mungu

  1. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Kwahiyo Mungu alifanya kazi siku sita ya saba akapumzika! Ina maana alichoka si ndio?

    Kusema akapumzika maana yake kazi ilikuwa ngumu sana ikamchosha hivyo ikamlazimu apumzike tena maandiko yanasema akastarehe kwa sasa tunaweza kusema akala Bata (BATA BATANI) Mwanzo2:1-3. Au Ninyi huwa mnaelewaje wajuvi wa maandiko? Ninachojifunza kupumzisha mwili na akili ni jambo la msingi...
  2. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli kwamba Mungu ameamuru wanawake wavae mavazi(Hijabu) ya kufunika kila kitu hadi uso na macho?

    Ndugu zetu waislamu mnaweza kutuambia kuwa hilo ni Tamko la Allah moja kwa moja kwamba wanawake wavae hijabu ya kufunika kilakitu au pengine ni hekimu ama maoni ya mtume Muhammad S.a.w pekee? Je hii sio mila na desturi za kiarabu peke yake? Kama ndivyo Allah alikusudia hivyo mbona huku Africa...
  3. Wakusolve

    JamiiForums Tanzania Unapokaribia kupata baraka za Mungu huwa kuna vikwazo, kwanini, majibu yapo hapa...

    Unapokaribia mlango wa baraka kufunguliwa vikwazo utokea kwa nini Danieli 10:13 Lakini mkuu wa ufalme wa Uajemi alinipinga siku ishirini na moja; bali, tazama, huyo Mikaeli, mmoja wa hao wakuu wa mbele, akaja kunisaidia; nami nikamwacha huko pamoja na wafalme wa Uajemi. Katika kifungo hiki...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Nilichojifunza kwenye hii Dunia, unatakiwa kuheshimu Dola na serikali, uki Mess Up hata Mungu Hana cha kukusaidia

    Ukitafakali kwa undani Mwenyezi Mungu hana muda wa kuhangaika na mambo ya duniani, yeye ni Mtakatifu ktk Mambo ya Mbinguni tu. Hahangaiki na mambo ya ulimwengu huu, uki mess up imekula kwako Je wewe umejifunza nini kwenye dunia ya leo?
  5. 4

    JamiiForums Tanzania Mwachieni Lissu haraka, sio ombi ni sauti ya Mungu alie juu kupitia kwangu

    Amani ya Bwana ikawe kwa kila mmoja popote mlipo Rejea mada tajwa hapo juu Mungu anataka Lissu achiliwa haraka sana ndani ya siku 21 ni amri kuu sio ombi. Ujumbe huu ukamfikie kila mmoja na mhusika wa kuendelea mshikilia mtu uyu. Msipofanya hivi ndani ya siku 21 , kuanzia leo 1/5/ 2026, bila...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Ukikataliwa na Mungu unakosa sifa zote za ubinadamu, unakuwa mnyama si mnyama, ndege si ndege na watu wanakususa!

    Kuna mtu kakataliwa na Mungu aliyemuumba, Mungu anatumia umma kumwadhibu, Farao yule wa Misiri, alifanywa moyo wake kuwa mgumu ili aendelee na ushetani wake ili aje kujionea ukuu wa Mungu kwa macho yake, ndivyo ilivyo sasa katika nchi Fulani, mtu huyo katiwa ugumu wa moyo ili aone ni sawa kwa...
  7. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Ila hawa manabii huwa ni wajanja, wakijisikia kuongeza mke wanasema Mungu kawaruhusu, wakijisikia kuua watu wanasema Mungu amesema mmsaidie kutimiza

    Kuna science ya kucheza na akili ya mwanadamu ili awe mfuasi wako na ataishia kufanya lolote kwa ajili yako na hata ukifa ataendelea kukutukuza kufanya yale ulimfundisha. Human brain is a mystery.
  8. MTAZAMO

    JamiiForums Tanzania Mtu aliyeandaliwa na Mungu vs Mtu aliyejiandaa au kuandaliwa na watu

    Wakuu, Kwenye mapito ya maisha unaweza kupitia mambo mengi ukifikiri imetokea tu kumbe Mungu anakuandaa na nyakati ngumu. Muogope mtu ambaye aliandaliwa na Mungu kuvuka nyakati ngumu. Tunajua makomandoo wa Jeshi lolote huandaliwa kukabiliana na nyakati ngumu. Lakini hawa huweza kuvumilia kwa...
  9. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Mungu ni Omnipresent, yuko ndani yako! Hivyo Nguvu zake za Kufanya Kila Kitu Unazo. Jifunze Jinsi ya Kuziamsha na Kuzitumia…

    MODE Naomba tuanzishe jukwaa la Spiritual,tumwage humu mambo ya nguvu za kiroho, spiritual powers,ili wana jf wawe na uwezo wa kutumia nguvu zao za kiroho,kunyoosha mambo yao,ikiwemo kuwa ma milionea,mabilionea, ma trillionea na ma multi milionea, multi bilioneo na multi trillionea kwa kutumia...
  10. G Sam

    JamiiForums Tanzania Asante Mungu kwa kutuonyesha "ukihiyo" wa Othman Chande, wengi hatukumjua kabla

