mwaka

"Mwaka Moon" is a song by French rapper Kalash featuring Damso and Sfera Ebbasta released in October 2017. The song reached number one on the French Singles Chart.

View More On Wikipedia.org
  1. carnage21

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Uombaji wa kozi vyuo vikuu Tanzania 2023/2024

    Habari wapendwa, Naomba ushauri nina kijana wangu alimaliza A level mwaka jana ila ilishindikana kwenda chuo kutokana na sababu mbalimbali.Alipata division 1.6 PCB na alipata B flat. Naomba ushauri kijana akasomee kozi gan yenye potential kwa sasa pale muhimbili?
  2. M

    JamiiForums Tanzania Wakati ni maelfu ya wanafunzi hudahiliwa kila mwaka hapo Law School, ni mawakili 195 tu watakaosajiliwa rasmi. Nyomi huishia wapi?

    Hafla hiyo itafanyika katika ukumbi wa Karimjee tarehe 6/7/2023. Hii ni kwa mujibu wa tangazo la tume ya mahakama. https://www.judiciary.go.tz/web/index.php?r=announcements/pdf&id=204 Ila kwa kuwa Law school hudahili zaidi ya elfu moja kwa mwaka katika intakes zake zote mbili, ina maana wengi...
  3. The Boss

    JamiiForums Tanzania Huu mwaka 2023 kuna watu bado wanamsikiliza Issa Shivji?

    Miaka zaidi ya 25 iliyopita ISSA Shivji alikuwa miongoni mwa watu waliiongoza mijadala ya kupinga ubinafsishaji uliokuwa inafanywa na serikali ya Mkapa...aliendika Makala nyingi Sana na midahalo mingi Sana alishiriki...Issa Shivji, Jenerali Ulimwengu na wengine Wengi....cha ajabu kabisa juzi...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Barara ya Mbezi - Msumi kila mwaka kujengwa Km 1 - Meneja TANROAD

    Nimeangalia maelezo ya Meneja wa TANROAD mkoa -DSM ndugu Haruon Senkuku alipohojiwa na muandishi wa habari kuhusu malalamiko ya wakazi wa maeneo ya Mbezi-Msumi wanaolalamia TANROAD kutokuijenga barabara na wakihoji kuhusu mkandarasi anayejenga kakipande kasikofika hata km 1 ambapo anaifanya...
  5. nzalendo

    JamiiForums Tanzania Kafanikiwa kuacha Pombe,Bange,Sigara toka mwaka 1999

    Ni ndugu yangu. Nilihangaika nae mpaka watu wakanishangaa,lakini haya niliyafanya ili wazee{wazazi}wasilemewe na mzigo. Dogo huyu kwa sasa ni mtu mzima mwenye maisha yake ,alianza kidogo kidogo kunywa mbege wakati wa krismasi huko Moshi,akiwa darasa la tatu. kabla ya kumaliza darasa la saba...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Naomba Ushauri kabla sijanunua Hilux surf ya mwaka 1994 yenye engine ya 1KZ-TE

    Habari wataalamu, Ninatafuta gari kutoka Japan ambayo ni ngumu ya miaka ya 90s, inavumilia shida na inavumilia safari ndefu za mara kwa mara, na inayotumia engine ya diesel. Baada ya kufanya research kwa muda mrefu na kufanya cost benefits analysis kwa muda mrefu niligundua Hilux surf ya mwaka...
  7. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania DStv kupandisha vifurushi vyao kuanzia Julai Mosi mwaka huu

    Kuanzia Julai mosi mzigo wa vifurushi vya DStv kwa upande wa Tanzania ndio huu, maoni yako ni yapi?
  8. K

    JamiiForums Tanzania Kishindo cha DP WORLD: Tozo na Kodi mbalimbali kufutwa au kupunguzwa mwaka wa fedha 2023/2024. Tutarajie mazuri zaidi miaka ijayo ya fedha

    Kwenye mapendekezo ya bajeti Kwa mwaka wa fedha 2023/2024 baadhi ya tozo kama ile tozo ya kwenye miamala ambayo ni kilio Cha wanyonge wengi na Ile Kodi ya 'store' iliyopelekea mgomo Kariakoo zitaondolewa kabisa. Ukiachana na hizo Kodi, tozo na ushuru mbalimbali wa bidhaa zitapungua kabisa...
  9. Jugado

    JamiiForums Tanzania Rafiki yangu alimrusha mtu mwaka 2017/2018: Anamtafuta amwombe msamaha na kumlipa akikubali

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Rafiki yangu alitumiwa pesa kimakosa kwenye no. yake ya mpesa inayoishia na 8650. Baada ya kutumiwa hiyo hela huyo rafiki yangu aliitoa yote. Alipigiwa na aliyekosea mwamala akamrudishia elf 50 Kwa ahadi ya kulipa kilichobaki ila aliposhindwa aliacha...
  10. Nyendo

    JamiiForums Tanzania KWELI Tanzania yasaini mikataba minne ya makubaliano na Falme za Kiarabu ndani ya mwaka mmoja

    Tanzania yasaini mikataba minne na Falme za Kiarabu ndani ya mwaka mmoja. 1. Kuendeleza uwanja wa ndege wa KIA 2. Ushirikiano na Posta Tanzania 3. Kuendeleza misitu yote nchini na TFS 4. DP World na TPA
  11. The Assassin

