mungu

  1. Tanki

    Unapata shot ya stock kwenye biashara Yako? Nipe kazi niwe stock controller wako. Mungu ni mwema SITAKUANGUSHA

    Nina uzoefu wa miaka minne na nusu ambapo nilifanya katika moja ya depot ya kampuni ya Cocacola, hizi ambazo zinaitwa SSD. Nilikuwa chini ya kampuni Fulani ambayo mshahara wangu ulikuwa ukipitia kwenye hiyo kampuni. Nilifanya kazi Kwa miaka kadhaa na niliacha kazi Kwa amani kabisa pasipo...
  2. MK254

    Umuue binadamu mwenzako kwa mawe kisa dini, halafu uje kugundua huyo 'Mungu' wako hayuko!

    Unamzika mtu akiwa hai, tena kwa ukatili, yote hii kisa sheria za kidini, halafu ukifa uje kushangaa huyo ambaye umekuwa ukimuabudu na kusababisha ufanye ukatili mengi kumbe siye. Mimi japo ni muumini wa uwepo wa Mungu, lakini haya masuala ya kiimani ni ya mtu binafsi na wala sina uwezo wa...
  3. Robert Heriel Mtibeli

    Ikiwa Kanisa lina mlinzi ambaye ni mwanadamu iweje Watu waombe Ulinzi kwa mungu aliyeshindwa kulinda nyumba yake?

    Kwema Wakuu! Moja ya mambo yaliyozidi kunipa mashaka kwenye suala la dini ni pamoja na suala la ulinzi na usalama. Ukienda Kanisani sio ajabu ukakuta Milango. Na kama utaenda siku ambayo sio ya ibada sio ajabu ukakuta Milango imefungwa na kufuli kabisa. Kama hiyo haitoshi, Makanisa makubwa...
  4. GENTAMYCINE

    Mkiambiwa Mungu hapendi Kulazimishwa Jambo kwani hutupa kila Kitu kwa Kipimo hatusikii tu

    Na kaniambia hii Mvua isiyoisha Koki yake ataisahau wa Makusudi kwa muda mpaka tushike Adabu kisha atarejesha Jua lake na Joto. Ndani ya Wiki Mbili nzima kila Mtu anamlaumu tu Mwenyezi Mungu kwa Joto na Jua Kali na Wengine hata Kumchukia wakati Yeye alikuwa na lengo lake Jema tu na sasa baada...
  5. Y

    Katika makuzi yangu nilikua nikiaminishwa kuwa viongozi wa nchi huchaguliwa na Mungu

    Katika makuzi yangu nlikua nkiaminishwa kua viongozi wa nchi huchaguliwa na Mungu, Pindi nasoma advance bahati nzuri uchaguzi wa rais, wabunge pamoja na madiwani nlikua kidato cha sita pale shinyanga high school maarufu kama SHY BUSH , nlishiriki kupiga kura lakin majibu yaliyobandikwa ktk...
  6. whiteskunk

    Watu wanaamini kuna Mungu na shetani kwa sababu kuamini ni rahisi kuliko kufikiri

    Kuna tofauti kubwa kati ya uwezo wa kufikiri na uwezo wa kukariri. Ubongo usiokuwa na uwezo mkubwa wa kufikiri unapenda majibu mepesi. Mfano unaweza kumwambia mtu mwenye akili ya kutosha kuwa, kuiba sio vizuri kwa sababu kuna matokeo mabaya kama kufungwa, kupigwa n.k na akakuelewa, Ila mjinga...
  7. Mwande na Mndewa

    Hayati Magufuli: Happy New Year Watanzania wote na Mungu awabariki sana

    Happy New Year Watanzania wote na Mungu awabariki sana.
  8. Binadamu Mtakatifu

    Mwaka wa vipawa na nguvu za Mungu

    Ni mwaka mpya ninafurahi kwa kila ambaye atasoma uzi huu ujue umeundwa kwa ajili yako Wewe utesekaye na kulemewa mwilini hadi rohoni basi leo miujiza ya Mungu itakuwa pamoja nawe. Swali kuu ni umewahi muhisi na kuisikia sauti ya Mungu wako, umewahi omba hapo hapo likatendeka? Mungu wako si...
  9. Clever505

    Dini zinafundisha uongo kumhusu Mungu

    Mods, nilishawahi kuweka hapa threads mbili zinazohusiana na mambo ya dini ila sijui huwa mnazifuta au mnazihamishia kwingine maana baada ya muda kidogo nikipost huwa sizioni. Ikiwa mada hizi hazitakiwi humu niambieni sio mnaziondoa bila taarifa. Kwenye mada sasa, Dini zetu hizi kubwa mbili...
  10. Mhaya

    DINI zimetugawa sana; Ikitokea Africa tukatawaliwa tena, basi tutasema ni mpango wa MUNGU

    Namsikiliza jamaa alikuwa anaongea kuhusu Afrika. Alisema kabisa dini zimetugawa pakubwa lakini ikatokea Afrika tukatawaliwa kama karne ile ya 15 basi miongoni mwetu, tena 80% watasema ni mapenzi ya Mungu. Unapitia shida.... MAPENZI YA MUNGU Unanyanyasika.... MAPENZI YA MUNGU Unateseka...
  11. mdukuzi

