mungu

  1. Magufuli 05

    JamiiForums Tanzania Mwambieni Nape Mwenyezi Mungu kaamua ugomvi na sasa Bahari ipo shwari

    Mbio za sakafuni huishia ukingoni. Kiko wapi sasa? Magufuli alikunyofoa si kwa bahati mbaya Bali alikuona wewe hufai. Ukaishia kumtukana na kumkejeli. Leo Kiko wapi? Mwenyezi mungu kaamua ugomvi sasa karibu kwenye benchi. Wewe umejaa dharau,mikogo na mipasho tu kazi huwezi. Ona sasa ulivyoaibika...
  2. W

    JamiiForums Tanzania Simwachii Mungu

    By Joh Makini ft Ben Pol I love what I am doing. A city in da houz Yeah… Aaah! Some other people miss the old me Some other people love the new me I thank God all these people They don’t know me yet Class ni kitaa and they crown me yes Hata we shetani kunielewa mimi ni bless Mi sioni mganga wa...
  3. Bunchari

    JamiiForums Tanzania Naomba anaejua anifundishe jinsi ya kuanza kuhubiri neno la Mungu

    Habari wakuu Kama kichwa kinavyosema hapo juu naomba msaada,pia kama Kuna group za Whatsapp naomba kuunganishwa.
  4. D

    JamiiForums Tanzania Kazi wanayofanya Gen Z nchini Kenya imetukuka. Mungu atawalipa soon. Gen Z Tanzania amkeni mjikomboe.

    Maandamano yanayoendelea kumshinikiza Rais William Ruto kuondoka ofisini yana tija kubwa kwa Kenya na fundisho kwa Serikali ya CCM kuelekea 2025. Wanachokiandamia ni kukithiri kwa ufisadi na maisha ya anasa ya viongozi wao hasa wanasiasa. Vijana hao wakiwa katika lindi la umasikini lakini...
  5. comte

    JamiiForums Tanzania Hoja za CHADEMA zinajibiwa kirahisi na muda na Mungu

    https://www.mwananchi.co.tz/mw/habari/biashara/bidhaa-zashuka-bei-wachumi-watoa-somo-4695482
  6. Morning_star

    JamiiForums Tanzania Kwa sababu upumbavu wa Mungu una hekima zaidi ya wanadamu, na udhaifu wa Mungu una nguvu zaidi ya wanadamu.

    Wazungu pamoja na kuwabagua na kuwanyanyapaa watu weusi kwasababu ya rangi ya ngozi yao! Sasa hivi waangalie walivyojichora "tattoo" na miili yao kuwa myeusi kama mkaa! Ebu tupia hapa picha inayoonyesha jinsi wazungu walivyoharibu miili yao kwa tattoo 1 Wakorintho 1:25 [25]Kwa sababu upumbavu...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Msema ukweli ni mpenzi wa Mungu. Mh. Nape Mosses amechagua kusema ukweli

    Mh.Nape M. Nauya amechagua kuwa mkweli kuwa kipindi chote huwa wanafanya hivyo apongezwe Kwa ujasiri wake wa kutoa silaa za kivita hadharani .
  8. Zinduna

    JamiiForums Tanzania Mfalme Suleiman (Solomon) alikuwa na wake 700 na michepuko 300 kweli? Kwanini?

    Juzi nilipokwenda dukani kununua liwa kwa ajili yakurembesha uso wangu. Muuzaji alinifungia liwa hiyo kwenye kipande cha karatasi ambacho kilikuwa na habari inayomhusu Nabii Suleiman AS. Huyu nabii anaelezwa kwamba alikuwa na utajiri mkubwa usiyo kifani, lakini pia alikuwa na busara na hekima...
  9. U

    JamiiForums Tanzania Anthony Lusekelo adai Uwezekano wa matajiri kuingia mbinguni ni 70% na masikini kuikosa mbingu ni 99.9%,

    Wadau hamjamboni nyote? Siyo maneno yangu Bali nukuu kutoka Kwa Mtume Anthony Lusekelo "Uwezekano wa matajiri kuingia mbinguni ni 70% na uwezekano wa masikini kuikosa mbingu ni 99.9%, Mungu huwa hatembei na malofa(masikini) na amesema asiwaone malofa kanisani. Mungu amekataa watu wasije...
  10. God is Dead

    JamiiForums Tanzania Mungu sio mwema

    Nina hoja ningependekeza kuileta mbele yenu wanajamvi.. Kama kichwa na habari kinavyojieleza "Mungu sio mwema" Je ni kwanini ninasema haya. Zingatia hili, katika mafundisho yote ya kiimani tunafundishwa kumchukia shetani na mabaya yake yote ili tumpokee kristu, ni kweli Jamaa ni muovu, wewe...
  11. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Mambo mengine hamfanikiwi kutokana na dhambi, sio uchawi wala mapepo

