Kuisikia sauti ya Mungu kupitia ishara ya moto

Hekima ni Mwalimu

Senior Member
Joined
Jan 30, 2015
Posts
174
Reaction score
352
Mara nyingi Mungu anakua anazungumza na Mimi kupitia ishara ya Moto ,

Kama wanafunzi wa Yesu pia alivyo fufuka walisema,
Je ,mioyo yetu Aikuwakawaka ndani yetu alipo kuwa akisema nasi.

Sijajua Kwa wenzangu nataka kujua na nyie uwa inakuwaje
Lakini kwangu Mimi huwa hivi .

1. Nikiwa natafakari neno la Mungu , ikiwa Mungu anataka azungumze na Mimi kupitia Hilo neno basi Kuna ishara ya MOTO ITAWAKAWAKA NDANI YANGU,
Hilo neno nikilizingatia napata majibu ya hapo Kwa papo

Lakini Nikitafakari na moto usipowakawaka inakua Hadi niliombe Hilo neno Kwa muda mrefu ndiyo litokee lakini moto ukiwaka ni hapo Kwa papo .

2. Nikiwa na soma biblia naweza nikasoma chapter by chapter & mstali Kwa mstali .

Lakini Kuna andiko nikifika tu ,moto una wakawaka ndani na wenyewe nikizingatia hicho nilicho ambiwa majibu nayapata hapo Kwa papo

3. Nikiwa naomba maombi sahihi Kwa wakati sahihi
- moto pia una wakawaka ndani .
Japo kutokuwaka haimaanishi maombi unayo omba siyo sahihi.
- hii nakumbuka nilikuwa naomba neema ya kuingia msimu mpya ,nilivyo Anza kuomba tu , moto ukawakawaka
Na ghafla kesho kutwa yake tu ,

Mambo yangu yakabadilika kabisa , nika ingia msimu mwingine wa maisha .

Kwa yeyote aliye na experience na hari hii , aweza kushare na yeye experience yake Ili tuongezeane maarifa
 
Walimu bhana mshaanza kuleta taharuki
 
Umaskini ni mbaya sana, Una msongo wa mawazo Ndugu shtuka
 
Jambo la msingi hapo ni umekua mzangatiaji hadi umetambua ishara
Code:
 ambayo ulimwenguni unaitumia kukuhakikishia yale uyatarajiayo katika imani.

Wengine huwa wanasikia sauti, wanaona, wengine wanapata fikra ngeni isiyo yakwake, nk.

Pongezi Mkuu.
 
Mara nyingi Mungu anakua anazungumza na Mimi kupitia ishara ya Moto ,

Kama wanafunzi wa Yesu pia alivyo fufuka walisema,
Je ,mioyo yetu Aikuwakawaka ndani yetu alipo kuwa akisema nasi.

Sijajua Kwa wenzangu nataka kujua na nyie uwa inakuwaje
Lakini kwangu Mimi huwa hivi .

1. Nikiwa natafakari neno la Mungu , ikiwa Mungu anataka azungumze na Mimi kupitia Hilo neno basi Kuna ishara ya MOTO ITAWAKAWAKA NDANI YANGU,
Hilo neno nikilizingatia napata majibu ya hapo Kwa papo

Lakini Nikitafakari na moto usipowakawaka inakua Hadi niliombe Hilo neno Kwa muda mrefu ndiyo litokee lakini moto ukiwaka ni hapo Kwa papo .

2. Nikiwa na soma biblia naweza nikasoma chapter by chapter & mstali Kwa mstali .

Lakini Kuna andiko nikifika tu ,moto una wakawaka ndani na wenyewe nikizingatia hicho nilicho ambiwa majibu nayapata hapo Kwa papo

3. Nikiwa naomba maombi sahihi Kwa wakati sahihi
- moto pia una wakawaka ndani .
Japo kutokuwaka haimaanishi maombi unayo omba siyo sahihi.
- hii nakumbuka nilikuwa naomba neema ya kuingia msimu mpya ,nilivyo Anza kuomba tu , moto ukawakawaka
Na ghafla kesho kutwa yake tu ,

Mambo yangu yakabadilika kabisa , nika ingia msimu mwingine wa maisha .

Kwa yeyote aliye na experience na hari hii , aweza kushare na yeye experience yake Ili tuongezeane maarifa
Kwanini aliacha? Hogwash tupu.
 
Umejuaje kuwa ni MUNGU NA SIYO SHETANI MFANO WA MUNGU ...watu mna ugua ugonjwa wa UANITHI WA AKILI.
 
Fungua Kanisa Mkuu Unajua kupangilia maneno, utapiga sana pesa za wajinga.
 
Back
Top Bottom