    Nashukuru Mungu mwaka 2023 nimetimiza ndoto yangu ya kuishi Masaki japo ni chumba kimoja

    Nilizaliwa nikajikuta niko mitaa ya Chole Oysterbay, Mwaka 1988 kufumba na kufumbua roli aina ya Bedford limekuja nyumbani kutuhamisha kuelekea Tabata, huwezi amini mizigo haikufika hata nusu ya roli lile, enzi hizo watumishi ukihamia nyumba ya Serikali unakuta vitanda, magodoro, sofa, dinning...
  12. ladyfurahia

    Mshukuru Mungu kwa kila jambo

    Habari wadau wote Kuna nyakati mbalimbali tunazopitia katika maisha yetu ziko nyakati za furaha , huzuni, kicheko, kupata na kukosa kuwa na kitu ama kutokuwa nacho, kuwa pekee au kuwa na watu, kuwa mtu wa juu ama wa chini yote katika maisha yapo hivyo huna budi kupambana na kujifunza na...
  13. Tajiri Tanzanite

    Hii ni ishara ya kwamba Simba SC ni timu teule Afrika kutoka kwa Mungu

    Hili tukio la mtoto mdogo kuchagua Simba sc baada ya kuwekewa nembo ya Simba na yanga, kisha akachagua Simba sc ni ishara yakwamba Simba sc ndio timu teule kutoka kwa Mungu kuiwakilisha Tanzania, Afrika mashariki na kati,na Afrika kwa ujumla Duniani kote kama Timu bora ya nyakati zote. Pia...
  14. excel

    Wataalam wa kuchambua Biblia, nini maana ya hiki kifungu?

    Mungu aliye mkamilifu, asiye fananishwa na kitu, Alfa na Omega; hapa anatamkwa namna hii? Ama kuna namna ilimaanishwa na Mwandishi wa Wakorinto?
  15. D

    Hivi kwa nini tumeamua kumpora Mungu utukufu wake na kujimilikisha sisi?

    Nani aliwaambua eti mtu anaweza kumbaliki mtu mwenzie. Hivi nyie mnacheza na Mungu eti!! Nimeshangaa sana eti Kuna watu wanabariki watu wenzao. Sasa mungu ana kazi Gani! Mbona mnataka kumnyanganya ukuu wake. Eti mashoga hamtawabariki!! Kwani uwezo wa kubarika mmetoa wapi
  16. B

    Dini ya Kwanza Duniani Zoroastrianism na Mazda ambaye ni Mungu Mmoja wa Wote

    https://m.youtube.com/watch?v=CkV0dGk6XxA Zoroastrianism ni dini ya kale ya Kiajemi ambayo inaweza kuwa ilianza mapema kama miaka 4,000 iliyopita. Bila shaka imani ya kwanza ya Mungu mmoja ulimwenguni, ni moja ya dini kongwe ambazo bado zipo. Zoroastrianism ilikuwa dini ya serikali ya nasaba...
  17. GoldDhahabu

    Wasioamini juu ya uwepo wa Mungu wanasemaje kuhusu mchawi aliyedondoshwa na nguvu za Mungu?

    Walitaka "kumshughulikia" Mchungaji aliyekuwa akikwamisha kazi zao, lakini wakaishia kukutana na nguvu za Mungu na hatimaye kiongozi wao kudondoka na ungo. "Atheist" atalichukuliaje tukio hilo? Mungu Yupo, na watu wanaomwamini si wa kuchezewa na wachawi. Video hiyo hapo. Sheria inasemaje...
  18. Investigation Unit

    Huyu huenda kweli akawa ni mwana wa Mungu aliye hai angalia Mayele, Dkt Biteko, Chalamila, Dkt Mwigulu, Dkt Samia, Dkt Tulia hata Paul Makonda

    Habari Tanzania, Kwa muda sasa kumekuweko mijadala mbalimbali kuhusu Ndugu yetu Apostle Bonface Mwamposa almaarufu kama Bulldozer. Apostle Bonface Mwamposa anahudumu katika madhabahu ya Arise & Shine au kwakimombo " INUKA UANGAZE" ( Isaya 60:1 ) yaliyoko Kawe jijini Dar es...
  19. S

    Papa Francis aruhusu Makasisi kuwabariki wanandoa wa jinsia moja

    Ni taarifa ilyotumwa hivi punde,waraka rasmi kutumwa kwa makadinali Dunia nzima,.......tushuhudie vidume wakivalishana mashela kanisani huku nyomi la wakatoliki mashabaab wakipiga vigelegele wanaume wenzao kwenda kupigana miti baada ya kanisa kutoa Sacramento takatifu! --- ROME (AP) — Pope...
  20. LIKUD

    Ukiota ndugu yako amekufa usikurupe kufanya chochote bila kumshirikisha Mungu kwanza

    Nianze kwanza kwa ku kutoa wenge. Ndoto moja inaweza kuwa na tafsiri zaidi ya elfu moja. Lakini watu wanao jiita watumishi wa leo wanakuwaga na tafsiri moja tu ya kila ndoto ambayo huwakaririsha waumini wao. Kwa mfano ukiota umerudi utotoni basi tafsiri yao huwaga ni moja tu : kuna mtu...
Back
Top Bottom