Bila kuweka Tabaka lolote la dini au imani Tutambue ni Mungu YUPI mwenye Nguvu.
Sote tunajua Jamii nyingi za binadamu wanaimani zao na Mungu wanaye mwabudi Sasa basi yupe Aliye juu ya wote'?
Kwanza Niorotheshe hivi.
1. Wakristo protestant Mungu Ni Mmoja na Kupitia Yesu kristo alifanyika mwili...
Mtu mwenye madeni hawezi kuwa na furaha (amani).
Hiyo amani ndio uzima wenyewe.
Shetani anafanya juhudi kuwapiga watu na mapepo ya madeni bila wenyewe kujua.
Madeni ni maumivu makali.
Epuka madeni kwa namna yoyote, omba sana. Ukipigwa na roho hii ya madeni ushamalizwa kiroho.
Mungu...
Kiranga Unazungumziqje hiki kisa TOA mtazamo wako.
---
Dunia ina mengi ya kushangaza ukiachana na maajabu saba ya ulimwengu lakini pia kuna maajabu ya walimwengu wenyewe, Najua umewahi kushuhudia na kusikia habari za watu kujinunulia Jeneza kwa ajili ya maandalizi ifikapo siku ya mwisho, Leo...
Salaam, Shalom.
Tukiwa Bado tunatafakari kuteketea Kwa mji mzima nchini Chile, na habari hiyo imehujumiwa Kwa kiasi kikubwa kutowafikia watu, wahusika wakiwa na sababu zao.
Wakati huo huo tukiendelea na uzimaji moto, Bar ya kitambaa cheupe jijini Dar Salaam,
Ni siku ya nne sasa imeripotiwa...
Sitaki kuanza kwa kujitetea eti mi shabiki wa team flani ila nasema haya kwa Mapenzi ya Nchi.
Ila nataka niseme tu kuwa Mungu hua hasikilizi Dua Mbovu na Mbaya za kuombeana Mabaya. Ndio maana wote wanaoombea ushindwe hua maombi yao hayajibiwi.
Kila la Kheri MNYAMA.🦁🦁
Tabia za watu uwezi kuziona ukiwa na pesa.
Hata mpenzi wako hutamfahamu kama pesa zipo.
Uwezi kujua idadi ya ndugu, jamaa na marafiki kama pesa hipo.
Makosa yako mengi na matendo yako yanaweza kutunzwa na pesa bila tatizo.
Kusifiwa ni kwingi hata ukijamba hadharani utaambiwa pole ni mshituko...
Luka 4:1-21 BHN
Yesu alitoka mtoni Yordani akiwa amejaa Roho Mtakatifu, akaongozwa na Roho mpaka jangwani. Huko alijaribiwa na Ibilisi kwa muda wa siku arubaini. Wakati huo wote hakula chochote, na baada ya siku hizo akasikia njaa. Ndipo Ibilisi akamwambia, “Kama wewe ni Mwana wa Mungu, amuru...
Chadema inayo mambo madogo madogo ya kujirekebisha hasa kupitia wafuasi wake ambao hujikuta wakitoa maneno yaliyokosa hekima, busara, wala mwelekeo huo wa kukubalika
Niliandika uzi uliotambulikana kuwa, Chadema ni chama cha wahuni?
Katika maelezo yangu nilitahadharisha kauli za wafuasi wa...
Mpo salama bila shaka!
Mahasimu wakubwa wakihistoria katika imani na dini ambao ni Mungu muumbaji na Lusifa ambaye huitwa shetani licha ya uhasimu wao karibu kutoana roho na kutaka kupinduana katika siasa za rohoni, lakini tunasoma walikuwa Wanapiga stori na kuteta juu ya Wanachama wa vyama...
Yani sijui tuna kwama wapi yani ukikaona kandege kenyewe utazani kakupeleka watalii mbugani.yani wenzetu wasio na kitu kwenye ardhi wanajaribu kisicho kuwa kitu kuwa kitu.
bado na kazia ma ubongo yetu yana tumia masanturi
Katika tafiti mbalimbali zinaonyesha jamii ya watu wanaoongoza kujiua ulimwenguni.
Hata hivyo jamii hii inqyokuwa kwa kasi, yenye watu wajivuni wanaodhani wametaka akili mpya nakuwaita watu wa dini mambumbumbu wengi wao licha ya uchangamfu wa nje na kimaandishi ndani ni wachovu, wanamisongo ya...
Amani ya bwana iwe nanyi wapendwa humu ndani JF
Leo jion nili opt kupanda bodaboda baada ya kumaliza mizunguko ya kazi nikasema niwahi Temeke kuna deals nikafanye.
Kufika makutano ya bandarini gafla kutahamaki gari ikaja kutuvaa nikaanguka na kuvunjika mguu wa kushoto.
Dua ZENU wadau ndio...
P.Makonda kabla ya kukatisha ziara yako, nilikuambia ukija mkoa wa Mtwara uje na majibu ya bei ya korosho.
Pia ukija Mtwara uje na uwataje madalali wa korosho au wanaoua soko la korosho Mtwara, lakini ata kabla andiko langu halijamarza siku,leo wana Mtwara na Lindi kama kawaida yao...
Salaam, Shalom!!
Mungu ni Jina la Cheo kikubwa kuliko vyeo na mamlaka yote Mbinguni na duniani.
Swali ni je, Mungu analo Jina lake binafsi?
Jina la Mungu ni nani?
Karibuni 🙏
Wakuu kwema!
Sisi Watibeli tunajua kabisa miaka 100 ni michache mno. Alafu fikiria karibu asilimia 95% hatutafikia umri huo. Na hao watakaofika watakiona cha moto.
Maisha ni mafupi ndio maana Watibeli siku zote tunafurahi. Kwetu Furaha ni kuishi kwa amani na Watu wote. Hatuweki vinyongo wala...
Watu wa dini husema kila kitu ni mipango ya Mungu. Kwamba hakuna jambo linatokea tu from no where, lazima lilishapangwa kutokea huko kabla.
Sasa ningependa kufahamu, je utumwa ambao tulifanyiwa waafrika kwa karibu niaka 400 na mataifa mengine ya Ulaya na Asia, ilikua imepangwa hivyo kwamba...
Hapa sasa ni mpambano kati ya Mungu wa Wayahudi na yule wa waislamu, kila muislamu leo hii anapiga magoti kwa bidii na kuiombea Israel ife, ifutike, nao Wayahudi wamemrudia Mungu wao wakiomba awanusuru kwa hili kama alivyowanusuru tangu enzi za mababu zao akina Musa, Daudi na wengine.
Sasa...
Anaitwa EMMA KOK, Binti wa miaka 16 tu. Usipoambiwa anayoyapitia Kiafya utadhani ni binti asiekuwa na shida yoyote kimuonekano.
Hatahivyo uhalisia ni kuwa binti huyu anao mzigo mkubwa, changamoto anayoipitia. Inasikitisha, inahuzunisha lakini ukiisoma Historia yake na anayoyafanya pasi na shaka...
Wasalaam.
Kwa sababu ya uhaba wa umeme, maji safi, uwezekano wa ajali, na magonjwa ya kushtukiza na kujisababishia wabongo wengi wamekata tamaa na wanaishi kana kwamba sekunde yoyote anakufa.
Hii imepelekea ufisadi, wizi, ujanjaujanja na ukosefu wa mipango mikubwa endelevu maana watu wanajua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.