mungu

  1. Komeo Lachuma

    Mama Mwantumu muogope Mungu. Hata kama si kiasi hiki wajameni!

    Mimi asili ya kwetu tunagonga sana ugali. Tunagonga ugali kinyama hasa halafu tunapiga kazi mpaka basi. Huyu mama Mwantumu nashangaa kaugali kake kama ngumi na simalizi. Nimefanya huu utafiti leo mara ya 4. Siku za mwanzo nlisema pengine kuna hesabu nakosea wakati wa kula. leo nimekaa na kuanza...
  2. Robert Heriel Mtibeli

    Wanawake, kama huwezi mtunza mtoto pelekeni kwa Baba zao. Msisumbue watu kwa upuuzi wenu

    WANAWAKE KAMA HUWEZI KUMTUNZA MTOTO PELEKENI KWA BABA ZAO. MSISUMBUE WATU KWA UPUUZI WENU! Anaandika, Robert Heriel Unang'ang'ania kuishi na mtoto alafu huna uwezo wa kumtunza huo si upuuzi. Kama huwezi kumtunza Mtoto na unapenda kuishi naye basi kuwa na adabu, kuwa humble Kwa Baba WA mtoto...
  3. The Sunk Cost Fallacy

    Rais Samia asisitiza kwa mara nyingine "hakuna kumuweka mtu mahabusu kama upelelezi haujakamikika"

    Nawasalimu kwa JMT, Mnyonge hanyongwi na haki anapewa. Rais SSH kwa mara nyingine amesisitiza kwa Polisi kwamba ni Marufuku kumuweka mtu ndani yaani Mahabusu Kama Upelelezi Haujakamikika. Hii ni mara ya pili anaongea jambo hili na ameshaliweka kwenye sheria za Polisi. Ni nadra sana hapa...
  4. sky soldier

    Tusipende kutumia msemo kwamba Mungu amempa huyu na fulani hajampa, Mungu hana upendeleo na huenda anahusika kidogo sana kwenye mafanikio yetu duniani

    Msemo huu hupendwa sana kutumika hasa na watu kanda ya mikoa ya pwani ya bahari. Utasikia hili sio fungu langu, fulani kapewa fulani kanyimwa. Hizi ni fikra za kimasikini sana za kumfanya mtu anafikia mpaka kuridhika na hali yake na kushindwa kupambana kwa njia tofauti za kufikia malengo yake...
  5. L

    Rais Samia amejaa hofu ya Mungu, ndiyo maana unaona akihubiri haki

    Ndugu zangu nadhani sote tumeendelee kusikia kile kinachojiri huko mkoani Kilimanjaro ambako Mh. Rais wetu yupo huko. Ndugu zangu ukimfuatilia Mh. Rais wetu hata kabla ya kuwa Rais wetu ni kiongozi aliyekuwa akipenda kuona haki ikitendeka kwa watu wengine bila kujali hali zao. Hali hiyo na...
  6. Mfilisiti

    Kwanini Mungu hakumuua Shetani? Kuna haja sasa ya kuwepo na Bibilia ya Shetani?

    Amani ya Bwana na iwe nanyi nyote, Wakuu moja kwa moja kwenye mada nina maswali yangu yenye aa,ba na che, ambayo nitayawasilisha kwenye huu Uzi na kama una uelewa nayo ni vyema ukayajibu. 1:MUNGU wetu ni mweza wa yote, Je kwanini hakumuua Shetani? Badala yake akamshusha Duniani akae pamoja na...
  7. Y

    SoC02 Changamoto nilizopitia katika kilimo

    Kwanza namshukuru Mungu kwa kunipa uzima na afya, pia natumia fursa hii kukusalimia mpendwa wangu. Mimi naitwa Seif Ahmed Sambila mkazi wa kijiji cha Hanihani wilaya ya Igunga mkoa wa Tabora, kazi yangu kubwa ninayojishughulisha nayo ni kilimo, ni kazi yangu kubwa ambayo inaniingizia kipato na...
  8. The Burning Spear

    It will take hundreds of years for Tanzania to get a president like Magufuli

    Kuna mambo ukiyanglia kwa jicho la nyama. Ni ngumu kuyaelewa.... Nikitafakari majitoleo yake Kwa watanzania nahisi alikuwa ni Malaika...... Dunia nzima kwa Sasa hakuna kiongozi kama yeye. Uzalendo wa namna hii tuliuona Kwa kina Martin Luther king Jr na John Kennedy...... Kwa Sasa watu...
  9. Mkemia Fred James

    Makosa ambayo "HUPASWI" kufanya Duniani

    1. Usivichukulie "POA" vitu vidogovidogo kwasababu vitakugharimu. 2.Usiseme Uongo kwa kumfurahisha mtu ni heri kumuumiza kwa ukweli.Hio itasawasaidia kuokoa muda na maumivu hapo baadae. 3.Wanadamu wa leo hawaaminiki na hawazoeleki.Usimwambie kila mtu siri za maisha yako hasa katika maswala...
  10. Samia atosha tukutane2030

    Tuko tayari kulipa tozo na kodi aina zote lakini Serikali iwe tayari kusema imeshindwa kutumia rasilimali za nchi hii tulizojaaliwa na Mungu

