Je, ni Mungu ndio anatuadhibu kwa kuruhusu Manabii feki kuzidi kutudanganya kwa kuwa tunawatafuta wao na dini zao zaidi ya tunavyomtafuta yeye?

Eli Cohen

JF-Expert Member
Jun 19, 2023
1,309
4,017
Kudanganya kwa jina la Mungu huku akiwaambia watu kuwa yeye ni njia ya kumfikia Mungu. Miujiza na nguvu isiotokana na njia ya Mungu.

Ushajiuliza hawa washikaji hawaogopi kuwa wanakufuru na muda wowote wanaweza kuwa wahanga wa hasira ya Mungu.

Kwa kweli tumewageukia wao kutokana na tabu zetu pia na kujiona kuwa ndani yetu hatuna connection ya kusaidiwa direct na Mungu. Tukisha ona tumepata msaasa hautuishi kusema "MUNGU WA MADHABAHU HII" mara "MUNGU WA NABII xxxx" .

Is God letting all this happen kwa maana tunapenda shortcut?
 
Ngoja kiranga aje kukuuliza Mungu yupi?

20240202_220736.jpg

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
Kudanganya kwa jina la Mungu huku akiwaambia watu kuwa yeye ni njia ya kumfikia Mungu. Miujiza na nguvu isiotokana na njia ya Mungu.

Ushajiuliza hawa washikaji hawaogopi kuwa wanakufuru na muda wowote wanaweza kuwa wahanga wa hasira ya Mungu.

Kwa kweli tumewageukia wao kutokana na tabu zetu pia na kujiona kuwa ndani yetu hatuna connection ya kusaidiwa direct na Mungu. Tukisha ona tumepata msaasa hautuishi kusema "MUNGU WA MADHABAHU HII" mara "MUNGU WA NABII xxxx" .

Is God letting all this happen kwa maana tunapenda shortcut?
Warumi 1:28
[28]Na kama walivyokataa kuwa na Mungu katika fahamu zao, Mungu aliwaacha wafuate akili zao zisizofaa, wayafanye yasiyowapasa.
And even as they did not like to retain God in their knowledge, God gave them over to a reprobate mind, to do those things which are not convenient;
 
Thankx
 
Mungu wa kwenye dini hayupo mkuu, na kamwe usifikirie utatokea moto utachoma haya makanisa wala misikiti,

kwasababu huyo Mungu wa kwenye bibilia na Quran hayupo asingeruhusu kuona uchafu na uovu unaoendelea kwenye makanisa wala misikiti, tutatapeliwa sana tukiendelea kushupaza shingo
 
Mkuu hayo nimaisha yawatu,harafu fikiria kwamba wala hawaji kuwavuta nakamba watu waende kwenye makanisa yao,,bali watu wenyewe wakiwa naakili zao timamu huamka na hukosanya pesa yao ya uchungu najasho..kisha asubuhi mapema huamka kwamfadhaiko mkubwa wakihofu labda wamechelewa kwenda kanisani, nakumbe bado niusiku sana...lakini huamua wafanye uamuzi wakutoka mdahuo huo kwahofu yakuchelewa
Mkuu achawivu kama unaona kunafursa huko chukua hatua mapema sana.
 
Kudanganya kwa jina la Mungu huku akiwaambia watu kuwa yeye ni njia ya kumfikia Mungu. Miujiza na nguvu isiotokana na njia ya Mungu.

Ushajiuliza hawa washikaji hawaogopi kuwa wanakufuru na muda wowote wanaweza kuwa wahanga wa hasira ya Mungu.

Kwa kweli tumewageukia wao kutokana na tabu zetu pia na kujiona kuwa ndani yetu hatuna connection ya kusaidiwa direct na Mungu. Tukisha ona tumepata msaasa hautuishi kusema "MUNGU WA MADHABAHU HII" mara "MUNGU WA NABII xxxx" .

Is God letting all this happen kwa maana tunapenda shortcut?
Wewe mtu mpumbavu anakuja kukuambia upumbavu kuwa Mungu ana nafsi 3 na wewe bila kutumia chembe ya akili unasema huyo ni mtumishi wa Mungu..
 
Mungu wa kwenye dini hayupo mkuu, na kamwe usifikirie utatokea moto utachoma haya makanisa wala misikiti,

kwasababu huyo Mungu wa kwenye bibilia na Quran hayupo asingeruhusu kuona uchafu na uovu unaoendelea kwenye makanisa wala misikiti, tutatapeliwa sana tukiendelea kushupaza shingo
Mkuu Mungu Yupo huyu wa kwenye biblia, maonyo yapo ya kutosha, watu wenyewe wamechagua kutokumwamini, yaani kutokuamini maonyo. Soma kitabu cha mathayo 24
nakuwekea vipande kidogo usome.
Mathyo 24:
3Yesu alipokuwa ameketi juu ya mlima wa Mizeituni, wanafunzi walimwendea faraghani, wakamwuliza, “Tuambie mambo haya yatatukia lini? Ni ishara gani itakayoonesha kuja kwako na mwisho wa nyakati?” 4Yesu akawajibu, “Jihadharini msije mkadanganywa na mtu. 5Maana wengi watatokea wakisema kila mmoja kwamba yeye ndiye Kristo nao watawapotosha watu wengi. 6Mtasikia juu ya vita na fununu za vita; lakini msifadhaike, maana hayo hayana budi kutokea, lakini mwisho wenyewe ungali bado
10Tena, wengi wataiacha imani yao, watasalitiana na kuchukiana. 11Watatokea manabii wengi wa uongo watakaowapotosha watu wengi. 12Kwa sababu ya ongezeko la uhalifu, upendo wa watu wengi utafifia. 13Lakini atakayevumilia mpaka mwisho ndiye atakayeokolewa
23“Basi, mtu akiwaambieni siku hizo: ‘Kristo yuko hapa’ au ‘Yuko pale,’ msimsadiki. 24Maana watatokea akina Kristo wa uongo na manabii wa uongo. Watafanya ishara kubwa na maajabu ya kuweza kuwapotosha ikiwezekana hata wateule wa Mungu. 25Sikilizeni, nimekwisha waonya kabla ya wakati. 26Basi, wakiwaambieni, ‘Tazameni, yuko jangwani,’ msiende huko; au, ‘Tazameni, amejificha ndani,’ msisadiki; 27maana, kama vile umeme uangazavyo toka mashariki hadi magharibi, ndivyo kutakavyokuwa kuja kwake Mwana wa Mtu. 28Pale ulipo mzoga, ndipo watakapokusanyika tai.
 
Kudanganya kwa jina la Mungu huku akiwaambia watu kuwa yeye ni njia ya kumfikia Mungu. Miujiza na nguvu isiotokana na njia ya Mungu.

Ushajiuliza hawa washikaji hawaogopi kuwa wanakufuru na muda wowote wanaweza kuwa wahanga wa hasira ya Mungu.

Kwa kweli tumewageukia wao kutokana na tabu zetu pia na kujiona kuwa ndani yetu hatuna connection ya kusaidiwa direct na Mungu. Tukisha ona tumepata msaasa hautuishi kusema "MUNGU WA MADHABAHU HII" mara "MUNGU WA NABII xxxx" .

Is God letting all this happen kwa maana tunapenda shortcut?
Kwa hio Mungu wa Madhabau hii ndio inafanya wawe waongo... Vipi Kuhusu Mungu wa Abraham Isaka na Yakobo kwenye Bible au Mungu wa Israel??
 
Ninachokijua Mimi life a made to be complicated
Hivyo kila unachokiona ni sawa usishangae vikwazo kwenye game
 
Back
Top Bottom