mungu

  1. Jamaa aliyechoma Qur'ani Tukufu Salwan Momika, amekutwa amekufa nchini Norway

    Salwan Sabah Matti Momika ni mkosoaji wa Uislamu. Anajulikana kwa kupanga maandamano nchini sweden ambapo alichoma Quran hadharani. Momika alizaliwa katika familia ya Kikristo, lakini alibadilika na kua mtu asiyeamini uwepo wa Mungu. Mnamo 2023, Momika alipanga mfululizo wa maandamano kama...
  2. Ahmed Ally, Msemaji wa Simba, Mungu anakuona!

    Kuwa Msemaji wa timu, tena kubwa kama Simba au Yanga, si lazima uwe unamwaga porojo na ndoto ambazo si rahisi kutimizika. Kabla ya mechi ya Al Ahly Benjamin Mkapa, Ahmed Ally aliwaaminisha washabiki na wanachama wa Simba kuwa Ahly anakufa kifo kibaya na HATOKI BENJAMIN MKAPA. Baada ya kupigwa...
  3. Yaani umefunga halafu unaenda kutafuta wanaopika na kula? Inawezekana Mungu huwa anacheka sana akiangalia haya maigizo

    Najaribu tu kuwaza kwa sauti Mtu umefunga lakini unapata muda na shauku ya kwenda kutafuta wanaopika na kula? Hapo unakua umefunga au umeshinda njaa. Umefunga na unatamani wanao kula sasa hapo umefunga umebadilisha ratiba ya chakula? Upande wa pili kufunga: Hiari, ujikane nafsi yako si...
  4. Je, ufanye nini kwa waliokuwa wakikudharau, wakikucheka, wakikusanifu na kufurahia mapito yako maishani pale mwenyezi mungu akikubariki kuwazidi?

    Je, 1. Uwalipizie Kisasi? 2. Uwasamehe na ikibidi Uwasaidie baadhi yao? 3. Uwafanyie Kufuru ya Kimatumizi? 4. Kama ni Wanaume basi kwa Makusudi utembee / ulale na Wake zao? 5. Kama ni Wanawake basi Ulale nao ( Uwakaze ) bila Huruma? 6. Uwatambie kwa Kuwakera 7. Unyamaze, utumie muda wako mwingi...
  5. Kama Mungu angewapa waislamu mamlaka ya kuitawala dunia hivi ingekuwaje?

    Hawa jamaa huwa wanaijihisi kuwa wao ndio wanajua kumuabudu Mungu kuliko wengine, Mungu muumba wa dunia aliona mbali sana, kuwanyima mamlaka hawa jamaa. Licha ya wengi wo kuisoma dini vilivyo, ila hekima miongoni mwao ni sifuri kabisa. Wakiwa kwenye hii funga yao basi watatangaza dunia nzima...
  6. Binti atoa penzi siku 3 bila ridhaa yake, na kesi kashindwa

    Binti (Miaka 19) yupo kwa Basi, anatoka zake Dar kwenda Uyulo-Mbeya kumsalimu Shangazi yake, anawasiliana nae kwa Simu akiwa safari, lakini anafika Iringa Simu inakata Chaji. Binti anamuomba Simu Jamaa aliyekaa pembeni yake aitwaye MAPINDUZI NGALLA, lakini anapiga Simu Shangazi hapatikani...
  7. 429 Shakahola forest death: Kenya security kushinda vita vya ugaidi dhidi ya Al shababu bado sana?

    Imagine hadi watu wanakufa kufikia 429 serikali haijui? Watu 429 sio wachache hii inamaanisha kuna watu wengi sana wanapotea na kufa pasipo serikali kujua. Swali linakuja kama intelligencia iko weak hivi inawezaje ikashinda vita dhidi ya ugaidi ambao wanatumia njia za kisasa na mipango ya...
  8. T

    Asante Mungu muumbaji wa Mbingu na Ardhi kwa wema na Rehema zako

    Namshukuru Mungu kwa wema wake kwangu. Pamoja na changamoto mbalimbali ninazopitia hapa duniani, bado wema wake ni mkuu mno kwangu. Ndugu wasomaji wa ujumbe huu, nawasihi tuwe na tabia/desturi ya kumshukuru Mwenyezi Mungu hata kwa kidogo tulichopewa. Shukrani hufungua milango mingine ya baraka...
  9. Hiki kitu wamepewa wanadamu wote wanaomuamini na kutomuamini Mungu, ila waafrika hasa Tanzania hatuoendi kukitumia

    Kwa Mujibu wa Mungu, Kile mtu ambacho atafanikiwa kukiwaza anauwezo wa kukifanya. "Awazavyo mtu moyoni mwake ndivyo alivyo". Sababu ya Mwenyezi Mungu kushuka kuchafua Lugha kwenye mnara wa Babeli ni mawazo ya wale watu. Yeye aliona huo mnara umeshajengwa hata kabla hawajaanza. Watu wengi...
  10. Je, Mungu ni muweza wa yote?

