Nilipokuwa darasa la Saba mwaka 2011, tulishuhudia mwanafunzi mwenzetu akisitishwa masomo ili arudi nyumbani Skonge kwa ajili ya ndoa. Hii ilikuwa mshangao mkubwa kwetu sote, hasa ikizingatiwa kuwa tulikuwa tunakaribia mitihani ya mwisho ya NECTA na wazazi wake tayari walikuwa wamemlipia ada...
MAANDALIZI YA KUPATA KASUKU WAZURI.
interview ya kuingia tu watoto wanaweza kuwa elf 3 ila wataofuzu ni 100 tu, yaani mtoto kuingia tu hapo inabidi awe kipanga, tatizo ni kwamba hao vipanga wa darasa la saba wanaenda kugeuzwa kuwa kasuku.
KUTRAIN KASUKU
mfumo wao wa kutrain kasuku ni...
MADAKTARI wawili ambao ni Dk. Obote Casto na Dk. Deus Chacha wa Hospitali ya Manispaa ya Kahama mkoani Shinyanga, wamesimamishwa kazi kwa tuhuma za kumtoa mimba mwanafunzi mwenye umri wa miaka 14 (jina limehifadhiwa) jambo ambalo ni kinyume na maadili ya kazi zao.
Taarifa hiyo imetolewa na Mkuu...
Kufuatia hoja mbili kuhusu kilichotokea katika Hospitali mbili za Mkoani Tanga, mamlaka zimetoa majibu.
Hoja zenyewe ni hizi hapa:
= Hospitali ya Bombo kuna uzembe mkubwa. Inaumiza sana watu kutothamini uhai wa wengine
= Uzembe wa Wauguzi wadaiwa kusababisha mtoto mchanga kuvunjika mkono wakati...
Je, ni shule za Serikali?
Ama ni shule za watu binafsi?
Ama si Shule ya Serikali ama ya mtu binafsi yenye uwezo wa kumjenga mwanafunzi kifikra na kumuandaa vyema kwa maisha yajayo?
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma amesema mwanafunzi akichelewa kuripoti shule atalimishwa matuta kumi, kauli hii ni amri kwa wakuu wakuu wa shule lakini tujiulize ni amri halali?
Kwanini mwanafunzi anachelewa shule? Ni mwanafunzi wa umri gani atalimishwa matuta kumi? Je hata wanafunzi wa private school...
Mtu akiwa na mahusiano na mwanafunzi na wakashiriki ngono bila kutokea mimba je adhabu yake inakuaje?
Maana kesi zote nilizoskia adhabu ya miaka 30 inatolewa pale tu binti anapopata mimba , je asipopata mimba ila ikathibitima kufanya ngono inakuaje?
https://vimeo.com/896717216?share=copy
Haya haya
Mtoto kajipongeza baada ya kumaliza mitihani yake.
Tukio hili limetokea huko kwa majirani 254.
Mkanye mwanao.
Ndiyo. Habari ndiyo hiyo. NECTA imezifuta rasmi combinations za CBG na HGE.
Tafuta utaratibu mwingine kama ulikiwa unasoma hizo combinations.
Nimemaliza!
Yaani unakuta mwalimu anamuadhibu mwanafunzi na baridi hili kwa kosa la eti mimi mzazi nimeshindwa kuhudhuria kikao cha wazazi.
Ama mwanao anaadhibiwa kisa wewe umeshindwa kufuata taarifa ya Masomo ya mwanao (Report)
Ama aadhibiwe kwa kuwa hujatoa hela ya mchango wa ujenzi wa darasa.
Hivi hii...
Imagine mtu ana gpa ya 4.5 hadi 4.9 sijawai ona 5.0) , anamaliza chuo anarudi kitaa na kwao hawapo njema kiuchumi hawezi pata mtaji kirahisi, umaarufu wa kupata gpa nzuri unageuka kumuaibisha.
Na mara nyingi aina hii ya watu ni wale tuliokuwa tunawaita kina john kisomo, Sehemu wanayoiwezea...
Mwanafunzi huyo atakuwa miongoni mwa wahitimu 138 wa fani ya udaktai katika Chuo Kikuu cha Kumbukumbu ya Hubert Kairuki (HKMU) kwenye mahafali ya 21 yatakayofanyika siku ya Jumamosi.
Hayo yamesemwa leo jijini Dar es Salaam Makamu Mkuu wa chuo cha (HKMU), Profesa Yohana Mashalla wakati...
Mahakama ya Wilaya ya Mkuranga, imemhukumu kifungo cha maisha jela, aliyekuwa mwalimu wa Shule ya Msingi St Mathew iliyopo Kongowe, Livingston Kyarwenda (40), baada ya kupatikana na hatia ya kumlawiti mwanafunzi wake mwenye umri wa miaka tisa.
Kyarwenda, mkazi wa Mbagala Chamanzi anadaiwa...
Mimi ni nimwanafunzi wa advance combination ya PCM ninatamani na nina malengo ya kusoma kwa bidii ila kama akili imechoka ivi na ninavitu vingi sijakava na mda ndo unakalibia kuisha niingie kwenye mitihan mikubwa.
Naomba ushauri wenu nifenyeje
Mwanafunzi wa miaka 14 mwenye asili ya Ethiopia anayeishi USA, ameshinda tuzo na kuwagaragaza wana sayansi wengi wa vyuo vikuu nchini Marekani kwa kuvumbua sabuni yenye gharam ya senti 0.50 inayoweza kuzuia ugonjwa wa saratani ya ngozi...
Salaam, Shalom!!
Nimewahi kuandika Thread isomekayo,
Ushauri: Chakula Bure mashuleni kirudishwe Ili kuboresha uelewa wa wanafunzi.
Katika mada hiyo, Nimeshauri Serikali kuhakikisha inaweka mfumo Nchi nzima utakaosaidia wanafunzi shule za msingi angalau wapate kikombe Cha uji wawapo mashuleni...
Mahakama ya Wilaya ya Tunduru Mkoani Ruvuma October 18, 2023 imemhukumu kifungo cha Miaka 60 Jela, Faraji Milanzi Yasini, (20), mkulima na mkazi wa Kijiji cha Ruanda - Mkowela Wilayani Tunduru baada ya kupatikana na hatia kwa kosa la Kubaka na kumpa mimba Mwanafunzi wa Darasa la Saba...
Jaman nna swali et kwa mwanafunzi anae endelea na masomo mwaka wa pili akiwa ana sap ya somo moja anaweza pangiwa mkopo endapo kaomba na alkosa mwaka wa kwanza?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.