mungu

  1. T

    JamiiForums Tanzania fantasy ya Mungu wa bandia

    Hei, vipi!!?? Mungu atapaa chini lini wenye hayo maluelue na kumsuburi wapae naye mbinguni na kuwalisha duniani kimiujiza bila kufanya kazi, WAKATI MUNGU WA KWELI ANASEMA, ASIYEFANYA KAZI NA ASILE, NA MBINGUNI NI KWA NJIA YA KIFO TU!!?? Hivi, waliokufa sasa hawako mbinguni, wameozeana mpaka...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Ufundi ni kazi iliyobarikiwa na Mungu ila mafundi ndiyo tunazingua

    Ukiitazama dunia na vilivyomo! Unagundua mataba na madaraja ya kibinadamu ni chimbuko kuu la kiufundi! Hata wakristu wanatuambia Mungu "aliumba" Uumbaji ndiyo kazi pekee kubwa ya kwanza kuwepo duniani! Hata Yesu alizaliwa na fundi selemala! Ufundi ni kazi bora sana kuwepo na laiti hata hapa...
  3. F

    JamiiForums Tanzania Mkuu Le Mutuz tajiri wa roho

    Mkuu, Lemutuz aisee mungu akuwekee sana msaada wako unaotoa kwa jamii hautaweza kusahaulika unafanya mambo makubwa sana kwenye japo watu wengi hawauoni au ni husuda za watu wenye vijiba vya roho tu. Lemutuz ni mtu poa sana inshort ni Tajiri wa roho ila dunia ilivyo mti wenye matunda hupigwa...
  4. Beesmom

    JamiiForums Tanzania Tumshukuru Mungu kwa hii pumzi maana tumeweza kufika mpaka leo tar 25/12/2022

    Tuombe: Asante Mtakatifu, asante Jemedari uketie mahali pa juu palipoinuka, asante Mungu wetu Alfa na Omega. Tunakushukuru Mungu wetu kutufikisha mpaka leo hii, maana si kwa uweza wetu bali ni kwa uweza wako ewe Mtakatifu. Kuna wenzetu hawajaweza kufika Leo kutokana na umauti, yote tunasema...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Hofu ya Mwenyezi Mungu iliyo ndani ya Rais Samia imemfanya kuwa mkweli na muwazi katika Uendeshaji wa Serikali

    Ndugu zangu, Rais Samia Ni kiongozi wa kipekee Sana, Ni kiongozi mkweli na muwazi Sana. Ni kiongozi mcha Mungu na mwenye hofu ya Mwenyezi MUNGU. Ni kiongozi ambaye Dhamira yake na kifua chake kimetawaliwa na hofu ya Mwenyezi Mungu. Ni kiongozi ambaye ukimsikiliza unaona Hataki kuzungumza...
  6. The Assassin

    JamiiForums Tanzania Kwa mujibu wa Biblia, unaweza kujikuta wewe ni mmoja ya watu ambao Mungu aliwakataa hata kabla hawajazaliwa

    Ukisoma Biblia , 2 Timotheo 2: 19 Mungu anasema yeye anawajua watu wake hata kabla hajaumba misingi ya ulimwengu. Ukisoma tena Mathayo 22:14 Biblia inasema walioitwa ni wengi lakini wateule ni wachache. Kwa msingi huo wewe unaweza ama inawezekana umeitwa tu, yaani umekuja tu Duniani lakini...
  7. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Mungu akiwa ndani yako kila kombora lako kwa maadui atarusha yeye

    Ifahamike ya kwamba Mungu hupenda roho safi, mioyo safi, na utakaso ndani ya nafsi zetu, hivyo basi ukimtegemea na kumuishi yeye, hutumii nguvu ya kuhangaika na Ibilisi akufuataye kwenye maisha yako. Mungu wa kweli hupigana yeye kama yeye dhidi ya maadui zako, maana kila kombora na silaha zote...
  8. Komeo Lachuma

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hapa kama Mungu hajaingilia kati tunampoteza mwenzetu

    Nimewaza sana, Yaani mwanamke anapiga ngumi kama bondia kwa mwanaume ambaye hajamgusa. Kama roho wa Mungu hayupo karibu nawe, nakwambia kuna watu wanaweza gawana majengo.
  9. MK254

    JamiiForums Tanzania Mwanasoka wa Kimataifa kunyongwa Iran, katika harakati za Iran kumpigania "Mungu"

    Serikali ya Iran inaendelea kunyonga watu mbali mbali ambao wanahusika kwenye maandamano dhidi ya dhuluma za dini ya kiislamu, mmojawapo wa walio kwenye hatari ya kunyongwa ni mwanasoka hodari, yote hii ni harakati za kuendelea kumpigania "mungu" wa waislamu. Hata hivyo maandamano yapo pale...
  10. February Makamba

    JamiiForums Tanzania Mungu ndiye shetani(?)

