mungu

  1. P

    JamiiForums Tanzania Wale wa vijijini, tunamshukuru Mungu watu wa mijini kukosa maji, acha tuwe sawa!

    Maeneo mengi sana ya vivijini, mvua zikikata tu, na maji ya kunywatayari yanakuwa ya taabu saana tokea Uhuru Katika jimbo la Chalinze Kwa mfano, yapo maeneo Kwa kiangazi hiki, hawaogi mwezi mzima, wana kunywa maji Kwa kupangiana, kwamba mtu anywe Mara moja tu Kwa siku zaidi ya hapo, hakuna maji...
  2. 4

    JamiiForums Tanzania Nape ondoka Wizarani bila shuruti, kwa sasa hupendwi na Wananchi na Mungu pia

    Sitoandika mengi hapa kwako Nape, Yani vifurushi leo unakuja na lugha laini ila ikipita miezi kadhaa wazunguka huko huko huenda kutekeleza malengo yako, maana mmeishajua mwenye nchi wasahaulifu, watapiga kelele, ila nyie mwala mema ya nchi, hivi mwafikili hizi pesa za dhuluma mtazikwa nazo...
  3. MUTUYAMUNGU

    JamiiForums Tanzania Kanisa la Tanzania linapitia kipindi kigumu sana. Mungu alinusuru

    Hizi ndio changamoto za kanisa la Tanzania. Tuzidi kumuomba Mungu. 1. Mikutano ya The Big Octoba na The Big Novemba iliyokuwa inahuhubiri kuacha dhambi na kumrudia Kristo imekufa. 2. Mwamposa na Suguye wanauza vifaa vya uponyaji mafuta, maji, keki na vitambaa badala ya kuhubiri watu waache...
  4. Lanlady

    JamiiForums Tanzania Kama kweli ni chaguo la Mungu, tusisingizie vita/ tabia nchi

    Kama title inavyojieleza, hivyo ndivyo ilivyo. Kama kiongozi wa nchi ni chaguo la Mungu, nchi hiyo itabarikiwa na itastawi. Hakuna sababu ya kusingizia mabadiliko ya tabia nchi, vita nk! Binafsi kwa kipindi kifupi cha uongozi wake, nimeona mabadiliko makubwa ya tabia nchi tofauti na kipindi...
  5. hamis77

    JamiiForums Tanzania Mungu kupitia Torati alikataza GMO

    Mungu kupitia Nabii Musa alitoa maelekezo kuhusu uchanganyaji wa mbengu ili kupata kiumbe kimoja. Kizazi kiovu baadae walichanganya mbegu za wanyama tofauti wakatoa viumbe wa ajabu kina Godzila ,Mungu kupitia Gharika akawaharibu, Kuna watu leo walikuwa wanabisha haiwezekani kuchanganya mbegu ya...
  6. Afrocentric view

    JamiiForums Tanzania Mungu anaweza kutenda dhambi?

    Wakulungwa vipi? Kuna swali huwa linanitatisha. Kama tuliambiwa Mungu anaweza kila kitu. Na mungu ana free will. Je, Mungu anaweza kutenda dhambi?
  7. Afrocentric view

    JamiiForums Tanzania Mungu anaweza kupumzika?

    Kupumzika simaanishi lazima iwe baada ya kuchoka, namaanisha ile kuacha kufanya kitu ambacho unafanya kila siku hata kama hakikuchoshi. Nlisahau salamu. Mambo vipi wakulungwa? Hili swali waga najiuliza sana. Kama Mungu ndio anacontrol kila kitu yani anagovern ulimwengu. Anajua saivi sehemu...
  8. Ali Nassor Px

    JamiiForums Tanzania Kabla ya kuja watu weupe waafrika tuliamini uwepo wa Mungu ila hatukuamini uwepo wa shetani

    Jana nilibahatika kufanya maongezi na mzee moja wa zamani sana age inakimbilia kama miaka 90 now. nilimuuliza maswali mengi sana yanayohusu imani ila tukaenda mpaka miaka ya nyuma kidogo kutokana na maelezo yake niligundua aya. kuwa waafrika kabla ya kuja waarabu, wareno , waingereza...
  9. Logikos

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mungu na Shetani wasimalize tofauti zao?

    Hili suala tulijadili kwa Logic! Iwapo tunaambiwa kusamehe mara sabini mara saba, inakuwaje hawa wasimalize tofauti zao sababu naona hivi vita vyao sisi nyasi tunaumia. Okay unaweza kusema kwamba Shetani hajarepent (kuomba msamaha) ndio maana hajapewa msamaha, lakini je inamaanisha Mungu...
  10. mcshonde

    JamiiForums Tanzania Chapisho la Mungu na Shetani

    Kuna chapisho linaitwa "satan the servant of God", wengi walitaka kujua mwandishi kaongelea nini humo ndani, ni mengi...ila point ni kwamba Shetani amekuwa akitumika na Mungu mara kwa mara ili kuwachambua walio wake na wasio wake. Kwamba mwamba amekuwa akitumwa hapa na pale na anawekewa...
  11. Naantombe Mushi

    JamiiForums Tanzania Hivi Mungu na Shetani bado wanawasiliana?

