mungu

  1. JamiiForums Tanzania Dr. Mwaka ana akili kubwa sana na ana mjua Mungu

    Hello JF Kila mwanaume halisi ambaye ni kizazi halisi cha Adam na Hawa, walioishi bustani ya Eden na kupewa kila kitu na yenye kila kitu ndio wataelewa. Asante Dr Mwaka kuwa mcha Mungu, unajua maandiko, hekima na busara zako ni kubwa sana. Ishi na mwanamke at your own risk, a woman is an...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Uthibitisho wa uwepo wa MUNGU bila kuhusisha kitabu cha dini

    Wakuu nimejaribu kufikiri kwa logic ndogo tuu ili kutoa uthibitisho wa mungu kwa kutumia laws of nature tujadili. Kila kitu kilichopo ulimwenguni kina opposite yake mfano uongo kuna ukweli giza kuna mwanga njaa kuna shibe kila kitu kina kinyume chake ,,,sasa hakuna mtu aliyewahi kumouna Mungu...
  3. D

    JamiiForums Tanzania Uthibitisho wa uwepo wa MUNGU bila kutumia vitabu vya dini

    Nimejaribu kuleta mjadala wa kichwa husika hapo juu.tujadili.kwakutumia logic ya kawaida pamoja na laws of nature ilikuonesha uwepo wa Mungu bila kuhusisha kitabu chochote cha dini fuatilia. Kila kitu kilichopo ulimwenguni kina kuwa na opposite yake mfano uongo kuna ukweli giza kuna mwanga...
  4. JamiiForums Tanzania Tunapitia mengi katika kutafuta. Tusikate tamaa (Kutoka kuwa walimu wa nursery hadi mkufunzi wa elimu ya juu)

    Aisee maisha yana kila aina ya furaha na karaha, tunapitia mengi lakini mwisho wa watu wengi ni mzuri, amini hivyo. Nakumbuka namaliza chuo ile sina hili wala lile, naingia mtaani na mabaki ya boom (kiinua mgongo), with hope nitakuja kutoboa tu. But kitaa ndio hichoo kikaniita mzee. Daah mdogo...
  5. JamiiForums Tanzania Ndoa ni kusudio la Mungu

    Habari za muda wadau kutokana na kampeni za kupinga ndoa ninaona kabisa nitaaribika kisaikologia hivyo ninataka nijitaidi niache kutumia jamii forum ila mnaopinga sijui nini shida maana mnatumia nguvu kubwa na hili ni tatizo kubwa nimeliona kwenye jamii haswa kwa wenye uwezo mkubwa kiuchumi ni...
  6. JamiiForums Tanzania Ili Mungu aibariki familia (ndoa) ni lazima baraka zipitie kwa baba

    Ndoa iheshimiwe na watu wote. Salaam. Ama baada ya salaam leo napenda nishiriki nanyi kitu kipya kiitwacho baraka. Baraka sio utajiri ila hutajitisha. Baraka ni ulinzi wa ki-Mungu juu yako. Wakati mtaani kwenu kideri kinaua kuku, kuku wako watakuwa salama. Utakuwa huna pesa lakini...
  7. JamiiForums Tanzania Kilimo ndiyo kazi pekee Mungu alituagiza tufanye ili tuishi

    Kilimo ni agizo la mwenyezi Mungu hakika nawambia kilimo ndiyo njia pekee ya kujipatia chakula hatupaswi kukikimbia Asiyejua kupanda atakula kwa tabu sana na zikizidi atakimbia. Kama hulimi ujue unamkaidi Mungu kweli nawambia
  8. JamiiForums Tanzania Sita Ya Mungu

    Hapo zamani za kale, katika kijiji kidogo kilichokuwa milimani, kuliishi mwanamke mmoja aliyeitwa Mariamu. Mariamu alikuwa mtu mwenye fadhili na mpole, aliyependwa na watu wote kijijini. Hata hivyo, jambo moja ambalo sikuzote lilikuwa kizito moyoni mwake ni kutokuwa na uwezo wa kupata watoto...
  9. JamiiForums Tanzania Kanisa la Anglican la Uingereza (Church of England) linajadili kutumia maneno yanayomhusu Mungu yasiyowakilisha jinsia yoyote (gender neutral terms)

    Kanisa la Anglican linajadili uwezekano wa kutokutumia jinsia pale unapotaja Mungu. Yaani mungu sio baba ama mama. Lengo la kufanya hivyo ni kuhakikisha kwamba dini inaendana na muda na wakati wa sasa na dini inakua jumuishi. Dini kua jumuishi ama inclusive ni kutambua haki za mashoga na watu...
  10. JamiiForums Tanzania Kama unamuamini Mungu mshike kweli kweli na kama unaloga loga kweli kweli binadamu wabaya

    Ndugu zangu, jana nilienda sehemu kumsalimia shangazi yangu, sasa baada ya kufika pale nimemkuta mume wake akiwa kitandani amepooza hawezi kabisa kutembea ni miaka mitano sasa imepita toka awe ndani. Kifupi nina muda mrefu sana sijamuona mumewe japo hili tatizo alilonalo nilisha lisikia muda...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Wakati debe la Mahindi ya msaada ni Tsh. 15,900 Serikali imenunua magari ya Mawaziri kwa Tsh 563 bilioni

    Tundu Lisu amesema Katiba ya JMT inafanya kuwa nusu mungu yaani Alfa na Omega. Lissu anasema kwa madaraka makubwa ya Rais ndio anapanga Matumizi Yote ya Serikali na hata Mei mosi Wafanyakazi huitumia kumuomba awaongeze mishahara. Kwa mfano Ikungi debe la Mahindi ni tsh 15,900 lakini Serikal...
  12. JamiiForums Tanzania Kama tunamuomba Mungu atuepushe na majaribu ni kwanini aliruhusu unywaji wa pombe ambao umefanya wengi kuwa walevi?

