Mungu nisaidie nitimize ndoto yangu ya kumsaidia mtu mmoja tu abadilishe maisha, akawe na maisha mazuri kabisa

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,955
156,157
Kila mtu ana ndoto yake. Wapo ambao ndoto zao ni kuwa wafanyabiashara wakubwa wenye mapesa, wapo wenye ndoto ya kuwa maraisi, wapo wenye ndoto za kuwa na upako mkubwa kupitiliza, wakiliga chafya wafu wafufuke.

Kwa kweli furaha yangu niweze kumsaidia mtu mmoja, awe mume au mke, mwana JF au asiye mwana JF, niweze kubadili hali yake ya kimaisha, nimpe moyo, abadilishe mindset atoke kwenye hali mbaya kwenda nzuri zaidi.

Nifanye mabadilklo bila kutegemea asante au ujiko au chochote kwa ndugu huyo.

Mungu nisaidie nitimize ndoto zangu.
 
Unataka kumpa ushauri tuu bila pesa? Motivational speakers kila siku wanatoa ushauri lakini wapi. Kama una nia kweli toa mitaji ya kilimo yenye tija na ushauri na uwasimamie itapendeza zaidi.
 
Kubadiĺisha maisha kuna vingi vinahitajika. Sio ushauri tu, wala sio pesa tu, ila ni pamoja na kumpa elimu juu ya ndoto zake, kumpatia nyenzo mbalimbali na sehemu ambayo ataitimizia ndoto yake.
FB_IMG_1659209119475.jpg
 
Kila mtu ana ndoto yake. Wapo ambao ndoto zao ni kuwa wafanyabiashara wakubwa wenye mapesa, wapo wenye ndoto ya kuwa maraisi, wapo wenye ndoto za kuwa na upako mkubwa kupitiliza, wakiliga chafya wafu wafufuke.

Kwa kweli furaha yangu niweze kumsaidia mtu mmoja, awe mume au mke, mwana JF au asiye mwana JF, niweze kubadili hali yake ya kimaisha, nimpe moyo, abadilishe mindset atoke kwenye hali mbaya kwenda nzuri zaidi.

Nifanye mabadilklo bila kutegemea asante au ujiko au chochote kwa ndugu huyo

Mungu nisaidie nitimize ndoto zangu
Ukianza kuchakata papuchi unigawie na mkmi, maana najua nyingi sana zinafuatilia uzi wako kwa karibu
 
Kila mtu ana ndoto yake. Wapo ambao ndoto zao ni kuwa wafanyabiashara wakubwa wenye mapesa, wapo wenye ndoto ya kuwa maraisi, wapo wenye ndoto za kuwa na upako mkubwa kupitiliza, wakiliga chafya wafu wafufuke.

Kwa kweli furaha yangu niweze kumsaidia mtu mmoja, awe mume au mke, mwana JF au asiye mwana JF, niweze kubadili hali yake ya kimaisha, nimpe moyo, abadilishe mindset atoke kwenye hali mbaya kwenda nzuri zaidi.

Nifanye mabadilklo bila kutegemea asante au ujiko au chochote kwa ndugu huyo.

Mungu nisaidie nitimize ndoto zangu.
Ndugu huyo mtu fanya niwe mimi maana ndugu yako sielewi kabsa! Mungu akukubalie ombi lako!!
 
Kila mtu ana ndoto yake. Wapo ambao ndoto zao ni kuwa wafanyabiashara wakubwa wenye mapesa, wapo wenye ndoto ya kuwa maraisi, wapo wenye ndoto za kuwa na upako mkubwa kupitiliza, wakiliga chafya wafu wafufuke.

Kwa kweli furaha yangu niweze kumsaidia mtu mmoja, awe mume au mke, mwana JF au asiye mwana JF, niweze kubadili hali yake ya kimaisha, nimpe moyo, abadilishe mindset atoke kwenye hali mbaya kwenda nzuri zaidi.

Nifanye mabadilklo bila kutegemea asante au ujiko au chochote kwa ndugu huyo.

Mungu nisaidie nitimize ndoto zangu.
Nipo hapa kiongozi, nimefulia kabisa sina fedha!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom