Dhana 'Mungu" ni chanzo cha anguko kwa vichwa maji

DeMostAdmired

JF-Expert Member
Oct 7, 2017
877
2,427
Habari Wana JF.

Bila shaka asilimia kubwa ya Watanzania na watu duniani kwa ujumla tunaamini juu ya uwepo wa Mungu.

Hata hivyo kuna matabaka mbalimbali yatokanayo na aina ya imani tunayokuwanayo kuhusu Mungu.

Kwa uzoefu na shuhuda nilizonazo, nimeshuhudia jinsi watu wanavyosaidiwa na kunufaika na Mungu wanayemuamini na kwa upande mwingine kuna wengine wanateseka na kuangushwa na huyo Mungu wanayemuamini.

DHANA "MUNGU" INAPOACHA HOFU KWA MUUMINI HAPO NDIPO ANGUKO LINAFUATA.

Kumekuwa na watu wanaomtanguliza Mungu katika kila kitu kiwe kidogo cha kupuuzwa au kikubwa cha kuzingatiwa nakupewa umakini.

Unakuta mtu amezama kwenye dini kiasi kwamba hata akikuta majani ya mti yamepulizwa na upepo na kuingia ndani seburen basi ataanza kupiga maombi mpka kieleweke. Hii ni ishara kwamba tayari huyu mtu Hana msaada kutoka kwa Mungu anayemuamini bali amejiweka mwenyewe katika mafuta na kunikaanga.

Mtu mwenye hofu na wasiwasi katika kila kitu haijalishi ni kidogo au kikubwa huyu mtu tayari ameanguka.

MTU WA MUNGU MWENYE KUITUMIA VYEMA DHANA "MUNGU" HAPASWI KUWA NA HOFU JUU YA KITU CHOCHOTE KWANI ANAYE MUNGU ANAYEMUWEZESHA NA KUMLINDA KUEPUKANA NA HATARI YA AINA YOYOTE.

Ukiona kumuabudi Mungu kunakubakisha na HOFU na wasiwasi wa ajabu basi jua tayari haupo uelekeo sahihi na unahitaji ukombozi.

Mtu anakesha kanisani kukemea na ukimuliza anakemea nini anakwambia ROHO tu imemtuma akemee, atakwambia kaota hivi kaota vile, sijui katokewa na Mungu kaelekezwa akemee.

Mtu muda wote anasali Hana muda wa kuwekeza akili katika shughuli za kumuingizia kipato.

Mtu kila anachokipata yeye anawaza kwanza zaka, sadaka na michango kanisani, huyu mtu tayari kaanguka.

Mtu akifika eneo lake la kazi akikuta hali ya tofauti kidogo tu hata kama hali ile ni ya kawaida tu ya kupuuzwa basi atakemea kutwa nzima na kazi haitafanyika siku hiyo huyu naye kaanguka tayari.

Mchumba ambaye kashika sana dini na kila kitu anamtanguliza Mungu hata kama ni vitu vya kutumia akili ya kawaida tu kuvisov basi huyo so wa kutoewa naye au kumuoa kwani tayari hana uwezo wa kutumia nguvu alizonazo bali anaendeshwa na nguvu nyonyaji ambazo ndio chanzo cha anguko lake.

MWISHO NISEME DHANA "MUNGU" SIO YA KUKURUPUKIA KWANI INAWEZA IKAWA NDO CHANZO CHA ANGUKO LAKO MPKA UNAKUFA MASIKINI USIYETHAMINIKA.

AHSANTENI!!!
 
Dhana ya Mungu na shetani katika kichwa cha muumini ni dhana moja yenye pande mbili ,yaani kama sh moja yenye kichwa na mwenge .

Pia ni kama mfano wa kisu pande moja kina matumizi mazuri sana ila kisu hicho kinaweza kufanya mabaya pia ( mauaji), inategemea na nia ya mtumiaji alie kishika .apo unaona tatzo sio kisu apo tatzo ni mtumiaji wa kisu .
 
Dhana ya Mungu ni mtego wa kisaikolojia.

Katika hili, tunapaswa kusaidia jamii yetu isikamatwe na mtego huu.
 
Dhana ya Mungu na shetani katika kichwa cha muumini ni dhana moja yenye pande mbili ,yaani kama sh moja yenye kichwa na mwenge .

Pia ni kama mfano wa kisu pande moja kina matumizi mazuri sana ila kisu hicho kinaweza kufanya mabaya pia ( mauaji), inategemea na nia ya mtumiaji alie kishika .apo unaona tatzo sio kisu apo tatzo ni mtumiaji wa kisu .
Makanisa mengi ya kiroho ni mtego
 
Hao hapo wajanjaa wa wakuwalaa wajingaa na Wana tambaa na hamtawafanya kituu
IMG-20240322-WA0003.jpg
IMG-20240322-WA0002.jpg
 
Kila binadamu ana imani.....shida inakuja unaitumia vp hyo imani yako,kukusaidia au kukuangamiza.

Sawa na kila taifa lina chanzo chake cha mapato....sasa kwenye issues ya maendeleo inategemea wanatumiaje hzo resources
 
Ukisoma bible kawaida tu,utagundua hata wale manabii na mitume tunaohadithiwa isipokuwa Muhammad(sina uhakika),hawakuwa wameacha akili mbali na imani zao.

Upo wakati walihoji,walidadisi,waliweka poll na Mungu au kwa lugha rahisi hawakuwa tayari kupelekwa na hisia zao,na vipo vichwa vigumu kabisa ambavyo viligoma live live kupokea tu maagizo,kaini na yona.

Ukichunguza na kutafakari utagundua Mungu anapenda mtu anayejiamini sio mfuata mkumbo.
 
Tawire
 
Unakuta mtu amezama kwenye dini kiasi kwamba hata akikuta majani ya mti yamepulizwa na upepo na kuingia ndani seburen basi ataanza kupiga maombi mpka kieleweke.

Mtu anakesha kanisani kukemea na ukimuliza anakemea nini anakwambia ROHO tu imemtuma akemee, atakwambia kaota hivi kaota vile, sijui katokewa na Mungu kaelekezwa akemee.

Mtu muda wote anasali Hana muda wa kuwekeza akili katika shughuli za kumuingizia kipato.

Mtu akifika eneo lake la kazi akikuta hali ya tofauti kidogo tu hata kama hali ile ni ya kawaida tu ya kupuuzwa basi atakemea kutwa nzima na kazi haitafanyika siku hiyo huyu naye kaanguka tayari.

Mchumba ambaye kashika sana dini na kila kitu anamtanguliza Mungu hata kama ni vitu vya kutumia akili ya kawaida tu kuvisov basi huyo so wa kutoewa naye au kumuoa kwani tayari hana uwezo wa kutumia nguvu alizonazo bali anaendeshwa na nguvu nyonyaji ambazo ndio chanzo cha anguko lake.
Ukweli mchungu... Tatizo bindamu wa siku hizi ni wabishi sana...

Cc: Mahondaw
 
Back
Top Bottom