mwaka

"Mwaka Moon" is a song by French rapper Kalash featuring Damso and Sfera Ebbasta released in October 2017. The song reached number one on the French Singles Chart.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Uwanja wa KIMATAIFA Chato ulipokea wageni wa kimataifa mara ya mwisho mwaka 2021

    Uwanja wa hadhi ya kimataifa, haujapata ugeni wowote wa kimataifa tangu Mzee wetu JPM afariki mwaka 2021. Hakuna watalii Wala tukio lolote la kimataifa. Kwa nini ulijengwa kwa hadhi ya kimataifa na mataifa hayafiki hapo uwanjani? Au walijengewa watu wa mataifa(wakristo watanielewa)
  2. JamiiForums Tanzania Nilivyotinga kongamano la Hayati John Magufuli UDSM mwaka 2018 na kukaa VIP bila kualikwa wala kustukiwa

    Nakumbuka mwezi November mwaka 2018,pale chuo kikuu cha Dar es salaam sehemu ya mlimani ukumbi wa Nkrumah kulikuwa na kongamano la kujadili miaka mitatu ya hali ya uchumi na siasa kwa miaka mitatu ya utawala wa Hayati Magufuli. Binafsi nilifahamu hali ya kisiasa na uchumi nchini haikuwa nzuri...
  3. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Martha Karua atoa wito wa kulipwa fidia kwa Waathiriwa wa Bomu lililolipua Ubalozi wa Marekani Mwaka 1998

    Mwanasiasa huyo ambaye ni kiongozi wa Chama cha Narc-Kenya amesema wakati umefika wa Serikali za Marekani na Kenya kuwa na mazungumzo ya mwisho kuhusu malipo hayo ya walioathiriwa na tukio lililotokea Agosti 7,1998 Jijini Nairobi. Ameyasema hayo katika maadhimisha ya miaka 25 tangu kutokea kwa...
  4. JamiiForums Tanzania Mwaka unakaribia kuisha unamwambia nani nini?

    Mimi napenda kumwambia Intelligent businessman aoe mke wapili ache michepuko ili tumuone next year, pili na mwambia National Anthem aoe usingle 2024 hautajiki au tunakuuza ukawe mtumwa huko kwa waarabu , Lovelovie I miss you umepotea jamani babe wangu,Joannah my dear upo?? Pridah outing mama...
  5. JamiiForums Tanzania Huu ni mwaka wa mafanikio kwa simba sc kama viongozi hawatozubaa

    Nyota ya Simba sc inang’aa sana hivi sasa yaani kila wanachokigusa kinaenda, hii ni ishara nzuri kinyota. Nawaasa viongozi wa simba shikamaneni mizimu imebariki mwaka huu nyie kuwa na mafanikio makubwa, mnayoyapanga msiyaruhusu maadui zenu wayanase. Huu mwaka ni wenu
  6. JamiiForums Tanzania Marekani: Mtoto wa Mwaka mmoja afariki baada ya kuachwa kwenye gari lenye joto kwa saa 8

    Mtoto huyo wa kike aliachwa kwenye kiti cha nyuma cha gari na bibi yake ambaye alienda kufanya kazi. Polisi wa New York wameeleza kuwa bibi huyo mwenye umri wa miaka 54 alisahau kumpitisha shuleni mtoto huyo kama ambavyo amekuwa akifanya anapoenda kazini. Baada ya saa nane akaenda shuleni...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Scotland apoteza ubunge baada ya kuvunja masharti ya kuzuia maamukizi ya Covid-19 mwaka 2020

    Alisimamishwa uwakiishi na uchaguzi mdogo umitishwa. Kosa lake ni kuhatarisha maisha ya watu kwa kwenda kwenye makundi ya watu akiwa na onfirmed covid-19 test. Akiwa anasubiri matokeo ya kipimo, alikwenda Kanisani na kusoma somo. Baadaye alikwenda kwenye kilabu cha pombe. Siku iliyofuata...
  8. JamiiForums Tanzania Waziri January Makamba akishiriki katika Uzinduzi wa Taarifa ya TANESCO kwa Mwaka wa Fedha 2021/2022

    Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linazindua taarifa ya mwaka 2023/2024 na Mpango Mkakati wa miaka 10 utakaoanza kutekelezwa katika mwaka wa fedha wa 2024/2025. Omary Issa aeleza sababu kuwajengea uwezo watumishi Tanesco Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Umeme Tanzania...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Serikali ianzishe Kodi ya ukahaba itakusanya trilioni 12 kwa mwaka.

