Kwa Familia ya Freeman Mbowe na CHADEMA: Kinachoitwa "unabii wa Mungu" wa mtu anayejiita "Nabii Mashimo" hautoki kwa Mungu, ni tego hatari kwenu!!

The Palm Tree

JF-Expert Member
Apr 13, 2013
7,951
12,535
Akitoa taarifa rasmi za shambulio na kujeruhiwa kwa M/kiti CHADEMA taifa, KUB na Mbunge wa jimbo la Hai - Kilimanjaro Mh. Freeman Aikael Mbowe, katibu Mkuu wa CHADEMA ndugu John Mnyika alitumia fursa hiyo pia kutoa wito kwa jeshi la polisi kumkamata na kumhoji mtu mmoja anayejiita "Nabii" anayeitwa Mashimo, ili aisaidie polisi ktk upelelezi na uchunguzi juu ya tukio hili.

Hii inatokana na ukweli kuwa, wiki kadhaa nyuma kabla ya shambulio hili, huyu mtu katika kile alichokiita "unabii toka kwa Mungu" alitabiri kwa kutoa orodha kadhaa ya viongozi wakubwa wa kisiasa kuwa mmoja angeshambuliwa na kuumiza vibaya. Katika orodha hiyo, Freeman .A. Mbowe akiwemo pia.

Jana tarehe 10/6/2020 Global TV imehoji mtu huyu anayejiita "Nabii" Mashimo.

Katika maelezo yake na ikiwa ni majibu kwa John Mnyika na CHADEMA, amethibitisha kuwa ni kweli alitoa unabii huo na imetokea na eti bado haujakamilika kwa ukamilifu wake, maana ili ukamilike ni mpaka Mbowe afe...!!

Hii ilinishitua kidogo Mimi binafsi na kutaka kujua huyu ni Nabii kweli ama ni mmoja wa "mashetani katika maumbo ya kibinadamu" mwenye misheni maalumu ya kuharibu, kuchinja na kuua?

Hii ikanipelekea nifanye utafiti wa kimaandiko ya Biblia ili nimthibitishe huyu Nabii na kuandaa makala hii ndefu kumchambua huyu mtu kwa misingi ya imani ya Kikristo.

Utafiti wangu ulijikita ktk kujibu maswali manner haya:

1. Nabii wa Mungu ni nani?

2. Zipi ni sifa za Nabii wa kweli wa Mungu?.

3. Zipi ni sifa sahihi za unabii wa kweli utokao kwa Mungu?

4. Je, huyu mtu ajiitaye "Nabii" ana - qualify kuitwa "Nabii wa kweli wa Mungu?"

Fuatana nami ktk tafakuri hii. Na msingi ama rejea ya uchambuzi huu ni Neno la Mungu (Biblia Takatifu)

## NABII WA MUNGU NI NANI?

å Ni mtu ambaye anaongea kwa niaba ya Mungu. Kwa maana ya kuwa Mungu huwasiliana na nabii kwa yeye Mungu kuweka maneno au ujumbe wake kwenye kinywa cha mtu huyu ili aupeleke kwa mtu ama mahali Mungu amemtuma...

( Yeremia 1:9)

"....ndipo Bwana akaunyoosha mkono wake akanigusa kinywa changu ; Bwana akaniambia tazama nimetia maneno yangu kinywani mwako...."

å Mungu hutumia njia hizi zifuatazo kuwasiliana na Manabii wake:

1. Utabiri (1Sam.10:10-13
2. Maono (Daniel. 10: 7- 8)
3. Ndoto (Daniel 7:1)
4. Njozi (Daniel. 7:7)

## KAZI YA NABII NI:

å Kutoa maonyo
å Kukemea dhambi za watu wote na watawala (viongozi)
å Kusahihisha njia mbovu (za dhambi) za watu na watawala (viongozi)
å Kufunua Neno na Mapenzi ya Mungu
å Kuitisha toba kuita watu watubu dhambi zao

## ZIPI NI SIFA ZA NABII WA KWELI WA MUNGU?

å Swali hili tunaweza kuliweka kwa namna hii pia; Tunawezaje kumtambua Nabii wa kweli wa Mungu kutoka kwa manabii wa uongo?
å Yesu Kristo anatupa jibu hili (Math.7:15 - 20)

"....jihadharini na manabii wa uongo, watu wanaowajia wamevaa mavazi ya kondoo, walakini kwa ndani ni mbwa mwitu wakali. MTAWATAMBUA KWA MATENDO YAO. Je, watu huchuma mizababu katika miiba; au tini katika mibaruti? Vivyo hivyo kila mti mwema huzaa matunda mazuri; na mti mwovu huzaa matunda mabaya. Mti mwema hauwezi kuzaa matunda mabaya, wala mti mwovu kuzaa matunda mazuri. Kila mti usiozaa tunda zuri hukatwa ukatupwa motoni. Ndiposa KWA MATUNDA YAO MTAWATAMBUA...."

