Sakata la mwanafunzi kubakwa na mwalimu Jimmy lina ukakasi lakini ipo shida kwa mwalimu

dmkali

JF-Expert Member
Nov 17, 2014
11,284
21,403
Yule binti mwanafunzi aliyepotea!
Alipatikana akiwa amewekwa kimada na muuza mkaa!

Anasimulia binti huyo alifikia uamuzi huo baada ya kunyanyaswa shule na mwalimu Jimmy!
Binti anazidi kusimulia ilikuwa majira ya chakula alichelewa kufuata chakula, akiwa bwenini alikuja mwalimu akawafurusha wanafunzi!
Binti mwanafunzi kwakuwa alikuwa katoka kuoga akiwa na kanga alikabwa na mwl Jimmy akabakwa!
Baada ya hapo binti akaamua kutorokea mtaani hadi pale alipookotwa na muuza mkaa!

Ukiangalia kwa inje huyu binti unaweza kumuona ni anatabia za kimalaya Malaya huenda alimtega tega sana mwl Jimmy hata kumuahidi penzi lakini muda ulikuwa bado (playing around) yaan kama hataki nataka hadi pale mwl Jimmy akaamua kujichukulia ngono mkonononi! (Kama kweli)

Upande mwingine wa shilingi hata kama binti ni Malaya lakini ifike mahali wanaopewa dhamana hawastahili kuwa sehemu ya uharibifu!

1. Hata kama binti anadanganya je mwalimu Jimmy alifuata nini bwenini la wasichana wakati huwa kuna matron?
2. Hata kama binti anadanganya kwanini mwl atajwe tajwe?
3. Mwl Jimmy naye hatufai kabisa katika safari ya elimu ingawa kabinti kana umalaya lakini siyo sababu ya mwalimu kukiuka miiko ya ualimu
4. Yule binti tujiulize kwanini hajakwenda kwa mwalimu mkuu? Jibu ni jepesi tu HOFU, AIBU na kuhisi kutosikilizwa au kutopewa nafasi ya kusikilizwa huenda kulimfanya ajione hawezi kupata msaada!
5. Kwanini hakwenda kwa wazazi? Jibu ni lilelile hata wazazi wanajua tabia za kimalaya huenda mtoto aliona nako siyo pa kukimbilia sana pengine walimu walishawaambia wazazi mtoto mkaidi! N.k

Hivyo huyu binti pamoja na matatizo yake lakini haimuachi mwl Jimmy salama!

Huyo mwalimu Jimmy hafai kuitwa mwalimu hata kama wanafunzi ni Malaya!

Alichokifanya mwalimu Jimmy hakina tofauti na dakitali anaemuingilia mjazito kisa kamvulia nguo basi dakitali aone mama ananyege kumbe chango la uzazi tu
 
Alichokifanya mwalimu Jimmy hakina tofauti na dakitali anaemuingilia mjazito kisa kamvulia nguo akizania mama ananyege kumbe chango la uzazi!
COMMENTS RESERVED
 
Kuna sintofahamu nyingi kwenye suala hili.
Lichunguzwe kwa kina zaidi na kwa uangalifu mkubwa ili lisilete madhara kwa wasiohusika.
 
Hili swala ni 'delicate' sana kuweza kuchukua upande wa mmoja baina ya mwanafunzi na teacher.

Credibility ya binti inatia shaka kidogo kutokana na kukutwa kawekwa kimada na mtu ila kutajwa kwa Mwl. Jimmy napo kunaleta shaka hasa ya kwanini iwe ni yeye tu na si mwalimu mwingine yeyote.
 
Hakuna mwanafunzi pale eti kabakwa katoroka kaokotwa na muuza mkaaa
Anajua kubakwa huyoo?!!
Mmhhh
 
Naona Kuna watu wana agenda zao kwenye hili sakata,trust me binti anayejua umuhimu wa shule hawezi kwenda kaa mtaani kwa baba Jose mwezi mzima ilhal si shule wala familia Ina taarifa🤣wamtafutie shule nyingine aendelee na masomo kama anania na kusoma kweli🤔mbali na hapo hasafishiki 🤣🤣🤣
 
Hapa mwl anaenda kuwa VICTIM na hii Kwa sababu ni yeye ni mwalimu tu . Hio kazi Kila tabu utasukumiwa wewe hawatakupa raha kidogo.

Usikute napo kamezeshwa script.

Yule Binti anaonekana tu ni kashenzi kwa tabia.

Muda wote kwanini hakushtaki kwa uongozi wa shule.!?

Unabakwa halafu unakaa kimya miezi inapita.

Kwa ushahidi utathibitisha mwalimu jimnmy alimbaka huyu Binti akitoka kulalwa na muuza mkaa.

Walimu Wana Hali ngumu.

Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
 
Hakuna kazi hapo kwamba mwanafunzi anabakwa afu analala
Kesho yake anaenda kufanya paper anaondolewa
Usiku anakimbia

Baada ya siku zaido ya 30 anapatikana

Baada ya siku 10

Anakuja sema alibakwa
Na hapa ushahidi ni mgumu maana alikuwa kwa baba Jose, sasa vipimo itanasa upande wa nani!🤔
 
Back
Top Bottom