mungu

  1. JamiiForums Tanzania Hiki kitu wamepewa wanadamu wote wanaomuamini na kutomuamini Mungu, ila waafrika hasa Tanzania hatuoendi kukitumia

    Kwa Mujibu wa Mungu, Kile mtu ambacho atafanikiwa kukiwaza anauwezo wa kukifanya. "Awazavyo mtu moyoni mwake ndivyo alivyo". Sababu ya Mwenyezi Mungu kushuka kuchafua Lugha kwenye mnara wa Babeli ni mawazo ya wale watu. Yeye aliona huo mnara umeshajengwa hata kabla hawajaanza. Watu wengi...
  2. JamiiForums Tanzania Je, Mungu ni muweza wa yote?

    Je, Mungu ni muweza wa yote? Kama jibu ni ndiyo, basi tukubali mema na mabaya yote yake, yote mema na mabaya yanayo endelea ulimwenguni kote yeye ndio muhusika. Ukiona unamchagulia yapi anafanya na yapi hafanyi kwa kutazama mazuri na mabaya basi tambua huyo Mungu sio muweza wa yote bali wa...
  3. JamiiForums Tanzania Mkuu wa hii Dunia ni MUNGU, ila shetani kajizolea kijiji chake cha watu wenye nguvu yenye ushawishi

    Mkuu wa dunia hii ni MUNGU wa mbinguni, ila asilimia kubwa ya watu wanamuabidu shetani na Mungu anepewa kisogo. Ngoja nikueleze kitu. Kuna vitu vya kwanza kabisa ni lazima uviwahi ili uiteke hii dunia. Shetani kapiga bao kubwa kwa sababu vitu vyote katika dunia hii, vile vikubwa amevishikilia...
  4. JamiiForums Tanzania Nimepata ufumbuzi wa namna Mungu anavyojibu maombi yetu

    Hakuna kipindi katika maisha yangu nilichokuwa karibu na Mungu kama hiki. Sometimes mpaka najiona nimechelewa sana kuyafanya yale anayotaka kila siku niyafanye. Mimi nilishakuwaga na mashaka sana na Mungu kwenye kujibu maombi, thats true bro lakini baadaye nikakaa na kujifikiria kwa nini? Watu...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mungu, nakuomba uwaamshe Watanzania kutoka usingizini

    Mungu, Watanzania wamepigika na wamechoka kweli kweli. Wakati Watanzania wanahangaika kila siku kutafuta angalau mlo wa siku, Mawaziri, Wabunge na waandamizi wengine wa serikali wanaishi maisha ya ANASA na hawajali hata kidogo shida za Watanzania. Mungu, nakuomba uwaamshe Watanzania ili kila...
  6. JamiiForums Tanzania Russia mbioni kufanya shambulio kubwa katika historia

    πŸš¨πŸš¨πŸš¨πŸš¨πŸš¨πŸš¨πŸš¨πŸš¨πŸš¨πŸ‡·πŸ‡ΊπŸ‡·πŸ‡ΊπŸ‡·πŸ‡ΊπŸ‡·πŸ‡ΊπŸ‡·πŸ‡ΊπŸ‡·πŸ‡ΊπŸ‡·πŸ‡Ί Jeshi la Urusi linajiandaa kufanyq shambulio kubwa katika historia toka SMO ianze 🚨🚨🚨FLASH FLASH FLASH: Russia Prepares To Launch Revenge Attack on Ukraine!!! Largest military strike in recent history about to happen!! - 14x Tu-95MS, nuclear capable bombers (Angel of...
  7. JamiiForums Tanzania "kutoka kwa ukungu hadi kutakata , namshukuru mungu kwa kila baraka"

    bonge moja la song kutoka kwa mkali wa rnb ben pol ft darassa cmg mwanamziki asiechuja kila ngoma ni hit song tuuuuuu
  8. 4

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi Tundu Lissu?

    Ndugu wana JF popote mlipo neema ya Bwana ikawe juu yenu na Mungu amebariki Wakuu nauliza Mwana wa Mungu, kaka wa taifa hili, mzalendo asie na mfano Ndugu Lissu, yuko wapi? Binafsi kama mwananchi na kama mfuasi wake ni haki yangu jua alipo maana na ni siku zimepita kidogo simsikii wapi alipo...
  9. JamiiForums Tanzania Ukikosa tubu, Mungu yupo tayari kukusamehe!

    REHEMA ZA MUNGU NI KUU KULIKO DHAMBI ZETU. Mungu atakusamehe dhambi zako, atazitupa kwenye kilindi cha bahari, atazifuta kabisa, utakuwa kama hujawahi kutenda dhambi, utakuwa safi. hata mtu akikukumbusha dhambi yako mwambie, Mungu alishaifuta, na kitu kikifutwa ni kwamba hakipo, ni sawa na...
  10. JamiiForums Tanzania Hakuna siri kwa Mungu

    Mhubiri 12:14 Kwa maana Mungu ataleta hukumuni kila kazi, pamoja na kila neno la siri, likiwa jema au baya.
  11. JamiiForums Tanzania Dhana 'Mungu" ni chanzo cha anguko kwa vichwa maji

    Habari Wana JF. Bila shaka asilimia kubwa ya Watanzania na watu duniani kwa ujumla tunaamini juu ya uwepo wa Mungu. Hata hivyo kuna matabaka mbalimbali yatokanayo na aina ya imani tunayokuwanayo kuhusu Mungu. Kwa uzoefu na shuhuda nilizonazo, nimeshuhudia jinsi watu wanavyosaidiwa na...
  12. JamiiForums Tanzania Je, ni Mungu ndio anatuadhibu kwa kuruhusu Manabii feki kuzidi kutudanganya kwa kuwa tunawatafuta wao na dini zao zaidi ya tunavyomtafuta yeye?