    Ukisoma kitabu cha Ayubu 1: 6 - 9 Ayubu 1: 7-9 [7]BWANA akamwuliza Shetani, Umetoka wapi wewe? Ndipo Shetani akamjibu BWANA, na kusema, Natoka katika kuzunguka-zunguka duniani, na katika kutembea huku na huku humo. [8]Kisha BWANA akamwuliza Shetani, Je! Umemwangalia huyo mtumishi wangu Ayubu...
  12. F

    JamiiForums Tanzania Askofu wa Katoliki Jimbo la Bukoba atetea uwepo wa kiti cha Rais Kanisani

    Wapendwa, nimeona mjadala juu ya kiti cha Rais na nikaonelea nitoe maelezo kidogo. Kanisa katika protocol zake inatambua na kuwaheshimu viongozi katika hadhi zao mbali mbali. Hii protocol siyo ya sasa au jana ni ya miaka mingi. Rais ni kiongozi wa nchi hivyo hadhi yake ni hadhi ya nchi siyo...
  13. KING MIDAS

    JamiiForums Tanzania Namshukuru Mungu, haya ndiyo mafanikio makubwa kabisa niliyoyapata mwaka huu

    Watu wengi wenye akili za kifukara hulitafsiri neno mafanikio kwamba ni kuwa tajiri au kutajirika. Wenye akili wanajua fika kwamba mafanikio sio kuwa tajiri wala sio kutajirika, ila mafanikio ya kweli ni kutimiza ndoto zako. Namshukuru Mungu, mwaka huu nimeweza kuacha tabia ya kupiga punyeto...
  14. Shujaa Nduna

    JamiiForums Tanzania Mungu baba anajua haya?

    Kila nikitazama clip na live za manabii,kuhani,wachungaji najiuliza kweli wote wayatendayo haki ktk imani kweli? Wengi wanahubiri mafanikio ktk biashara,kazi na kipato.Sioni wakihubiri zaidi ktk kuwajenga watu ktk imani na kumcha mwenyezi. Wanahubiri matukio zaidi unakuta anasema shetani...
  15. APPROXIMATELY

    JamiiForums Tanzania Mungu, haya tunayoyaona ni dalili za mwisho wa dunia au ndiyo mwisho tayari?

    Jina kubwa lililopita majina yote, wewe ni alpha na omega, mkuu utaishi milele na milele. MUNGU, je haya tunayoyaona ni daliliza mwisho wa dunia, au ndo mwisho tayari, maana kila kukicha habari juu ya matukio mbali mbali?mara PADRE kalawiti watoto, mara shehee kalawiti mtoto, connection za...
  16. D

    JamiiForums Tanzania Inatubidi tuende na Dunia inavyotaka. Hivi Mungu yupo kweli?

    "Mfano halisi ni humu Jf naamini 90% wana Dini zao na wanaobaki ndio vile hapa na pale. Hoja inakuja hivi" Watu Waki post mambo ya ngono ngono asee wachangiaje ni kama wote ila mtu akiweka maada za kujenga sasa!? Mimi binafsi tangu nimejiunga humu ni mwaka wa kumi huu lakini mabandiko yangu...
  17. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Tukatae, tukubali, watumishi wa Mungu hupitia mapito/ mitihani mikubwa sana. Tuwaombee bila kukoma

    Unajua ukikaa na kuiangalia kazi ya Watumishi wa Mungu utaona ni rahisi sana. Utaona ni kula sadaka tu na kusema pokeeni baraka za Bwana. Kwa kweli watumishi wa kweli wa Mungu hupitia majaribu makubwa sana. Majaribu hayo yalianza zamani, zama za Adam, Adam aligongewa mke wake na nyoka. Hebu...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Kipi kitabu cha Mungu kwa wakati wetu huu kati ya Bibilia na Qur'an?

    Habari Wana jamii, nimeona mada nyingi zinazo husiana na iman zikileta changamoto na kuto kubalina katika njia zote mbili. Sasa naomba tutoe hoja Kila mmoja hapa kwanini tuseme BIBILIA ni KITABU CHA MUNGU na kinaongoza watu kwenda mbinguni na pia Qur' an ni KITABU chuamungu na kinaongoza watu...
  19. I

    JamiiForums Tanzania Natafuta mume aliye na hofu ya Mungu

    Im a female looking for a serious relationship age 35 above must be Christian, kabila lolote awe ameajiriwa au amejiajiri. Mimi ni muajiriwa Serikalini niko Dar.
  20. Checnoris

    JamiiForums Tanzania Dance groups wanayocheza barabarani kwa kisingizio cha kumtumikia Mungu wapimwe akili

    Haya makundi ya wacheza muziki kumsifia Yesu si sahihi(hii style ya kupiga (mauno) Wanafanya makosa makubwa katika Imani inayohusu waumini lukuki. Mbaya zaidi wanawashirikisha watoto wadogo chini ya miaka 18. Haki za Watoto zinabakwa.
Back
Top Bottom