mungu

  1. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Tanzania Je, ni Mungu ndio anatuadhibu kwa kuruhusu Manabii feki kuzidi kutudanganya kwa kuwa tunawatafuta wao na dini zao zaidi ya tunavyomtafuta yeye?

    Kudanganya kwa jina la Mungu huku akiwaambia watu kuwa yeye ni njia ya kumfikia Mungu. Miujiza na nguvu isiotokana na njia ya Mungu. Ushajiuliza hawa washikaji hawaogopi kuwa wanakufuru na muda wowote wanaweza kuwa wahanga wa hasira ya Mungu. Kwa kweli tumewageukia wao kutokana na tabu zetu...
  2. KatetiMQ

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuwa "mtumishi wa Mungu"

    Hizi hapa njia za kuwa mtumishi wa mungu na kuukwaa utajiri 1. Jifunze kusema uwongo 2. Jifunze jinsi ya kuchezea akili za watu 3. Jifunze kuvaa suti au gauni jeupe 4. Craim biblia yote juu ya kichwa chako. 6. Tafta kamganga gwiji kakusaidie kufanya mazingaombwe kidogo. 7. Pata...
  3. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Tanzania Labda ni dini zetu ndio zinazotuchanganya na kupotosha kuhusu Mungu

    Mimi naamini zaidi utakavyo mjua Mungu ndio zaidi utakavyo ujua ukweli na kuwa huru zaidi. Lakini tulichofanya nikujua dini zaidi ya Mungu. Kwa kuwa mashirika haya ya dini yanataka uzame ndani yao zaidi huku wakituambia bila wao hatutamfikia Mungu basi hawako tayari kukupa nafasi ya kuweza...
  4. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Mwenyezi Mungu pekee ndiye anayeamua riziki

    Wakuu , Usiku huu nimetoka zangu nje kununua Chakula na nimefika pale nikaagiza zangu Chipsi, Mishikaki mitatu na Soda take way. Sasa wakati nasubiri Chakula imekuja gari Kali ni V8 au Z8 sijaiangalia vizuri sana. Akashuka Jamaa yupo Smart sana na Vito vya thamani mkononi na shingoni ananukia...
  5. G

    JamiiForums Tanzania Nguvu za Mungu kwa Daudi kumshinda Goliati kwa jiwe la kombeo

    Kwenye vita za zamani kulikuwa kuna utaratibu kabla vita haijaanza inabidi kila upande ukae umbali wa takribani mita 400 (viwanja vinne vya mpira), hivyo kulikuwa na eneo kubwa la wazi kati yao, kila upande ulipeleka mpignaji wao mahiri katikati ya hilo eneo la wazi kupigana ANA KWA ANA mpaka...
  6. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania Kuna uwezekano wa Mungu kuwa na nguvu sawa kitu alichokiumba (shetani)?

    Ramadhani njema wanajamvi! leo naleta hoja lakini hoja yangu ni ya kiimani nataka kujua kupata kujifunza kutokana na fikra zangu hazinishawishi pia,nifahamike mimi imani yangu ni muislamu hivyo siyo kama nakebehi kuhusu hoja yangu na ikiwa nimekosea mungu anisamehe. Qur'an na bibilia...
  7. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Mungu na dini ni vitu viwili tofauti. Mungu hasomi wala haandiki

    Mungu ni asili, yeye ndiyo chanzo cha vyote vinavyoonekana na visivyo onekana. Ili Mungu akure maarifa, hana haja ya kukuandikia kiatabu. Jiulize maarifa makubwa waliyonayo wanyama mbalimbali, wameyasoma kwenye kitabu gani kitakatifu? Mungu yupo, hasomi, haandiki, wala hana dini. Dini ni...
  8. Msanii

    JamiiForums Tanzania Kuidai Tanganyika siyo kuuvunja Muungano. Ni mpango wa Mungu (video)

    Kihistoria nchi ya Tanganyika ilikuwepo na ndiyo ambayo tunasheherekea uhuru wake tarehe 09 Desemba kila mwaka. Kinachohuzunisha ni kwamba Tanganyika ipo kifungoni na nyapara CCM hataki kabisa kuiona ipo huru. Kila anayeidai Tanganyika anafanya jambo jema. Muungano uwepo lakini Tanganyika...
  9. P

    JamiiForums Tanzania Mungu fundi: Kutoka kwenye maono ya kuwa Air Hostess hadi kuwa nafasi ya juu

    Binadamu yeyote mwenye akili inayofanya kazi huwa ana maono/ ndoto ya kuja kuwa mtu fulani katika jamii. Maono haya yanatokana na uwezo wa mtu wa kufikiri, mazingira, elimu aliyonayo, vitu anavyoona au kusikia. Katika mazingira yote hayo, mtu mmoja alikuwa na ndoto ya kuja kuwa air...
  10. THE FIRST BORN

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi ingekuwaje kama wanawake ndio wangekuwa wanatongoza wanaume?

