mungu

  1. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Jinsi mtumishi wa Mungu alivyoelekezwa kukosoa watumishi wenzake wa serikali na siasa

    Anatakiwa kwenda moja kwa moja kwa muhusika. Sio kurusha barua au andiko jumlajumla tena hadi kwetu wananchi tusiohusika. Nathan alimfuata Daudi moja kwa moja alipozini na kuua raia. Yohana mbatizajialipotaka kumsaidia Herode alimfuata. Paulo alipotaka kumsaidia Rais wa Cyplus Sergio Paulus...
  2. Dr Akili

    JamiiForums Tanzania RC Makonda kawakaanga baadhi ya maaskofu, mapadri na wachungaji wanategemea matamuko na nyaraka badala ya Mungu na maandiko matakatifu

    Hapa kasema ukweli ukweli mtupu. Msikilize mwenyewe hapa. Sindano itakuwa imewaingia barabara. Wewe unaonaje? https://youtu.be/x5_k9cpJ94U?si=0LEr7yFxM-rVDaWZ
  3. Bila bila

    JamiiForums Tanzania Mungu, shughulika na huyu mwehu.

    Kwamba mchungaji/Askofu akikemea uovu wa wanasiasa anakuwa amejiondoa kwenye orodha ya watumishi wa Mungu? Kumbe Askofu alifanya hivyo anafutwa kiroho na Mkuu wa mkoa? Yohana Mbatizaji alimkemea Herode sababu ya mauaji ya mdogo wake ili kumpata mkewe. Matokeo yake akahukumiwa kifo cha kukatwa...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda Afanyiwa Maombi Na Mtume Boniface Mwamposa.Atahadharisha Walaghai wanaotumia Neno La Mungu Kuwarubuni Watu.

    Ndugu zangu Watanzania, Mkuu wa Mkoa Wa Arusha Mwamba Mwenyewe Mheshimiwa Paul Christian Makonda Kijana Jasiri kusini Mwa jangwa la Sahara .Amefanyiwa Maombi Na Mtumishi wa Mungu Mtume Boniface Mwamposa wa Kanisa la Inuka Uangaze. Ambapo Mwamba huyo na jabali La siasa hapa Nchini na ambaye...
  5. Kichwamoto

    JamiiForums Tanzania Hongera sana kwa Hotuba yako Godbless Lema, Mungu akupe maisha marefu usipungukiwe kiroho

    Leo Tarehe 20-09-2024 NDUGU Godbless Lema Amefanya mapitio ya maudhui na ujumbe wa Rais Hassan wa Jamhuri ya Tanzania Ndugu Godbless Lema ametoa hotuba nzuri sana, na hapa niwape tahadhari wana CCM wenzangu umoja wetu uliotukuka ni Utanzania wetu na Ubinadamu wetu. Sisi sote ni NDUGU hii ni...
  6. Mtu Alie Nyikani

    JamiiForums Tanzania Watu wa Mungu kulingana na hili linalo endelea ndani ya nchi yetu. Naomba tujifariji kwa neno la Mungu. Maana ukombozi umekaribia.

    Kutoka 14:14. Mithali 24:24. Zaburi 98:9. Mithari 14:34. Kutoka 14 : 14 Bwana atawapigania ninyi, nanyi mtanyamaza kimya. Mithali 24 : 24 Amwambiaye mtu mwovu, Wewe una haki; Kabila za watu watamlaani, taifa watamchukia. Zaburi 98 : 9 Mbele za Bwana; Kwa maana anakuja aihukumu nchi...
  7. A

    JamiiForums Tanzania Wewe dada na kaka Mungu awabariki sana

    Mnamo September 6 niliandika Uzi uliohusu Hali ya biashara yangu kukosa wateja, nilipokea maoni mbalimbali kwenye Uzi na PM pia (Nawashukuruni nyote kwa maoni yenu na ushauri ) Miongoni mwa PM nilizopokea ni za huyu dada (sitopenda kumtaja) dada huyu yupo Kigamboni Alinifuata PM akanambia kama...
  8. kesho kutwa

    JamiiForums Tanzania Kutoa fungu la kumi unamtolea Mungu sio mwanadam. Toa ukutane na Mungu

    Nimekuja ona watu wengi humu ndani wanadhani kama kutoa zaka unamtolea mwanadam jambo ambalo linawakwamisha kwa kuhisi wanamnufaisha mchungaji ama kiongozi wa kanisani ama dhehebu fulani.
  9. Morning_star

    JamiiForums Tanzania Vitu gani vinaonyesha udhihilisho wa uwepo wa Mungu hapa duniani? Hata kama wewe ni atheist!

