Tetesi: Kesho Kenya Mungu anapinduwa meza ya mzaliwa wa kwanza kama alivyofanya kwa Esau akampa Yakobo

TumainiEl

JF-Expert Member
Jan 13, 2010
6,193
11,225
Igweeeeeee!!!! Habari zisizo rasmi ila zipo rasmi kwa manabii nikuwa kesho tarehe Nne mwezi wa Tisa huko Kenya Mungu anaenda pinduwa meza kama alivyo fanya kwa mzaliwa wa kwanza Esau...

Nihivi kuna story moja kwenye Bible inatisha sana ambapo Mungu aliunyang'anya uzaliwa wa kwanza wa Esau akampa Jacob.

Je ilikuwaje ebwanaa weee nikwamba siku moja Esau akitokea kwenye mawindo alikuwa na njaa ile kinyama yani sasa akamkuta mdogo wake anakitu cha dengu akamwambia ndugu yangu nina njaa sana naomba icho chakula dogo sijuwi alikuwa anaongozwa na roho au Mungu alimpa maarifa gani siakamwambia kaka yake Br kama vipi nikikupa hii dengu utanipa nini?

Jamaa likawaza likaona kumrudhisha dogo amwambie atampa uzaliwa wa kwanza... Weee mweeee kumbe Mzee Baba Mbinguni akasikia akapiga kimya siku ya siku Esau alisha sahau aliuza uzaliwa wa kwanza Mzee akamwambia kaniletee chakula kizuri nikubariki maana nataka kusepa kwa baba...

Mam siakasikia mchongo mzima kwanii asimwambie Jacob mwenzako anataka kubarikiwa kimbia fasta kwa ziz tumtengenezew dngi msosi kaka yako akirudi akute imeisha hiyo... Kukatisha story Jacob akalamba baraka zote za mzaliwa wa kwanza yani kaka mtu kirudi akakuta manyoya bifu yake unaambiwa Jacob alikimbia nchi...

Turudi hapo Kenya kesho kazi ipo Ruto ndio Jacob analamba nchi kama mzaa watakinukisha ila bwana Mungu ameamua kumjibu Odinga kwamba Yeye yupo na alimsikia akimkebei mwenzake kwamba anamtajataja Mungu bwana Sir God amesikia alafu amejibu kama mzahaa kijana anachukua nchi hata kama kweli kura zimeibiwa ila hakuna kilichoibiwa Mungu ameamua Ruto awe Rais.

Hii story imenikumbusha Rais wa taifa fulani aliwahi kusema atakuwa Rais hata kama Mungu atazuwia yeye atakuwa Rais tobaa Sir God akamsikia akahakikisha anakuwa Rais ila hatawali unaambiwa maasaa machache baada yakuchaguliwa akafa.

Mungu yupo huwamini una amini funga domo. End
 
Mungu ameamua kumjibu Odinga kwamba Yeye yupo na alimsikia akimkebei mwenzake kwamba anamtajataja Mungu bwana Sir God amesikia alafu amejibu kama mzahaa kijana anachukua nchi hata kama kweli kura zimeibiwa ila hakuna kilichoibiwa Mungu
Tusubiri tuone...
 
Ukweli mchungu juu ya Kenya

Ni busara ndio itakayoiponya Kenya na Kama Kenya ikaamua kufanya makosa yaliyofanyika Congo ambayo zamani iliitwa Zaire ya kumpora nchi Lumumba basi na Kenya ijiandae kwa Vita ya muda mrefu ya kutafuta suluhu na maridhiano.

Kenya ipo salama na itaendelea kuwa salama na Mungu atailinda ikiwa mtumishi wake William Ruto atofanyiwa mizengwe ya kuporwa ushindi na ushindi wa Ruto haujaja kwa bahati mbaya .

Naomba nirudie tena na ieleweke hivo kenya ipo salama chini ya Rais Ruto na hiyo mahakama haitoweza kubatilisha ukweli wa uamuzi na hatima ya Kenya na wakenya na sanasana itakachofanya ni kuchochea uvunjifu wa amani nchini Kenya.

Yawezekana maneno haya yakawa yakuumiza lakini kosa la Congo linaweza kujirudia Kenya kama busara isipotumika
 
Hakuna hio kitu mwizi hapewi hio nchi, You give Ruto then Kenya will be swallowed by Museveni, Ruto is M7's puppet, the other day he was about to seek Aslam in Uganda. No way
 
Mtoa mada mbona una makasiliko hivo!
Anapata
Hakuna hio kitu mwizi hapewi hio nchi, You give Ruto then Kenya will be swallowed by Museveni, Ruto is M7's puppet, the other day he was about to seek Aslam in Uganda. No way
Narudia tena siku Odinga akiwa Rais wa Kenya najitoa mazima humu JF, namshukuru Mungu kanijalia kipaji Cha juu cha kuona kwa mtazamo wa uchambuzi. Na maranyingi wenye kipaji hiki hujikuta wakiambiwa hawaelewi kitu na hii inatokana na Sababu kwamba uelewa wao ni mkubwa sana
 
Kwani upo Kenya mkuu? Mi namkubali Ruto na ninatumaini atashinda kesi ya kesho japo kuna sehemu inanipa mashaka hasa kwenye ile form 34A ambayo soweto aliionesha pale Court! Hofu yangu haipo kwenye jina la Jose ila kwenye ule muhuri wa IEBC, nikiangalie ile copy na original yake naona kama mihuri inatofautiana ilo ndo linanipa mashakha sana.
 