    Kudanganya kwa jina la Mungu huku akiwaambia watu kuwa yeye ni njia ya kumfikia Mungu. Miujiza na nguvu isiotokana na njia ya Mungu. Ushajiuliza hawa washikaji hawaogopi kuwa wanakufuru na muda wowote wanaweza kuwa wahanga wa hasira ya Mungu. Kwa kweli tumewageukia wao kutokana na tabu zetu...
  13. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuwa "mtumishi wa Mungu"

    Hizi hapa njia za kuwa mtumishi wa mungu na kuukwaa utajiri 1. Jifunze kusema uwongo 2. Jifunze jinsi ya kuchezea akili za watu 3. Jifunze kuvaa suti au gauni jeupe 4. Craim biblia yote juu ya kichwa chako. 6. Tafta kamganga gwiji kakusaidie kufanya mazingaombwe kidogo. 7. Pata...
  14. JamiiForums Tanzania Labda ni dini zetu ndio zinazotuchanganya na kupotosha kuhusu Mungu

    Mimi naamini zaidi utakavyo mjua Mungu ndio zaidi utakavyo ujua ukweli na kuwa huru zaidi. Lakini tulichofanya nikujua dini zaidi ya Mungu. Kwa kuwa mashirika haya ya dini yanataka uzame ndani yao zaidi huku wakituambia bila wao hatutamfikia Mungu basi hawako tayari kukupa nafasi ya kuweza...
  15. JamiiForums Tanzania Mwenyezi Mungu pekee ndiye anayeamua riziki

    Wakuu , Usiku huu nimetoka zangu nje kununua Chakula na nimefika pale nikaagiza zangu Chipsi, Mishikaki mitatu na Soda take way. Sasa wakati nasubiri Chakula imekuja gari Kali ni V8 au Z8 sijaiangalia vizuri sana. Akashuka Jamaa yupo Smart sana na Vito vya thamani mkononi na shingoni ananukia...
  16. G

    JamiiForums Tanzania Nguvu za Mungu kwa Daudi kumshinda Goliati kwa jiwe la kombeo

    Kwenye vita za zamani kulikuwa kuna utaratibu kabla vita haijaanza inabidi kila upande ukae umbali wa takribani mita 400 (viwanja vinne vya mpira), hivyo kulikuwa na eneo kubwa la wazi kati yao, kila upande ulipeleka mpignaji wao mahiri katikati ya hilo eneo la wazi kupigana ANA KWA ANA mpaka...
  17. JamiiForums Tanzania Kuna uwezekano wa Mungu kuwa na nguvu sawa kitu alichokiumba (shetani)?

    Ramadhani njema wanajamvi! leo naleta hoja lakini hoja yangu ni ya kiimani nataka kujua kupata kujifunza kutokana na fikra zangu hazinishawishi pia,nifahamike mimi imani yangu ni muislamu hivyo siyo kama nakebehi kuhusu hoja yangu na ikiwa nimekosea mungu anisamehe. Qur'an na bibilia...
  18. JamiiForums Tanzania Mungu na dini ni vitu viwili tofauti. Mungu hasomi wala haandiki

    Mungu ni asili, yeye ndiyo chanzo cha vyote vinavyoonekana na visivyo onekana. Ili Mungu akure maarifa, hana haja ya kukuandikia kiatabu. Jiulize maarifa makubwa waliyonayo wanyama mbalimbali, wameyasoma kwenye kitabu gani kitakatifu? Mungu yupo, hasomi, haandiki, wala hana dini. Dini ni...
  19. JamiiForums Tanzania Kuidai Tanganyika siyo kuuvunja Muungano. Ni mpango wa Mungu (video)

    Kihistoria nchi ya Tanganyika ilikuwepo na ndiyo ambayo tunasheherekea uhuru wake tarehe 09 Desemba kila mwaka. Kinachohuzunisha ni kwamba Tanganyika ipo kifungoni na nyapara CCM hataki kabisa kuiona ipo huru. Kila anayeidai Tanganyika anafanya jambo jema. Muungano uwepo lakini Tanganyika...
  20. P

    JamiiForums Tanzania Mungu fundi: Kutoka kwenye maono ya kuwa Air Hostess hadi kuwa nafasi ya juu

    Binadamu yeyote mwenye akili inayofanya kazi huwa ana maono/ ndoto ya kuja kuwa mtu fulani katika jamii. Maono haya yanatokana na uwezo wa mtu wa kufikiri, mazingira, elimu aliyonayo, vitu anavyoona au kusikia. Katika mazingira yote hayo, mtu mmoja alikuwa na ndoto ya kuja kuwa air...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…