiForums Tanzania Msaada wa ushauri: Nimekosea kulipia control ya malipo ya mwanafunzi wa Chuo cha CBE

    Habari za Leo wadau, Mimi ni Wakala. Leo dada wa kazini amekosea kulipia control number ambayo ni ada ya mwanafunzi wa CBE akamlipia mwanafunzi mwingine wa CBE ambae sio alietoa pesa. Naomba kuuliza hatua za kufuata Ili nitatue changamoto hii, naomba kuwasilisha. MREJESHO: Nilifuta ushauri wa...
  16. K

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Ester Noah Mwanyilu, Mwanafunzi wa kidato cha tano shule ya Pandahill Mbeya amepotea

    Kwa kweli inasikitisha mno, Mwanafunzi Naomba wana JF muisikilize audio hii kwa umakini pia vyombo vya serkali vinavyohusika vichukue hatua. ========== UPDATES... Ester Noah Mwanyilu, Mwanafunzi wa kidato cha tano mchepuo wa PCB, Shule ya Secondari Pandahill hajulikani alipo baada ya kudaiwa...
  17. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Shinyanga: Polisi wafanikiwa kuzuia ndoa ya binti aliyefaulu kwenda kidato cha tano

    Ikiwa ni tofauti ya siku mbili tangu kuadhimishwa siku ya mtoto wa Afrika ilikwend ana kauli mbiu ya Mpe nafasi msichana boresha sheria ya ndoa na kuchagizwa na mabango yenye jumbe mbalimbali kama USINIPE MUME NIPE ELIMU. Huko mkoani Shinyanga hali ni tofauti kabisa kwani imejitokeza tukio la...
  18. Zekoddo

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi wa chuo, unatumia App gani katika kufanyia kazi zako za darasani

    Kama wewe ni Mwanafunzi wa chuo chochote nchini Tanzania, basi naomba tushare Application kabambe unayotumia katika kufanya kazi zako na inakurahisishia kiutendaji kazi.. mfano Assignments, Research na mambo mbalimbali... Maana kwa Sasa kumekuwa na App nyingi ambazo mwanafunzi anaweza kuingiza...
  19. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Tume ya Haki za Binadamu yatoa ripoti ya kifo cha Nusura Hassan Abdallah, chasema hakuna uhusiano na ajali ya Waziri Dkt. Festo Dugange

    Ripoti ya Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (#THBUB) imesema kifo cha aliyekuwa Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), Nusura Hassan Abdallah kilitokana na shambulio kali la kupanda kwa sukari na upungufu wa damu. Kifo cha Nusura kilihusishwa na ajali ya gari iliyomhusu Dkt. Festo...
  20. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania Kenya: Safari ya saluni ilivyokatisha uhai wa mwanafunzi Chuo Kikuu

    Familia moja katika Kijiji cha Kabuboni, Kaunti ya Tharaka-Nithi, inapambana kutafuta haki ya binti yao mwenye umri wa miaka 21, aliyeuawa kikatili. Mwili wa Ann Kambura ulikutwa umetupwa kisimani huku mikono yake ikiwa imefungwa kwa nyuma wakati blauzi na sidiria yake vikiwa vimefungwa kwa...
Back
Top Bottom