    JamiiForums Tanzania Tuletewe mikataba 15 aliyotia saini Rais Samia mwaka jana nchini China tuijue ina nini ndani yake

    Wakati mjadala mkubwa ukiwa kwenye mojawapo ya mikataba ya ushirikiano kati ya Tanzania na nchi ya Falme za Kiarabu ya DP World tukumbeke pia mwaka jana Novemba Rais Samia alitembelea China na kusaini mikataba 15 ya ushirikiano kati ya serikali ya Tanzania na China. Ni vyema mikataba hiyo 15...
  12. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Taarifa ya Kamati ya Bunge ya Bajeti ya Mwaka wa Fedha 2023-2024

    MHDANIEL SILLO - TAARIFA YA KAMATI YA BUNGE YA BAJETI MWAKA WA FEDHA 2023-2024 Mwenyekiti wa Kamati ya Bajeti ya Bunge Mhe. Daniel Barani Sillo ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Babati Vijijini akiwasilisha taarifa ya bajeti kuhusu hali ya Uchumi kwa mwaka 2022; Mpango wa maendeleo ya Taifa kwa...
  13. benzemah

    JamiiForums Tanzania Serikali Kupeleka Magari Mawili ya Wagonjwa Kila Wilaya Nchini Ifikapo Agosti Mwaka huu 2023

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Daniel Chongolo amesema Serikali inayoongozwa na Rais Dk. Samia Suluhu Hassan, itapeleka magari mawili ya wagonjwa na moja la kusaidia shughuli za usimamizi wa masuala ya afya katika wilaya nchini ifikapo Agosti mwaka huu. Akizungumza na mamia ya...
  14. D

    JamiiForums Tanzania Huenda kuanzia mwaka 2034 nchi itakuwa na vilaza watupu

    Kwa Sasa Kuna ushawishi mkubwa wa serikali eti wanaomaliza kidato Cha nne hakuna maana ya kwenda A level bali vyuo tu. Ni hivi ndugu zangu huwezi kuwa na thinking capacities kwa ku abandon A level kwa kuona form four inatosha. Tunajenga kizazi Cha kufikiria ajira tu bila uwezo wowote. Mfano...
  15. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu: Magari 'Used' 31,970 yaliingia nchini mwaka 2022

    Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Mwigulu Nchemba amesema hadi mwaka 2022 magari 12,012 yaliyotumika (used) hayakuruhusiwa kuingia nchini kutokana na kutokidhi viwango. Mwigulu amesema Shirika la Viwango Tanzania (TBS) lilikagua magari 43,982 yaliyotumika ikilinganishwa na magari 35,606...
  16. benzemah

    JamiiForums Tanzania Mambo tarajiwa bajeti ya serikali mwaka wa fedha 2023/24

    Serikali inasoma baieti vake ya mwaka wa fedha 2023/2024 leo. Bajeti hivo ni ya majumuisho itaonyesha makadirio ya jumla ya mapato na matumizi kwa mwaka wa fedha ujao. Majumuisho yanatokana bajeti za kisekta ambazo kwa kiasi kikubwa ndiyo zinabeba mipan-go inayotaraiiwa kutekelezwa na Serikali...
  17. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Bajeti kuu ya Serikali kwa Mwaka wa fedha 2023/24 kugharimu Tsh. Trilioni 44.39

    Fuatilia Mjadala wa Hotuba ya Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka wa fedha 2023/24, leo Juni 15, 2023 itakayosomwa Bungeni na Waziri wa Fedha, Mhe. Mwigulu Nchemba. Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Mwaka 2022, thamani halisi ya Pato la Taifa kwa bei za mwaka 2015...
  18. Dr Matola PhD

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu uchaguzi wa mwaka 2020 Jinsi Hayati Magufuli alivyouvuruga

    Kumekuwa na shutuma nyingi sana za kumshutumu Magufuli kuvuruga uchaguzi wa mwaka 2020 lakini watowa lawama wote ukiwauliza alivurugaje au aliiba vipi kura hakuna atakayekupa jibu. Sasa leo nimewiwa kuwaondowa gizani, kama mtakakumbuka Magufuli aliwaita maafisa watendaji wote wa Kata Tanzania...
  19. Ironbutterfly

    JamiiForums Tanzania Nimekumbuka tulivyovamiwa geto na wananzengo tukiwa chuo mwaka wa pili

    Habari za mida hii wanajukwaa, nimekuja Dom kufatilia ishu zangu za kiofisi, niko Lodge sema usingizi umepaa. Ngoja niwape kisa hiki kilitokea miaka hiyo tukiwa chuo mwaka wa pili na shost yangu Cecy. Kama mjuavyo miaka ile ilikuwa mkiingia second year kupata hostel chuoni ni mtiti aidha upate...
  20. Corticopontine

    JamiiForums Tanzania Muswada huu ukipita na kuwa Sheria Magufuli Day itakuwa Machi 29 kila mwaka na itakuwa siku ya mapumziko

    Mwanasheria Mkuu wa Serikali Jaji Dkt. Eliezer Feleshi amewasilisha muswada wa sheria ya marekebisho ya sheria mbalimbali wa mwaka 2023 Bungeni Jijini Dodoma ikiwemo Sheria ya Mazishi ya Viongozi wa Kitaifa, Sura ya 419 ambapo pamoja na mambo mengine marekebisho haya yanakusudia kutoa mamlaka...
Back
Top Bottom