    Gudmng Tukamate hii kutoka kwa mwl Newton Gordian “Ukweli ni kwamba mambo mengi tunayokwama na kushindwa kufanikiwa hayatokani na mapepo wala wachawi ila asilimia kubwa inatokana na kutokutii sauti ya Mungu na kutokufuata maagizo yake. Kuna wakati wala wachawi hawahusiki wala mapepo ila ni...
  12. Kasiano Muyenzi

    JamiiForums Tanzania Dickson Kabigumila: Wasanii wa muziki wa kidunia sio watumishi wa Mungu

    Pastor Anafunguka... Sijawahi kuona kampuni ya vilevi kama vile pombe ambayo inamtumia mteja wake mmoja aliyelewa huku anapigana na watu baada ya kulewa kwenye tangazo lake! Au amelala mtaroni kwa kuzidiwa na pombe, au amejisaidia (amejinyea na kujikojolea) huku anaongea mwenyewe maneno...
  13. Yoda

    JamiiForums Tanzania Angalia vipaumbele vya Waafrika wapokea misaada Vs Wagawa misaada

    Mmoja ni msafara wa nchi wapokea misaada, misfara mingine miwili ni wagawa msaada Netherlands na Uingereza.
  14. U

    JamiiForums Tanzania Je Mungu yupo sahihi zaidi?anayesema mbinguni kuna kuoa au anayedai mbinguni hakuna kuoa au kuolewa?

    Wadau hamjamboni nyote? Nauliza nipate elimu Mungu yupi ni mkweli? Anayedai mbinguni hakuna kuoa au kuolewa na yule anayesema mbinguni kuna kuoa? Ukisoma Biblia Luka 20:34-35 - Yesu akawaambia, Wana wa ulimwengu huu huoa na kuolewa lakini, wale wahesabiwao kuwa wamestahili kuupata ulimwengu...
  15. X

    JamiiForums Tanzania US-Politics: Biden asema Mungu amemruhusu aendelee na mbio za kuwania tena kiti cha uraisi

    Kumekuwa na gumzo kubwa Marekani ambapo watu wanashauri Biden apumzike asigombee kwa awamu nyingine kwa sababu ya umri. Ona mzee Biden alichowajibu; "Ikiwa Bwana Mwenyezi angeshuka na kusema Joe, ondoka kwenye mbio za uchaguzi ningetoka kwenye mbio hizi za uchaguzi. Lakini Bwana Mwenyezi...
  16. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Usimlazimishe Mungu kukuondoa duniani

  17. Vichekesho

    JamiiForums Tanzania Unanuka Kwapa? Hakiya Mungu tena hii dawa itakutibu 100% Kesho nipe mrejesho

    Oga vizuri, jikaushe maji chukua limao ulikate then ujipake makwapani, aloo hata ukishinda na mishe za juani hutasikia hata tone la harufu. Usiku pia ukisharudi kwenye mishe zako oga, paka tena kidogo, uendelee na shughuli za usiku. Kesho niletee mrejesho, sitaki hata 100. Mchango wako ni...
  18. Oscar Lyrics

    JamiiForums Tanzania Mungu wetu ni Mungu wa rehema

    Tuombe, Eeeh Mungu Mwenyezi Muumba Mbingu na ardhi pamoja vyote tunavyoviona na tusivyoviona, Tunakushukuru kwa zawadi ya uzima na afya njema, Tunakusifu na kukuabudu wewe kwa kuwa hakuna mungu kama wewe, Baba tunakuomba ubariki kazi za mikono yetu, tusipungukiwe na chochote, -Utusamehe makosa...
  19. lee Vladimir cleef

    JamiiForums Tanzania Masters voice prophecy: Mtumishi wa Mungu wa kike wa USA ameoneshwa na Mungu kuwa USA itapingwa na Urusi

    Mtumishi wa kike wa USA mwanadada Cerestrial anakuja na utabiri wake wa kiroho ambao unajirudiarudia kua Mungu amekua akimuonesha kua taifa la Marekani linaenda kupigwa vibaya sana na na Urusi ikishirikia a na china na kuanguka mazima. Mtabiri huyo mwana dada Mmarekani mweusi anasema...
  20. Leejay49

    JamiiForums Tanzania Kama umezaliwa bila ulemavu wowote usiache kumshukuru Mungu hata mara moja kwa siku

    Signed out forever
Back
Top Bottom