    Jamii yetu inaamini kuwa Mwanaume ndiye mtongozaji na Mwanamke ndie kiumbe anastahili kutongozwa, si vinginevyo, na hii ni universal accepted, hayo ya mwanamke kuanza kusema ni ya sasa hivi kizazi cha AI. Ila hata Biblia utaona mtu wa kwanza kuumbwa alikua mwanaume so it means alieanza kuhisi...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Andrew Nyerere: Ukimpa mtoto peremende hakikisha anamsifu na kumshukuru Mungu

    Salaam, Shalom. Mwenyezi Mungu amembariki ndugu Andrew Nyerere BUSARA zilizonifanya kuanzisha Uzi huu wa Leo kuongeza msisitizo juu ya umuhimu wa kuogopa kuchukua sifa za Mungu. Jiulize kwanini wengi wanapoteza ndugu zao waliowategemea bila kujua kuwa sifa mlizokuwa mkimimina kwake ndizo...
  12. MKATA KIU

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Daniel Mgogo anasema Sadaka zinatolewa hili ziliwe na wachungaji. Mungu hana account ya kupokelea Sadaka, Wachungaji ndio Meno ya Mungu

    Pastor Daniel Mgogo anasema sadaka zinatolewa hili ziliwe na wachungaji, maana Mungu hana account ya kupokelea pesa za sadaka. wachungaji ndio wawakilishi wa Mungu hivyo wana haki ya kuzila sadaka kwa niaba ya Mungu
  13. R

    JamiiForums Tanzania Yusuph Makamba: Hayati Mwinyi ni hazina ya Mwenyezi Mungu kwa nchi yetu

    Salaam, shalom!!! Akizungumza Kwa uchungu mkubwa na majonzi alipokuwa akimuelezea HAYATI Mwinyi, amesema kuwa Mzee Mwinyi alikuwa mtu mwenye kheri, mpole na mstaarabu na muwajibikaji. Amedai kuwa ulitokea mgogoro kati ya wakulima na wafugaji akiwa mkuu wa mkoa na katika tukio Hilo, alifariki...
  14. Pres61

    JamiiForums Tanzania Hali gani ilikufanya ujiulize uwepo wa Mungu?

    Najua wengi tunapitia changamoto mbali mbali zinazopelekea kujiuliza kama kweli Mungu yupo. Binafsi kuna changamoto nazipitia ambazo mara kadhaa zimenifanya nijiulize hili swali. Lakini kitendo cha kwamba bado naishi na sijapata hata nguvu za kuumaliza uhai wangu mwenyewe naamini kweli Mungu...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Huyu ndiye Mungu wa Israel!

    Ghadhabu yake Haina huruma hata kwa wanawake na watoto. Rejea wakati wa NUHU katika Ile gharika wanawake na watoto wa waovu wote waliangamia kwa maji. Sodoma na Gomora wanawake na watoto wote waliteketezwa Kwa moto na kiberiti. Ni Mungu ambaye hatamwesabia mtu mwovu kwamba hana hatua Bali...
  16. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania "Ukisoma, utachagua mwanaume unayemtaka". Wazazi Mungu anawaona kwa uongo huu

    Hao wanaume wa kuchagua mbona hawaonekani? Waliopo mtaani ni hawa hawa akina Juma Hali Ngumu bin Full Ma-stress. Halafu kibaya zaidi wanaopendwa ni walioishia la saba na form 4. Je, wazazi wote wakamatwe kwa uongo huu ama tumwachie Mungu?
  17. BIG STONE AND CONER STONE

    JamiiForums Tanzania Kutambua Mungu mwenye nguvu ni yupi?

    Bila kuweka Tabaka lolote la dini au imani Tutambue ni Mungu YUPI mwenye Nguvu. Sote tunajua Jamii nyingi za binadamu wanaimani zao na Mungu wanaye mwabudi Sasa basi yupe Aliye juu ya wote'? Kwanza Niorotheshe hivi. 1. Wakristo protestant Mungu Ni Mmoja na Kupitia Yesu kristo alifanyika mwili...
  18. Makanyaga

    JamiiForums Tanzania Askari wakiwa kwenye Ibada ya kumwabudu Mungu

    Very interesting worship, possibly jioni baada ya kazi https://www.youtube.com/watch?v=8AdTCDNyoBk
  19. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Kwa juhudi zote omba kataa roho ya madeni. Ibilisi kamwaga mapepo ya kushinikiza watu kuwa na madeni yenye uchungu

    Mtu mwenye madeni hawezi kuwa na furaha (amani). Hiyo amani ndio uzima wenyewe. Shetani anafanya juhudi kuwapiga watu na mapepo ya madeni bila wenyewe kujua. Madeni ni maumivu makali. Epuka madeni kwa namna yoyote, omba sana. Ukipigwa na roho hii ya madeni ushamalizwa kiroho. Mungu...
  20. O

    JamiiForums Tanzania Kijana analala kwenye jeneza zaidi ya miaka 15

    Kiranga Unazungumziqje hiki kisa TOA mtazamo wako. --- Dunia ina mengi ya kushangaza ukiachana na maajabu saba ya ulimwengu lakini pia kuna maajabu ya walimwengu wenyewe, Najua umewahi kushuhudia na kusikia habari za watu kujinunulia Jeneza kwa ajili ya maandalizi ifikapo siku ya mwisho, Leo...
Back
Top Bottom