    Wasabato mkae pembeni hili haliwahusu Sijawahi kuelewa hata kidog haya mambo ya unywaji na ulevi, huwa naonaga ni kama tiketi tu ya kuhalalisha ulevi. Kama ni mlevi ama uliwahi kuwa mlevi wa sigara, bangi, pombe, ngono zembe, kamali, n.k. basi unajua fika kwamba siku ya kwanza huwa ni kujaribu...
  13. JamiiForums Tanzania Kati ya Mungu na shetani yupi ana nguvu zaidi ya mwenzake?

    Je, tutoe jibu kulingana na idadi ya wafuasi? Kamba ikivutwa na watu 10, watano kwa watano wenye nguvu ndio watawavuta wengine upande wao. Je, kuongezeka kwa maovu ni ishara ya nguvu kubwa ya shetani dhidi ya Mungu?
  14. JamiiForums Tanzania Mungu atawaadhibu kwa dhambi za wazazi wenu, hata kizazi cha tatu mpaka cha nne

    X
  15. JamiiForums Tanzania Gharama za kumkufuru Mungu

    Usithubutu kumkufuru Mungu kamwe!! Narudia tena usithubutu kumkufuru Mungu kamwe!!! Mmiliki wa meli kubwa kuliko zote ya Titanic ⛵️ alisema: "Hata Mungu hawezi kuizamisha meli hii”, unajua nini kilitokea? Meli ⛵ ilizama muda mfupi baadaye. Marilyn Monroe alisema: "Simhitaji YESU", siku 3...
  16. JamiiForums Tanzania Wale 'Team Mungu Mtu Chama' niambieni leo amecheza nini dhidi ya Coastal Union FC kwa Mkapa?

    Najua Kocha Mgunda ni Muoga na aliogopa Lawama Kumtoa ila kama kuna Wachezaji ambao leo wamecheza hovyo / vibaya na najua Kocha wangu Mkuu, Fundi na Mtaalam Roberto Olivieira angekuwepo angewatoa hata dakika ya 15 tu ya Mchezo walikuwa ni Clatous Chama na Pape Ousmane Sakho. Ni mpaka uujue...
  17. JamiiForums Tanzania Kumbe Mungu alikatazaga Kusherehekea sikukuu za miandamo ya Mwezi Isaya 1:14 (NENO)

    Isaya 1:14 (NEN) Sikukuu zenu za Miandamo ya Mwezi, na sikukuu zenu zilizoamriwa: moyo wangu unazichukia. Zimekuwa mzigo kwangu, nimechoka kuzivumilia. Leo nimeamka alfajiri sana niingie kwenye maombi maana nimetenda dhambi nyingi za kuchepuka hapa canada ili mke wangu akirudi anikute nikiwa...
  18. JamiiForums Tanzania Hamna kiumbe cha Mungu chochote kilicho haramu, vyote vinaliwa Wala siyo dhambi!! Isipokuwa Usile damu tu!

    Habari wakuu!! Leo kuna madhehebu na dini zinadanya watu kuhusu kubagua vyakula mfano nguruwe nk kuwa ukila ni dhambi! Naomba niwatoe hofu kuwa sio dhambi wewe kuleni tu chochote kile kiwekacho mbele yako labda uwe hautumii tu lakini sio kwa maana ya kwamba ukitumia ni dhambi!! Uthibitisho kuwa...
  19. JamiiForums Tanzania Awamu ya Tano ilituaminisha kuwa Mungu kaondoa Uviko-19 ili tufarijike

    Kiukweli uviko 19 au corona ilitikisa dunia na kufikia kupoteza watu wengi. Kipindi cha mwendazake kutuambia mungu kaondoa uviko 19 baada ya kuomba mimi kwangu nililipa asilimia 2%. Uviko 19 nchi zilizokumbwa ulivua nguo sekta za afya nyingi tena hizi za serikali. Kuna mda mwengine tulikubari...
  20. JamiiForums Tanzania Mambo ambayo Mungu hayapendi lakini Waislamu na Wakristu wamefichwa

    Kabla sija enda kwenye mada nauliza hivi wewe ambae unawaachiaga siti wazee kwenye daladala tangu uanze kufanya hivyo ni mambo mangapi ambayo umeshafanyiwa wepesi kwenye maisha yako? Tafakari! Chukua hatua! HAKI ELIMU. Back to the point. Yapo mambo ambayo kiuhalisia Mungu hayapendi ila...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…