Utopolo mtupu huo
Anapata
Narudia tena siku Odinga akiwa Rais wa Kenya najitoa mazima humu JF, namshukuru Mungu kanijalia kipaji Cha juu cha kuona kwa mtazamo wa uchambuzi. Na maranyingi wenye kipaji hiki hujikuta wakiambiwa hawaelewi kitu na hii inatokana na Sababu kwamba uelewa wao ni mkubwa sana
 
Igweeeeeee!!!! Habari zisizo rasmi ila zipo rasmi kwa manabii nikuwa kesho tarehe Nne mwezi wa Tisa huko Kenya Mungu anaenda pinduwa meza kama alivyo fanya kwa mzaliwa wa kwanza Esau...

Nihivi kuna story moja kwenye Bible inatisha sana ambapo Mungu aliunyang'anya uzaliwa wa kwanza wa Esau akampa Jacob.

Je ilikuwaje ebwanaa weee nikwamba siku moja Esau akitokea kwenye mawindo alikuwa na njaa ile kinyama yani sasa akamkuta mdogo wake anakitu cha dengu akamwambia ndugu yangu nina njaa sana naomba icho chakula dogo sijuwi alikuwa anaongozwa na roho au Mungu alimpa maarifa gani siakamwambia kaka yake Br kama vipi nikikupa hii dengu utanipa nini?

Jamaa likawaza likaona kumrudhisha dogo amwambie atampa uzaliwa wa kwanza... Weee mweeee kumbe Mzee Baba Mbinguni akasikia akapiga kimya siku ya siku Esau alisha sahau aliuza uzaliwa wa kwanza Mzee akamwambia kaniletee chakula kizuri nikubariki maana nataka kusepa kwa baba...

Mam siakasikia mchongo mzima kwanii asimwambie Jacob mwenzako anataka kubarikiwa kimbia fasta kwa ziz tumtengenezew dngi msosi kaka yako akirudi akute imeisha hiyo... Kukatisha story Jacob akalamba baraka zote za mzaliwa wa kwanza yani kaka mtu kirudi akakuta manyoya bifu yake unaambiwa Jacob alikimbia nchi...

Turudi hapo Kenya kesho kazi ipo Ruto ndio Jacob analamba nchi kama mzaa watakinukisha ila bwana Mungu ameamua kumjibu Odinga kwamba Yeye yupo na alimsikia akimkebei mwenzake kwamba anamtajataja Mungu bwana Sir God amesikia alafu amejibu kama mzahaa kijana anachukua nchi hata kama kweli kura zimeibiwa ila hakuna kilichoibiwa Mungu ameamua Ruto awe Rais.

Hii story imenikumbusha Rais wa taifa fulani aliwahi kusema atakuwa Rais hata kama Mungu atazuwia yeye atakuwa Rais tobaa Sir God akamsikia akahakikisha anakuwa Rais ila hatawali unaambiwa maasaa machache baada yakuchaguliwa akafa.

Mungu yupo huwamini una amini funga domo. End
Lakini Ruto leo kasema yupo tayari kukubali uamuzi wa mahakama ili kulinda heshima ya Kenya kwamba yafuata utawala wa sheria.

Sasa huyo Yakobo kwamba alimkimbia Essau ni suala jingine.
 
Kwani upo Kenya mkuu? Mi namkubali Ruto na ninatumaini atashinda kesi ya kesho japo kuna sehemu inanipa mashaka hasa kwenye ile form 34A ambayo soweto aliionesha pale Court! Hofu yangu haipo kwenye jina la Jose ila kwenye ule muhuri wa IEBC, nikiangalie ile copy na original yake naona kama mihuri inatofautiana ilo ndo linanipa mashakha sana.
Bora wewe umeangalia kwa fact,na sio kwa kutanguliza ushabiki-ukweli ni kuwa ukiangalia kwa hoja zilizotolewa pale Mahakamani hakuna namna yoyote ile matokeo yamufeve Ruto labda mahakama nayo iamue au wakubaliane kumpa lasivyo kiushahidi na kihoja imethibitika uchaguzi ulikuwa na makosa mengi sana ya msingi.
 
Binafsi sionagi shida kueleza kile nilichokiona! Sijui itakuwaje ila ile kitu inanipa mashakha japo najiuliza mbona mawakala walikuwa na hard copy? Na matokeo yalilingana ila lengo la muhurj ule kubadilika muhuri kulikuwa na malengo gani!
 
NARUDIA TENA HUMU KAMA MAHAKAMA YA KENYA ITAAMUA KWA MAKSUDI KUTOA HUKUMU YA KUMPOKONYA RUTO USHINDI WAKE HALALI KESHO, NAAHIDI KABLA YA KUTEMBEA UCHI HADHARANI SIKU TATU MFULULIZO NA KUJIUA, NITAKUNYA NA KUTAPANYA MARVEY KILA MAHALI KUACHA LAANA MBAYA KWA RAILA NA WAFUASI WAKE.

Magonjwa Mtambuka Nyamizi
 
Back
Top Bottom