Je, ni kweli CHADEMA ni mpango wa Mungu kama wanavyojinadi?

MamaSamia2025

JF-Expert Member
Mar 29, 2012
10,624
23,523
Wakuu nimekuwa nikitafakari hii kauli nzito inayotamkwa kila mara na wafuasi wa chama kinachomilikiwa na Mbowe (CHADEMA) kuwa chama chao ni mpango wa Mungu, ila bado sijathibitisha. Hata viongozi wa dini wanaokiunga mkono hawajawahi thibitisha hilo. Ila baada ya kusoma biblia na kujikumbusha matendo mengi makubwa ya Mungu nikaona kama kuna ukweli kiasi fulani. Lakini je, huo mpango upo kwenye hatua gani kwa sasa? Jibu ni kuwa kwa sasa kwa jicho la kiroho CHADEMA wapo kwenye wakati wa adhabu kali sana kutoka kwa Mungu mwenyewe kwa kukengeuka. Na dalili zinaonyesha ni adhabu ya kudumu.

Moja ya mambo yanayoonyesha uwepo wa Mungu kwenye CHADEMA ni pale walipokuwa wakimwomba sana atuletee kiongozi dikteta ambaye hatakuwa akicheka na kima kwenye kulinda maslahi ya taifa. Yaani Rais ambaye hakuna fisadi yeyote atakayejaribu kufanya upuuzi wake wakati akiwepo kama ilivyokuwa kwenye awamu ya 4. Maombi yao yalisikilizwa na tukaletewa JPM. Hayati JPM alikuwa kakidhi vigezo vyote vya maombi ya wanachadema. Itoshe kusema kwa jicho la kiroho CHADEMA ndo walituletea JPM.

Lakini kama ilivyokuwa wana wa Israel jangwani waliokuwa wakilalamika kila kitu huku wakipewa kila hitaji lao, CHADEMA nao pamoja na kupatiwa hitaji lao la rais dikteta wakaendelea kulalamika kuwa dikteta waliyepewa ni uchwara wakati wenyewe ndo walisahau kutaja sifa za dikteta wamtakaye. Hapo ndo ghadhabu ya Mungu ilipoanza. Kibaya zaidi muda ulivyozidi kwenda nao wakaingia kwenye tamaa za kutafuna michango ya watanzania wenye nia njema na chama huku baadhi ya viongozi wakiwasaliti wenzao.

Kiufupi ni kuwa kwa sasa hiki chama kinavuna ujinga walioupanda.
 
Baada ya kuandika Chadema inamilikiwa na Mbowe , Jambo ambalo ni Uongo wa kishamba sana, natangaza rasmi kukudharau moja kwa moja katika kipindi chote hicho kifupi ulichosaliwa nacho hapa Duniani
Unaweza ukawa unamdharau baba mwenye nyumba wako hapo ulipopanga. Kuwa makini.
 
Baada ya kuandika Chadema inamilikiwa na Mbowe , Jambo ambalo ni Uongo wa kishamba sana, natangaza rasmi kukudharau moja kwa moja katika kipindi chote hicho kifupi ulichosaliwa nacho hapa Duniani
Toa ushuhuda kama Mbowe hamiliki chama!
 
Rais aliyekuwa fisadi kuliko marais waliopita.
 
Baada ya kuandika Chadema inamilikiwa na Mbowe , Jambo ambalo ni Uongo wa kishamba sana, natangaza rasmi kukudharau moja kwa moja katika kipindi chote hicho kifupi ulichosaliwa nacho hapa Duniani
Mwongo ni mamako aliyekuficha babako. CHADEMA ni SACCOSS ya wachaga kiongozi wao wa sasa ni Mbowe
 
Attachments

  • FB_IMG_1712327327529.jpg
    FB_IMG_1712327327529.jpg
    47.3 KB · Views: 1
Wakuu nimekuwa nikitafakari hii kauli nzito inayotamkwa kila mara na wafuasi wa chama kinachomilikiwa na Mbowe (CHADEMA) kuwa chama chao ni mpango wa Mungu, ila bado sijathibitisha. Hata viongozi wa dini wanaokiunga mkono hawajawahi thibitisha hilo. Ila baada ya kusoma biblia na kujikumbusha matendo mengi makubwa ya Mungu nikaona kama kuna ukweli kiasi fulani. Lakini je, huo mpango upo kwenye hatua gani kwa sasa? Jibu ni kuwa kwa sasa kwa jicho la kiroho CHADEMA wapo kwenye wakati wa adhabu kali sana kutoka kwa Mungu mwenyewe kwa kukengeuka. Na dalili zinaonyesha ni adhabu ya kudumu.

Moja ya mambo yanayoonyesha uwepo wa Mungu kwenye CHADEMA ni pale walipokuwa wakimwomba sana atuletee kiongozi dikteta ambaye hatakuwa akicheka na kima kwenye kulinda maslahi ya taifa. Yaani Rais ambaye hakuna fisadi yeyote atakayejaribu kufanya upuuzi wake wakati akiwepo kama ilivyokuwa kwenye awamu ya 4. Maombi yao yalisikilizwa na tukaletewa JPM. Hayati JPM alikuwa kakidhi vigezo vyote vya maombi ya wanachadema. Itoshe kusema kwa jicho la kiroho CHADEMA ndo walituletea JPM.

Lakini kama ilivyokuwa wana wa Israel jangwani waliokuwa wakilalamika kila kitu huku wakipewa kila hitaji lao, CHADEMA nao pamoja na kupatiwa hitaji lao la rais dikteta wakaendelea kulalamika kuwa dikteta waliyepewa ni uchwara wakati wenyewe ndo walisahau kutaja sifa za dikteta wamtakaye. Hapo ndo ghadhabu ya Mungu ilipoanza. Kibaya zaidi muda ulivyozidi kwenda nao wakaingia kwenye tamaa za kutafuna michango ya watanzania wenye nia njema na chama huku baadhi ya viongozi wakiwasaliti wenzao.

Kiufupi ni kuwa kwa sasa hiki chama kinavuna ujinga walioupanda.
Pole
 
Back
Top Bottom