mwanafunzi

  1. B

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi auawa madai kuiba duka la M-Pesa

    MWANAFUNZI wa kidato cha nne katika Shule ya Sekondari ya Kutwa ya Ndugu, Mbozi mkoani Songwe, Daud Simkoko (17), ameuawa kwa kipigo kisha kuchomwa moto na wananchi kwa tuhuma za wizi katika duka la huduma za kifedha. Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Songwe, Rashid Ngonyani, amethibitisha...
  2. Action and Reaction

    JamiiForums Tanzania Aliyesoma diploma ya IT au computer science, Je! aweza kusoma degree ya telecommunication?

    Okay marafiki wa JF....... naomba kujuzwa kuhusu swala hili kama inawezekana kusomea degree ya telecommunication kutokea deploma tajwa!
  3. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Mwanafunzi wa Shule ya Msingi afariki Dunia kwa kujinyonga, yadaiwa chanzo ni kukaripiwa

    Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, ACP Benjamin Kuzaga amesema Februari 27, 2023 majira ya saa 02:00 usiku katika Mtaa wa Mwafute uliopo Kata ya Ilemi, Tarafa ya Sisimba, Jijini Mbeya, Mwanafunzi wa darasa la VI katika Shule ya Msingi Lyoto aitwaye IBRAHIM EDSON [12] alikutwa akiwa amefariki baada...
  4. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mwalimu adaiwa kumpasua jicho mwanafunzi

    Mtoto wa mkazi wa Dar es Salaa, Aisha Sijavala wa, anayesoma Shule ya Msingi Olympio ya Dar es Salaam anadaiwa kupigwa hadi kupasuliwa jicho na mwalimu wake. Taarifa za mtoto huyo kupasuliwa jicho, zimetolewa na ndugu wa familia ya Sijavala jina limehifadhiwa, ambaye alisema, tukio hilo...
  5. O

    JamiiForums Tanzania Utaratibu upi mwanafunzi anapaswa kuufuata akichelewa kusaini fedha za kujikimu? na fedha hizo zinaweza kurudishwa

    Je, ni utaratibu upi mwanafunzi anapaswa kuufuata akichelewa kusaini fedha za kujikimu? na fedha hizo zinaweza kurudishwa.
  6. O

    JamiiForums Tanzania Ningependa kufahamu juu ya utaratibu ambao mwanafunzi anapaswa kufuata akichelewa kusaini fedha ya kujikimu

    Habari, Ningependa kufahamu juu ya utaratibu ambao mwanafunzi anapaswa kufuata akichelewa kusaini fedha ya kujikimu na je fedha hizo zinaweza kurudi?
  7. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Moshi: Mwalimu mbaroni akituhumiwa kusababisha kifo cha mwanafunzi kwa kumpiga mateke

    Utata umeibuka kuhusu kifo cha mwanafunzi wa kidato cha nne wa shule ya sekondari iliyoko Pasua, Manispaa ya Moshi, Walter Ebenezer, anayedaiwa kushambuliwa kwa mateke kwenye mbavu na mwalimu wake kisha kupewa adhabu ya kupiga ‘push up’. Kutokana na kifo hicho, ndugu wa mwanafunzi huyo...
  8. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Moshi: Padri amshinda DPP kesi ya kubaka mwanafunzi na kuachiwa huru

    Padri wa Kanisa Katoliki Jimbo la Moshi, Erasmus Swai amembwaga kortini Mkurugenzi wa Mashtaka Nchini (DPP) aliyekata rufaa dhidi yake kupinga uamuzi wa Mahakama ya Wilaya ya Hai kumwachia huru padri hiyo katika kesi ya ubakaji. Januari 1, 2021 padri huyo alifikishwa mahakamani kwa mara ya...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Je, ulitumia mbinu gani kuingia kinyemela shuleni na kitu kisichotakiwa?

    Kuna dogo anasoma shule zenu za kishua ila zenye mitambo ya kukagua na ina walimu wanoko ila kaingia (kazama) getini na bangi na simu bila kugunduliwa na najua muda huu wa saa 4 kuelekea saa 5 ndiyo huwa mida yake ya kuvuta na kutupigia simu sisi washkaji na kaka zake wa mtaani tupige story...
  10. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Kama ni mwanafunzi wa lugha(Kiswahili) UD na upo chuoni ni PM unisaidie kazi fulani hapo chuoni.