    Je, Mungu ni muweza wa yote? Kama jibu ni ndiyo, basi tukubali mema na mabaya yote yake, yote mema na mabaya yanayo endelea ulimwenguni kote yeye ndio muhusika. Ukiona unamchagulia yapi anafanya na yapi hafanyi kwa kutazama mazuri na mabaya basi tambua huyo Mungu sio muweza wa yote bali wa...
  11. Mkuu wa hii Dunia ni MUNGU, ila shetani kajizolea kijiji chake cha watu wenye nguvu yenye ushawishi

    Mkuu wa dunia hii ni MUNGU wa mbinguni, ila asilimia kubwa ya watu wanamuabidu shetani na Mungu anepewa kisogo. Ngoja nikueleze kitu. Kuna vitu vya kwanza kabisa ni lazima uviwahi ili uiteke hii dunia. Shetani kapiga bao kubwa kwa sababu vitu vyote katika dunia hii, vile vikubwa amevishikilia...
  12. Nimepata ufumbuzi wa namna Mungu anavyojibu maombi yetu

    Hakuna kipindi katika maisha yangu nilichokuwa karibu na Mungu kama hiki. Sometimes mpaka najiona nimechelewa sana kuyafanya yale anayotaka kila siku niyafanye. Mimi nilishakuwaga na mashaka sana na Mungu kwenye kujibu maombi, thats true bro lakini baadaye nikakaa na kujifikiria kwa nini? Watu...
  13. M

    Mungu, nakuomba uwaamshe Watanzania kutoka usingizini

    Mungu, Watanzania wamepigika na wamechoka kweli kweli. Wakati Watanzania wanahangaika kila siku kutafuta angalau mlo wa siku, Mawaziri, Wabunge na waandamizi wengine wa serikali wanaishi maisha ya ANASA na hawajali hata kidogo shida za Watanzania. Mungu, nakuomba uwaamshe Watanzania ili kila...
  14. Russia mbioni kufanya shambulio kubwa katika historia

    πŸš¨πŸš¨πŸš¨πŸš¨πŸš¨πŸš¨πŸš¨πŸš¨πŸš¨πŸ‡·πŸ‡ΊπŸ‡·πŸ‡ΊπŸ‡·πŸ‡ΊπŸ‡·πŸ‡ΊπŸ‡·πŸ‡ΊπŸ‡·πŸ‡ΊπŸ‡·πŸ‡Ί Jeshi la Urusi linajiandaa kufanyq shambulio kubwa katika historia toka SMO ianze 🚨🚨🚨FLASH FLASH FLASH: Russia Prepares To Launch Revenge Attack on Ukraine!!! Largest military strike in recent history about to happen!! - 14x Tu-95MS, nuclear capable bombers (Angel of...
  15. "kutoka kwa ukungu hadi kutakata , namshukuru mungu kwa kila baraka"

    bonge moja la song kutoka kwa mkali wa rnb ben pol ft darassa cmg mwanamziki asiechuja kila ngoma ni hit song tuuuuuu
  16. 4

    Yuko wapi Tundu Lissu?

    Ndugu wana JF popote mlipo neema ya Bwana ikawe juu yenu na Mungu amebariki Wakuu nauliza Mwana wa Mungu, kaka wa taifa hili, mzalendo asie na mfano Ndugu Lissu, yuko wapi? Binafsi kama mwananchi na kama mfuasi wake ni haki yangu jua alipo maana na ni siku zimepita kidogo simsikii wapi alipo...
  17. Ukikosa tubu, Mungu yupo tayari kukusamehe!

    REHEMA ZA MUNGU NI KUU KULIKO DHAMBI ZETU. Mungu atakusamehe dhambi zako, atazitupa kwenye kilindi cha bahari, atazifuta kabisa, utakuwa kama hujawahi kutenda dhambi, utakuwa safi. hata mtu akikukumbusha dhambi yako mwambie, Mungu alishaifuta, na kitu kikifutwa ni kwamba hakipo, ni sawa na...
  18. Hakuna siri kwa Mungu

    Mhubiri 12:14 Kwa maana Mungu ataleta hukumuni kila kazi, pamoja na kila neno la siri, likiwa jema au baya.
  19. Dhana 'Mungu" ni chanzo cha anguko kwa vichwa maji

    Habari Wana JF. Bila shaka asilimia kubwa ya Watanzania na watu duniani kwa ujumla tunaamini juu ya uwepo wa Mungu. Hata hivyo kuna matabaka mbalimbali yatokanayo na aina ya imani tunayokuwanayo kuhusu Mungu. Kwa uzoefu na shuhuda nilizonazo, nimeshuhudia jinsi watu wanavyosaidiwa na...
  20. Je, ni Mungu ndio anatuadhibu kwa kuruhusu Manabii feki kuzidi kutudanganya kwa kuwa tunawatafuta wao na dini zao zaidi ya tunavyomtafuta yeye?

    Kudanganya kwa jina la Mungu huku akiwaambia watu kuwa yeye ni njia ya kumfikia Mungu. Miujiza na nguvu isiotokana na njia ya Mungu. Ushajiuliza hawa washikaji hawaogopi kuwa wanakufuru na muda wowote wanaweza kuwa wahanga wa hasira ya Mungu. Kwa kweli tumewageukia wao kutokana na tabu zetu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…