    Angalia majengo ya makanisa mtaani kwako, kwenye maeneo yote uliyowahi kutembelea! Angalia gharama za ujenzi wa hayo majengo! Angalia watu wanaohubiri injili katika maeneo ya makusanyiko stand za magari, matamasha, nk. Hawa watu usidhani wote ni wajinga! Haiwezekani kuongelea kitu ambacho hakipo!
  10. U

    JamiiForums Tanzania Kisa cha Muisrael aliyeuawa na wasiojulikana, wengi walituhumiwa, alipofufuka alimtaja kaka yake kuwa ndiye muuaji wake, ukweli Mungu ndiye anayejua

    Wadau hamjamboni nyote? Naambiwa kuwa Kisa hiki Al-BaKisa cha Al-Baqarah (Ng’ombe)i kimetokea miongoni mwa Wana Israel enzi za Nabii Mussa nduguye Haruni Kwamba yupo Muisrael mmoja tajiri aliuawa na watu walianza kuwatuhumu baadhi kuhusika na mauaji yao na waliwaaminisha jamii nzima kuwa...
  11. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania Inawezekana ikafika wakati Mungu hatotaka kumwangalia tena binadamu

    Maisha ya binadamu awali yalikuwa ni ya mjumuiko(umoja) kitu ambacho kinampezesha Mungu sababu ndani ya maongezi ya watu wengi Mungu anakuwepo(yanazungumzwa mema tupu) lakini imekuwa tofauti na wakati huu kuna chemba nyingi za mawasiliano haramu zinaendelea, usiri wa kufanya njama ovu dhidi ya...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Muamini Baba na Mama yako unaowaona, hayo mambo ya Mungu achana nayo, hayapo na hayatokuepo

    Utapeli Kwa jina la sadaka na zaka ndio maneno ya kuvuta pesa yako, pale hakuna la maana. Sadaka na zaka ni mambo yaleyale yaani jina linabadilika kidogo. Hizo zaka na sadaka wanaenda kula hao wanaokusanya over, Amini unachokiona, usichokiona hicho hauna sababu ya kukiamini.
  13. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwa 'Dua Shtakia Mungu' itakayosomwa Afrika Mashariki huenda kuna Chama Kikakosa Mgombea Urais wake katika Uchaguzi Mkuu ujao

    Haya tuanze mapema kumtafuta wa Kumrithi.
  14. A

    JamiiForums Tanzania Mshuhudie Mungu alichokutendea hapa

    Amazing GOD Bwana Yesu asifiwe... Lengo la Uzi huu ni ushuhuda ,Kwa yeyote mwenye ushuhuda wa namna ambayo amekutana na mkono wa MUNGU katika maisha yake, anakaribishwa sana kushuhudia. Binafsi Kuna mengi MUNGU kanitendea ila siwezi kuyaeleza yote. Baada ya kuhitimu masomo yangu ya chuo...
  15. G

    JamiiForums Tanzania Ni mwaka wa tano sijaenda kanisani ila nasali na kusaidia watu naowambea Mungu awasaidie, Kanisani nitarudi iwe kama sehemu ya kusocialize zaidi

    Utaratibu wangu mara mbili au tatu kwa wiki nikitoka kazini mida ya jioni huwa napaki gari maeneo kadhaa kwa dakika 10 hadi nusu saa naanza kuzunguka nikiona bibi anauza karanga nampa elf 5 ntachukua karanga za mia sichukui chenji, mtoto anaeuza ndizi ntampa elf 2 naweza nisichukue ndizi...
  16. Stunnaman008

    JamiiForums Tanzania Wasioamini Mungu inawahusu

    Ikiwa huamini Mungu alieumba ulimwengu mzima na vilivyomo, kwamba kila kitu kipo nature, mbona magari na vitu vyengine tunaona Made in China, made in Tanzania etc Wenye akili tu wataelewa
  17. WENYELE

    JamiiForums Tanzania Tunatoka mbali na Mungu huinua

    Wakuu nimekuja tu hapa kutia Moyo wapambanaji wote waliokata tamaa. Leo kwa mara ya kwanza nimeamka kutoka kwenye nyumba niliyojenga mimi. Ni miaka 10 ya jasho na damu hatimaye jana nimehamia. Mungu ni mwema, tuendeleze mapambano; kwa wale mliofanikiwa zaidi Mungu azidi kuwapandisha, kwa wale...
  18. Mjomba side

    JamiiForums Tanzania Ewee mwenyezi mungu tusaidie sisi wapanda bodaboda

  19. M

    JamiiForums Tanzania Watanzania walioguswa na matendo ya kidhalimu ya utekaji waamua kusali na kufunga kumlilia Mungu

    ANAANDIKA MWANAHARAKATI MDUDE NYAGALI 𝗝𝗨𝗠𝗔𝗣𝗜𝗟𝗜 𝗬𝗔 𝗧𝗔𝗥𝗘𝗛𝗘 𝟴 𝗦𝗘𝗣. 𝟮𝟬𝟮𝟰 𝗡𝗜 𝗦𝗜𝗞𝗨 𝗬𝗔 𝗠𝗔𝗢𝗠𝗕𝗜 𝗬𝗔 𝗞𝗜𝗧𝗔𝗜𝗙𝗔 𝗞𝗨𝗪𝗔𝗢𝗠𝗕𝗘𝗔 𝗪𝗔𝗟𝗜𝗢𝗧𝗘𝗞𝗪𝗔. Mnano karne ya 4 kabla ya kuzaliwa Yesu Kristo kulikuwa na mamilion ya wayahudi waliochukuliwa mateka wakati wa utawala wa Babel (Iraq ya sasa) chini ya mfalme Nebukadreza...
  20. Empty container for sale

    JamiiForums Tanzania Kiroho unajuaje kuwa huu ni wakati wa MUNGU.?

    Unawezaje kujua kuwa huu ndo wakati wa MUNGU?
Back
Top Bottom