    Habari. Kama ni mwanafunzi wa UDSM na una muda mchache wa kufanya kazi fulani nicheki PM. Mwanafunzi anayesomea masomo ya kiswahili. Natanguliza shukrani.
  11. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Mwalimu anayetuhumiwa kumshushia kipigo Mwanafunzi aliyedokoa maandazi ashikiliwa na Polisi

    Kufuatia kuripotiwa kwa tukio la Laurence Nicholaus Mwangake, Mwanafunzi wa kidato cha nne Shule ya Sekondari Rohila, Mbalizi kulazwa Hospitali ya Ifisi tangu Februari 12, 2023 ikidaiwa amejeruhiwa kwa kipigo, watuhumiwa wawili wanashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa ajili ya mahojiano. Afisa...
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Mbeya: Mwanafunzi alazwa baada ya kupata kipigo kutoka kwa Walimu wa Shule ya Sekondari Rohila, inadaiwa alidokoa maandazi manne

    Kijana Laurence Nicholaus Mwangake mwanafunzi wa kidato cha nne katika Shule ya Sekondari Rohila iliyopo Mbalizi Mkoani Mbeya amelazwa Hospitali ya Ifisi ikidaiwa amejeruhiwa vibaya na Walimu wanne pamoja na Walinzi wawili wa shuleni hapo. Kwa mujibu wa taarifa kutoka Shule ya Rohila...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi wa Cameroon atoa uzoefu wake wa kusoma nchini China

    Taasisi ya Confucius katika Chuo Kikuu cha Pili cha Yaounde nchini Cameroon imefanya mkutano wa hadhara wa “Soma nchini China, changamsha maisha yako", na kumwalika Joseph Olivier Mendo’o, ambaye ni mhitimu wa Taasisi hiyo kutoa uzoefu wake wa kusoma nchini China. Takriban watu 200, wakiwemo...
  14. mnkenimtaita78

    JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi mamlaka za elimu kumbadilishia Mwanafunzi jina lake?

    Salaam wakuu, Nimepata shida kwa watoto wangu wawili kubadilishiwa majina.Wa kwanza alifanya mtihani wa darasa la nne mwaka 2020 na mwingine 2022.Nilipata kufahamu tatizo Hilo baada ya matokeo ya darasa la nne.Shule walizosomea majibu yao ni kuwa wao walisajili sawasawa kulingana na vyeti vya...
  15. BigTall

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kagera: Mwanafunzi wa Form 2 abakwa na mwalimu aliyekuwa anamfundisha tuition

    Jamii Forums pazeni sauti kuna mtoto wa kidato cha pili amebakwa na Wilaya ya Muleba Mkoani Kagera wakati akifundishwa tution. Mtoto ni Mwanafunzi wa kidato cha pili Shule ya Sekondari Kagondo. Kwa sasa mtuhumiwa yuko nje kwa dhamana anatamba. Atuhumiwa aliyefanya kitendo hicho anafahamika...
  16. Tanzania Nchi Yetu Sote

    JamiiForums Tanzania Hoja za Kihiyo uamuzi wa NECTA kuachana na utaratibu wa kutangaza top 10 na mwanafunzi bora

    Nimefuatilia kwa karibu mitizamo kinzani ya wadau wa elimu na wanaharakati mbalimbali baada ya Baraza la mitihani Tanzania kutangaza matokeo kidato cha nne 2022, na hoja kubwa iliyoleta mjadala mtandaoni ni ile ya Baraza la mitihani Tanzania kuondoa utaratibu wa kutangaza shule kumi bora...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya mwanafunzi yakiandikwa kwa mtindo huu maana yake nn?

    Kwenye points na Division pameandikwa *S.
  18. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwahiyo tumewahamishia Shule nyingine Walimu waliokuwa wakichekelea kupigwa Mwanafunzi ili wakacheke zaidi huko?

    Je, hawa Walimu waliokuwa Wakichekelea Mwalimu Mkuu alipokuwa akimuadhibu Kikatili Mwanafunzi angekufa bado wangeendelea Kucheka? Kwanini mmewahamisha Shule nyingine na siyo Kuwafukuza kabisa Kazi? Wao Wana tofauti gani na Mwalimu Mkuu aliyekuwa akimchampa huyo Mwanafunzi? Hovyo kabisa.
  19. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Kocha asimamishwa kazi baada ya kulazimisha wanafunzi kupiga Push-ups 400

    Kocha wa shule ya upili ya Texas amepewa likizo ya utawala baada ya kuwataka wanafunzi wa riadha kupiga Push Ups 400 ambapo baadhi yao walitakiwa kupata matibabu na kulazwa Hospitali. Kocha wa Rockwall-Heath, John Harrell. anashutumiwa kwa kuongoza darasa la riadha Januari 6 ambapo...
  20. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mtangazaji wa Sibuka Radio aliyesoma Vichwa vya Habari leo arudi tena Darasani anatia 'Kichefuchefu' Kumsikiliza

    Tafadhali Mzee wangu na Mmiliki wa Sibuka Media Dk. Nangale na Mkeo Doreen Nyange ( Boss Mwandamizi Sibuka Media ) mmekumbwa na nini Siku hizi hadi mnaajiri Watangazi wa hovyo hovyo na wanaotia Kichefuchefu kuwasikiliza kama huyu wa leo? Nawaombeni hebu rejeeni Kukagua Academic Credentials za...
Back
Top Bottom