    Ukisoma kwa umakini biblia Mwanzo mpaka ufunuo utaelewa kuwa kitabu kimebadilisha wahusika, Sehtani ameitwa Mungu na Mungu ameitwa shetani. Mungu wa kwenye biblia anaelezewa kuwa Mungu mwenye wivu anayechukia kuona unamsifu au kumfuata mungu mwingine, Anataka wewe tokea unaamka hadi unalala uwe...
  11. Side Makini Entertainer

    JamiiForums Tanzania Sababu 10 za Kuamini Mungu Yupo

    Mungu yupo na sababu za kuamini zipo. Sababu zimeandikwa mbinguni na duniani kwa herufi kubwa kiasi kwamba kila aaminiye aweza kuzisoma; nimesema, kila aaminiye aweza kuzisoma. Nikwambie mapema, sina ushahidi wa kumthibitishia asiyeamini uwepo wa Mungu hata asiweze kuutafsiri vinginevyo; kama...
  12. Mwachiluwi

    JamiiForums Tanzania Kuna Mungu anayebariki kulingana na ukubwa wa sadaka ya mtu?

    Hellow guys, Mimi nataomba kujua kuna Mungu ambaye ana bariki kulingana na sadaka yako ulio toa yaani kama umetoa kanisani 1000 unabarikiwa kidogo lakini kama umetoa 7000 unabarikiwa zaidi ya yule alie toa kidogo Kuna kanisa moja niliendaga ni maarufu sana hapa DSM nikasikia mchungaji anatoa...
  13. Fbn

    JamiiForums Tanzania Nimemsamehe adui yangu aliyenipelekea kuyumba baada ya kufariki, Mungu ampokee

    Usipende kuharibu maisha ya watu.usipende kumfanyia mtu kibaya ila niliweka kando maumivu na mateso uliyonipa kwenye utafutaji. Labda bila wewe nisingekuwa hapa au bila wewe ilikuwa kusudi kwa muumba mimi nitoke pale. Nakuombea kwa Mungu akupokee. Huku nikisindikiza na wimbo wa "Nimajaliwa...
  14. Masai wa Town

    JamiiForums Tanzania Anyongwa hadi kufa kwa kupambana na 'Mungu'

    Iran imemnyonga Majidreza Rahnavard ambaye ni Mtuhumiwa mwingine aliyetiwa hatiani kutokana na vurugu kwenye maandamano yanayopinga utawala wa Kiislamu Iran. Amekutwa pia na kosa la kutangaza vita dhidi ya Mungu ambalo adhabu yake ni kifo kwa sheria za Iran.
  15. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Qatar yapiga marufuku mapenzi ya jinsia moja, ulevi na biashara ya ngono wakati wa Kombe la Dunia

    Wapenzi wa Soka ambao watakuwa nchini Qatar kwa ajili ya Kombe la Dunia la Novemba 2022 wamepewa maagizo ambayo ni lazima wayafuate ili kufurahia kukaa kwao wakati wa mashindano ya kimataifa ya soka. Zifuatazo ni hatua muhimu za tahadhari: Mapenzi nje ya ndoa ni kinyume cha sheria nchini...
  16. February Makamba

    JamiiForums Tanzania Hivi Mungu alikosa njia nyingine ya kufikisha ujumbe tofauti na Vitabu?

    Venezuela! Mungu anatumia vitabu/maandishi kufikisha ujumbe wake, iwe kupitia biblia au Quran. Tatizo la hii njia ni kuwa inategemea utafsiri/enterpretation ya binadamu. Tatizo la binadamu ni kuwa tunatofautiana uelewa na uwezo wa kutafsiri. Unaweza kuchukua wanazuoni wawili wote wenye elimu...
  17. February Makamba

    JamiiForums Tanzania Hivi wanyama walimfanya nini Mungu?

    Bahamas! Kwasisi binadamu hapa duniani, chanzo cha kuteseka na maumivu yote tutamlaumu babu yetu Adam ambaye alikosea kula apple kule bustanini. Sasa kwa wanyama, wao kosa lao ni nini? Kwanini swala aliwe na chui? Kwanini Nyumbu aliwe na Simba? Kwanini Pundamilia wakose majani? Kwanini Kuku...
  18. C

    JamiiForums Tanzania Hivi Mungu yupo au ni mipango ya watu kujipatia ajira na pesa?

    Kwema wakuu, kwa hali ilivyo najiuliza je kweli Kuna Mungu au ni business za watu kutufanya mazuzu na kula pesa zetu?
  19. Mynd177

    JamiiForums Tanzania Je, baraka za Mungu ni mafanikio ya kimwili kama utajiri au zipo nyingine tofauti na utajiri?

    Wakuu, habari za leo, natumai Jumapili iko poa kwenu, Kama kichwa kinavyosema, je, baraka za Mungu tuzihesabu kupitia mafanikio yetu ya kimwili kama pesa, majumba, magari ya kifahari, mke mrembo, simu kali na mengine mengi au kuna namna nyingine anaweza kuwa anatubariki ila sisi hatujui? Kwa...
  20. Empty containers Tanzania

    JamiiForums Tanzania Ombeni Neema ya Mungu iwaguse na sio kutukana wazee

    Mungu ni Mwema mkiendelea kutukana wazee , Fahamu kuwa ndo mnazidi kuharibu nchi na Kesho zenu.
Back
Top Bottom