    Kodi ya ukahaba siyo jambo geni duniani, ipo katika baadhi ya mataifa yanayotupatia misaada.. Ni ujinga kutoikusanya fedha Kodi hii kwa kisingizio cha maadili, mila na tamaduni zetu huku tukiipata kwa njia ya msaada. Kwa mujibu wa senza ya 2022, idadi ya wanawake ni milioni 56. Robo yake ni...
  10. JamiiForums Tanzania WHO: Watoto 350,000 wanakutwa na Saratani kila mwaka katika Nchi Masikini, 30% hawapati Matibabu

    Taarifa hiyo imetolewa na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani, Tedros Adhanom Ghebreyesus ambaye ameeleza kuwa 30% ya Watoto hao wanapoteza maisha kwa kukosa Matibabu. Amesema 25% tu ya Watoto wenye Saratani katika Nchi zenye Kipato cha Chini wanapata Huduma Sahihi za Kiafya kulingana na...
  11. JamiiForums Tanzania Tetesi: Je, kuna mgao wa umeme? Mbona kama umeanza mapema sana mwaka huu?

    Mwezi wa saba ni mapema sana kuanza kugawa umeme. Mwezi wa kumi sijui itakuwaje.
  12. JamiiForums Tanzania THTU: Serikali imetuthibitishia kuwa nyongeza ya mshahara ipo kama ilivyoahidiwa

    Badala ya July sasa ni August 😂 === TAARIFA MUHIMU Mshikamano! THTU inapenda kuwajulisha Wanachama na Wafanyakazi Wote kwamba viongozi wamefuatilia suala la nyongeza ya mshahara ulioahidiwa na Mh. Rais wakati wa sherehe za Mei mosi 2023. Ofisi Ya Rais Utumishi imetuthibitishia kwa uhakika...
  13. JamiiForums Tanzania Azam TV yapandisha bei za vifurushi kuanzia Agosti 1 mwaka huu

    Nimepokea sms ya AzamTv kuhusu kupandisha bei za vifurushi kuanzia tarehe 01/08/2023. Mkeka ni kama ifuatavyo;
  14. JamiiForums Tanzania Nishaurini accomodation cheapest New York city naenda mwezi wa nane mwaka huu 2023 kwa siku mbili tatu tu

    August 2023 naenda New York City kushangaa Tu kwa siku kama 3 then nirudi zangu. Niko man alone, nishaurini accomodation cheapest hata kama ni shared accomodation poa tu ilimradi usalama. Mimi naishi popote sitaki tu semehu zenye violence maana usalama Kwanza. Asanteni wakulungwa.
  15. JamiiForums Tanzania Alichaguliwa chuo mwaka jana aka-confirm ila hakuripoti mwaka huu status bado inasoma selected kabla hata ya kuomba tena

    Habari zenu wakuu. Mwanafunzi mwaka jana aliomba vyuo viwili akapata vyote CBE na TIA. Aka-confirm CBE. Shida ikatokea mkopo hakupata hivyo hata chuo hakuripoti kabisa sababu mpaka batch zote zinatoka hakufanikiwa kupata kabisa na anapoishi ni mkoani. Sasa mwaka huu wakati dirisha...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Uchumi wa China wakua kwa asilimia 5.5 katika nusu ya kwanza ya mwaka huu

    Idara Kuu ya Takwimu ya China hivi karibuni ilitoa takwimu ambazo zinaonesha kuwa, pato la taifa la China katika nusu ya kwanza ya mwaka huu lilikuwa dola trilioni 8.27 za Kimarekani, ambalo ni ongezeko la asilimia 5.5 ikilinganishwa na mwaka jana kipindi kama hicho. Kwa kulinganishwa na...
  17. JamiiForums Tanzania Msaada: Kwa aliyefanikiwa kutuma maombi HESLB anielekeze

    Kwa ambae amefanya maombi ya mkopo mpaka mwisho mwaka huu 2023 HESLB. Atuambie amefanyaje maanake hii system mpya hatuielewi.
  18. JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe awatakia waislamu wote heri ya mwaka mpya

  19. JamiiForums Tanzania Kumbukizi: Tarehe kama ya leo Mwaka 1977, Simba iliifunga Yanga magoli 6-0

    Tarehe kama ya leo Julai 19, 1977 miaka 46 iliyopita Timu ya Simba ilitoa kipigo kikubwa cha kihistoria kwa wapinzani wao wa jadi, Yanga, mshambuliaji Abdallah ‘King’ Kibaden alifunga magoli matatu ‘hat trick’ na kuweka rekodi ya kuwa mchezaji pekee kuwahi kufunga hat-trick katika mchezo baina...
  20. JamiiForums Tanzania TEC na Jumuiya ya Kikristu daini mapumziko siku ya mwaka mpya wa Kikristu

    Upande mmoja wa Tanzania sasa ni rasmi mwaka mpya wa Dini fulani itakuwa ni siku ya mapumziko. Sasa basi, kama imeweza kuwa hivyo ndani ya Tanzania, kwa nini TEC na Jumuiya ya Kikristu wasidai mapumziko nao siku ya mwaka mpya wa Kikristu?! Kanisa la Roma kwa mfano, linao mwaka mpya wa Kanisa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…