    Kwa kweli kama ni jambo la kumshukuru Mungu basi ni kwa kutufunulia ukihiyo wa huyu mzee. Wengi tuliamini visivyo. Huyu mzee ukimjumlisha na wenzake kama kina Ibrahim Juma ambaye pasi na shaka tulikuwa tunamjua, kwa kweli wote ni wale wale. Ripoti aliyotoa na anayoitetea ni kinyume kabisa cha...
  11. Wakusolve

    JamiiForums Tanzania Ukiwa chanya Katika maisha yako Mungu anaondoa watu hasi kwenye maisha yako

    UKIWA CHANYA MUNGU ANAKUONDOLEA WATU HASI KWENYE MAISHA YAKO Anza kubadilisha maisha yako, kuwa mtu chanya, Mtu chanya ni mtu ambaye anaishi maisha yenye kuona mambo kwa uzuri. Mtu chanya ni mtu anayependa mafanikio ya wengine, ni mtu ambaye atoi maneno ya kukatisha tamaa wengine, ashiriki...
  12. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Japo Kuna Vitu Vinatokea Kwa Kudra Tuu za Mwenyezi Mungu, Je Unaamini Kuna Watu Wana Powers za Kumkudrisha Mwenyeezi Mungu?, Amini Usiamini, Wapo!

    Wanabodi, Mimi ni mmoja wa wanabodi, mara moja moja siku za Jumapili, nitakuwa nawaletea nyuzi za mambo ya powers. Mamlaka Kuu kabisa ulimwenguni ni Mungu, kwa majina tofauti tofauti, Mungu Baba, God The Almighty, Mwenyeezi Mungu Subhanna wa Taalah, Allah, Yehova, Jehova, YEYE, I AM, etc...
  13. Infropreneur

    JamiiForums Tanzania Kumshukuru Mungu kwa zawadi ya "Uhai" Hakuzuii kifo. Ushukuru, Usishukuru, kufa kupo palepale

    Hakuna Mungu wa kuzuia wewe usife kwa kuwa unamshukuru kwa uhai! Hakuna Mungu wa kukulinda, kwa vile eti unamshukuru kwa uhai! Utakuta watu wanajipa matumaini uchwara ya kijinga, Eti..... "Ukiamka salama asubuhi, shukuru Mungu" "Ukienda kazini na kurudi nyumbani salama, Shukuru Mungu"...
  14. USSR

    JamiiForums Tanzania Kama ni kweli itakuwa Mungu ameamua kusimama na taifa na kuondoa waliopanga kumwaga damu za watanzania

    Alionekana tangu zamani kuwa na elements za kichochezi hadi leo asubuhi. tunasubiri kauli ya RPC wa Geita Sofia Jongo USSR
  15. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Halafu Mungu aingilie kati watu tusifanye sherehe? Thubutu! Yaani ntashangilia hadi nizime, nikiamka naanza upyaaaaaaa!

    Wakuu, Si hata Mungu mwenyewe anaona vile wanatusogezea sabufa na wali wa hitima! Yaani yeye na genge lake wakiendelea kuanguka mmoja baada ya mwingine mabosi huo msiwe na hiyana, Boss usitubanie siku hiyo, tujipatie siku zetu mbili za kusherekea kwa kichwa😌😌 Siku hiyo ntapiga maji hadi...
  16. Wakusolve

    JamiiForums Tanzania Mungu akiwa upande wako akuna adui atakeyekushinda katika maisha yako

    Warumi 8:31 Basi, tuseme nini juu ya hayo? Mungu akiwapo upande wetu, ni nani aliye juu yetu? Katika bibilia tunaona kwamba Mungu akiwa upande wako akuna kitu kitakacho kudhuru kwenye maisha yako. Mungu akiwa upande wako maadui wanaweza tumia njia zote kuweza kukumaliza lakini wakashindwa na...
  17. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Katika jina la Mungu

    Katika jina la Mungu wajinga wengi walibatizwa au kusilimishwa. Walipewa majina ya kigeni. Walifundishwa lugha za kigeni. Walifundishwa kuabudia kila upuuzi wa kigeni Waliacha kufikiri na kuacha dini zifikiri kwa ajili yao. Walidhalilishwa, kudharauliwa, na kunyonywa. Walivisha kongwa...
  18. Rebuild

    JamiiForums Tanzania Naamini Mungu yupo(Nguvu Kuu)

    Sina mengi ya kusema Ila Mungu yupo na atendelea kuwepo. Mla Tamu na chungu pia hula. Usikate tamaa siku yako inakuja ukijuma katika Mishe zako.
  19. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Vita Vya Iran: Ucha Mungu na ustaarabu

    https://youtu.be/xY9IEEN2K6Y
  20. O

    JamiiForums Tanzania Nahisi kama si jambo sahihi na halina maana labda kama nakufuru Mungu anisamehee sana maana naaminini mungu yupo

    Mafanikio YOYOTE AMBAYO yanakukuta KATIKA muda AMBAO HUWEZI kuyafurahia hayafai kabisa Bora ubaki HIVYo. Mfano MTU anajifungua mtoto akiwa na umri WA MIAKA 60 na hakuwahi Kupata mtoto KATIKA maisha yake yote. Ukiwa broke huyo mtoto WA kazi gani labda ukiwa tajiri au umefanikiwa afadhali hapo...
Back
Top Bottom