    Habari! Sasa ni wakati muafaka wa kuachana na misaada kutoka nje, maana nao huko kwao hali ya uchumi imekaza. Misaada inashusha heshima, mtu anayekusaidia hata akiongea upuuzi lazima ucheke ili umridhishe. Options ni 2 tu kwasasa. 1. Kutumia rasilimali zetu kama gas, makaa ya mawe, dhahabu, na...
  11. plan z

    Njia anazotumia Mungu kukusaidia

    Hiki ni kisa cha mchungaji ambaye yeye alikuwa akimwamini Mungu kiasi kwamba alishindwa kutambua njia anazotumia Mungu kusaidia mtu anapokuwa kwenye tatizo. Mchungaji huyu alikuwa anaamini kwamba Mungu atakuja kumwokoa kimiujiza, mbali na kwamba Mungu alitumia watu mbalimbali kama daraja la...
  12. plan z

    Hadithi Ya Jinsi Mungu Anavyosaidia

    Hiki ni kisa cha mchungaji ambaye yeye alikuwa akimwamini Mungu kiasi kwamba alishindwa kutambua njia anazotumia Mungu kusaidia mtu anapokuwa kwenye tatizo. Mchungaji huyu alikuwa anaamini kwamba Mungu atakuja kumwokoa kimiujiza, mbali na kwamba Mungu alitumia watu mbalimbali kama daraja la...
  13. Pascal Mayalla

    Wa kuabudiwa, kutukuzwa na kusujudiwa ni Mungu pekee!

    Wanabodi, Leo kuna SMS nimetumiwa, nilipoisema humu hiyo SMS imeleta kizaazaa! hadi kufikia kutoleana maneno mabaya kwa baadhi ya watu humu kutoleana maneno ya kufuru kwa Mwenye Enzi Mungu!. Kitendo cha baadhi yetu kumkubali, kumsifu na kumpongeza mtu fulani kwa uchapakazi wake, kunahesabiwa...
  14. S

    Agosti 30 kila mtu kwa Imani yake na mahala alipo tumlilie Mungu dhidi ya TOZO

    Watanzania tuna silka yetu ama ukipenda tabia yetu iliyozoeleka ya kutokupigana hasa tunapokuwa kwenye mtanziko ama mkwamo wa Jambo lolote lile. Huu siyo uzumbukuku, uzoba ama uzwazwa kama wengi wasemavyo bali ni karama toka kwa mola waliopewa watu wa taifa hili. Nchi hii ni Kisiwa cha baraka...
  15. F

    Watanzania tufunge na Kuomba tukimlilia Mungu?

    Katika nchi yetu kuanzia juzi vilio vya makato ya miamala ya Kibenk vimetikisa nchi yetu. Kwa bahati mbaya kabisa wenye mamlaka wamekuwa wakitoa majibu ya kejeri na kiburi ndani yake. Hawasikii Wala hawana uchungu dhidi ya mamilioni ya watanzania wanao ogelea katika dibwi la umasikini huku wao...
  16. Sifi Leo

    Hiki ni kitu gani wajameni?wanawake Mungu naomba uwachome kasoro mama yangu!

    Sina maelezo ni picha hizi ni dawa gani?
  17. Nduna shujaa

    Jamani Mungu anawaona kwa mnayowafanyia kondoo hawa!

    Inasikitisha sana kwakeli yani baadhi ya wachungaji wanawaaminisha wanatibu vvu na kuwafanya watu wanaacha dawa hatimaye kufa. Lakini pia niwape kisa kingine nje na hapo juu. Kwanza nikiri wapo wachungaji wachache wenye karama ya uponyaji, wengine wapiga dili tu.Kisa cha kweli ila sitataja jina...
  18. T

    Nilichojifunza kwa Rais Mteule Ruto na Hayati Rais Magufuli, kwa Mungu kila kitu kinawezekana

    Ninajua machache juu ya Rais Mteule Ruto juu ya Imani yake kwa Mungu lakini kwa uchache huo yatosha kusema Ruto NI muumini wa Mungu wa kweli Kama alivyokuwa Hayati Magufuli. Nakumbuka Hayati Magufuli aliwahi kukiri ni Mkapa ndie aliyemshawishi kugombea Urais na Magufuli alipoonesha kutaka...
  19. S

    Nifanye ibada kwa njia ipi ili Mungu wangu ajibu maombi yangu kwa haraka?

    Mwenzenu nina shida ya haraka, ambayo nikiweza kutatua ndani ya siku 3, maisha yangu yatakuwa yamefunguliwa upya. Kila nikiwaza binadamu gani wa kunisaidia simuoni. Tumaini ninaloliona ni kupata msaada toka kwa Mwenyezi Mungu. Wana bodi, nifanye ibada gani Ili Mungu anisaidie kwa uharaka?
  20. T

    Mungu wangu likumbuke Taifa langu la Tanzania

    Hata kama vifijo na chereko vikiwa na kelele ya mawimbi ya bahari bado kuna kilio ktk mioyo ya watanzania. Jambo sio zuri lina andaliwa katika usiri na wanao ulio tupa macho ya rohoni nakutupa ona siri ambazo wengine hawakuwahi kuziona ama kuzisikia tuna piga magoti na kukuomba utuokoe ktk giza...
Back
Top Bottom