Labda ni dini zetu ndio zinazotuchanganya na kupotosha kuhusu Mungu

Eli Cohen

JF-Expert Member
Jun 19, 2023
1,309
4,017
Mimi naamini zaidi utakavyo mjua Mungu ndio zaidi utakavyo ujua ukweli na kuwa huru zaidi. Lakini tulichofanya nikujua dini zaidi ya Mungu.

Kwa kuwa mashirika haya ya dini yanataka uzame ndani yao zaidi huku wakituambia bila wao hatutamfikia Mungu basi hawako tayari kukupa nafasi ya kuweza kujua na kutambua uwepo na ukweli wa Mungu.

We fikiria kiundani zaidi, kwa kuwa Mungu ni mmoja sasa kwa nini Mungu aabudiwe katika misingi tofauti na ya ajabu isio kuwa na umoja wa kumuabudu Mungu. Mashirika haya ya dini yanagawanya watu na kufundisha chuki dhidi ya wasio wa dini ya kufanana, hii ikiwa ni ishara ya kukosa umoja kwa Mungu tunaemini ni mmoja.

Kuna njia ya kumjua Mungu zaidi na ukweli kuhusu Mungu lakini umekuwa coiled in someway kwamba ukidadisi sana utalaaniwa na kukufuru. Sijui kama hii ni ukweli, lakini in some kinda of way nafikiri Mungu mwenyewe angependa tumtafute zaidi yeye kuliko jinsi tunavyoelekezwa na mashirika yetu ya dini.
 
Mbona neno dhehebu ni laana kamili ....ili ujue dini ya kweli unatakiwa kujua kuwa dhehebu ni hekalu la shetani
 
Ni kweli kabisa , kati ya vitu vilivyotuweka mbali na Mungu ni dini.

Ukitaka kukua Mungu na kuwa huru kifikra na kimtazamo toka nje ya mstari wa dini.
Siyo dini ni madhehebu ukitaka kumjua mungu usiwe kwenye dhehebu lolote tena utambue kuwa madhehebu yote duniani mungu wake ni shetani .... shetani ndiyo mungu wa madhehebu ...mtu akiwa na dhehebu tu huyo ni kipofu
 
Siyo dini ni madhehebu ukitaka kumjua mungu usiwe kwenye dhehebu lolote tena utambue kuwa madhehebu yote duniani mungu wake ni shetani .... shetani ndiyo mungu wa madhehebu ...mtu akiwa na dhehebu tu huyo ni kipovu
Ongezea nyama mkuu kuhusu madhehebu na ushetani...
 
Mimi naamini zaidi utakavyo mjua Mungu ndio zaidi utakavyo ujua ukweli na kuwa huru zaidi. Lakini tulichofanya nikujua dini zaidi ya Mungu.

Kwa kuwa mashirika haya ya dini yanataka uzame ndani yao zaidi huku wakituambia bila wao hatutamfikia Mungu basi hawako tayari kukupa nafasi ya kuweza kujua na kutambua uwepo na ukweli wa Mungu.

We fikiria kiundani zaidi, kwa kuwa Mungu ni mmoja sasa kwa nini Mungu aabudiwe katika misingi tofauti na ya ajabu isio kuwa na umoja wa kumuabudu Mungu. Mashirika haya ya dini yanagawanya watu na kufundisha chuki dhidi ya wasio wa dini ya kufanana, hii ikiwa ni ishara ya kukosa umoja kwa Mungu tunaemini ni mmoja.

Kuna njia ya kumjua Mungu zaidi na ukweli kuhusu Mungu lakini umekuwa coiled in someway kwamba ukidadisi sana utalaaniwa na kukufuru. Sijui kama hii ni ukweli, lakini in some kinda of way nafikiri Mungu mwenyewe angependa tumtafute zaidi yeye kuliko jinsi tunavyoelekezwa na mashirika yetu ya dini.
NENO DINI MAANA YAKE NI HAKI ...
mtu akisema (dini ya mungu) ni sawa sawa na kusema (haki ya mungu) .... (dini ya kweli = haki ya kweli ) kwa sasa binadamu wamegeuza maana ya neno DINI na kuwa USHABIKI WA KIMADHEHEBU

Yoyote atendaye haki huyo katenda tendo la dini .....kwa sasa duniani watu wanajisifia dini huku awatendi haki wala awapendi haki...hivyo dini ya kweli ni ipi ? Jibu ni KUTENDA VITENDO VYA HAKI pasipo kutenda mabaya.
 
FB_IMG_1710868697615.jpg
 
Back
Top Bottom