å Kwa mistari hiyo hapo juu, bila shaka tunaweza sasa kuona kuwa hizi ndizo sifa za Nabii wa kweli wa Mungu;

1. Huishi maisha matakatifu sana, ya kiwango cha juu sana kuliko watu wa kawaida; Mfano; Yesu Kristo, Mussa, Samweli, Isaya na manabii wengine wengi...

2. Ujumbe wake mara zote siyo laini wa kuwafurahisha watu na kufunika dhambi zao....

3. Ujumbe wake haupingani au kukinzana na Neno la Mungu (Biblia) na manabii wa zamani wa Biblia waliotangulia (1 Kor. 14:34)....

4. Wako tayari hata kufa kwa ajili ya ujumbe waliotumwa kuufikisha (Yer. 26: 7 - 11)....

5. Hutii Neno la Mungu na ushuhuda wa manabii waliowatangulia ( Isaya. 8:20 )

6. Wanaamini na kulikiri jina la Yesu Kristo.

7. Mnyenyekevu na ana hofu ya Mungu

8. Ujumbe wao haubagui mtu kwa msingi wa hali ama hadhi fulani ktk jamii. Nabii nyingi na karibu zote ziliwahusu "viongozi watawala" na matendo yao maovu. Huyu yeye unabii wake mara zote unatetea dhambi ya watawala na kuwalenga tu wale tu wanaokosoa matendo ya watawala...!

## SIFA ZA UNABII WA KWELI UTOKAO KWA MUNGU:

å Unabii wa kweli utokao kwa Mungu una sifa zifuatazo;

1. Unawiana na Neno la Mungu. Haukinzani na Biblia

2. Unakuja ukiwa kamili na kumlenga mtu ama taifa ama kitu maalumu (specific). Hauna cha "hili tukio linaweza kumpata fulani ama fulani ama fulani..."
å Mfano ni unabii wa Isaya dhidi ya Mfalme Hezekia (Soma: Isaya 20: 1 - 6)
å Ujumbe wa unabii ulikuwa very clear na specific. Isaya hakuwa na maswali. Alielewa na alikwenda moja kwa moja kwa mlengwa wa ujumbe
å Mara nyingi unabii huwalenga watawala (wafalme), viongozi wenye mamlaka na maamuzi juu ya mustakabali wa maisha ya watu wengi...

3. Mungu ndiye anayegharamia safari ya Nabii wake anayemtuma kumpeleka ujumbe huo MTU aliyemlenga bila kujali abayehusika yuko umbali gani duniani...
Mfano, Yona alitumwa na Mungu kupeleka unabii Tarshish nchi nyingine ya mbali. Mungu akimwandalia kila alichohitaji ktk safari yake...

å Haifanyiki kama vile huyu mtu anayejiita "Nabii" Mashimo anavyofanya, kwamba ili Mbowe ama CHADEMA awafikishie unabii wao basi lazima wamtumie nauli ama usafiri...!

å Kwenye hili Neno la Mungu linasema:

"....mmepata bure, toeni bure....."

å Unabii ni karama itokayo juu kwa Mungu Mwenyezi mwenyewe kuoitia kwa mwanae, YESU KRISTO...

å Ametoa bure. Gharama zote zimeshalipwa Golgotha. Hatutakiwi kudai pesa kuwapelekea watu habari njema za Injili ya Kristo...!

å Unabii ni Injili maana unalenga kuokoa roho ya mtu isiangamie kwa Mungu mwenyewe kufanya vile kupitia kwa mtu (Nabii)...

## JE, HUYU MTU ANAYEJIITA "NABII" MASHIMO BAADA YA MAELEZO HAYA ANA - QUALIFY KUITWA NABII WA KWELI WA MUNGU ALIYE JUU, YEHOVA?

å Jibu, ni HAPANA. Huyu mtu ni 100% "..IS A DEVIL IN HUMAN SHAPE...!"

Biblia Neno la Mungu inasema;

"...hamkosi (yaani hamtashindwa) kuzitambua hila (yaani mbinu ama mikakati (strategies) zake ......"

å Huyu ni mbwa mwitu aliyevaa vazi la kondoo. Ni hatari, anadanganya na kupoteza wengi....

å Neno la Mungu linasema " .....MTAWATAMBUA kwa matendo na matunda yao...." Mtazame matendo yake

å Matunda ya Manabii wa kweli wa Mungu yako hapa..
( Wagalatia. 5: 22 - 23 )

å Matunda anayozaa huyu mtu mwovu ni haya;
( Wagalatia 5: 19 - 21 )

å Ndugu yetu huyu Mashimo, unabii wake umekosa sifa nyingi kama zilivyoorodheshwa hapo juu

å Aidha ushuhuda wa Mashimo si wa mkristo halisi, wa kweli. Unamtupa nje kabisa ya kuwa Nabii wa kweli wa Yesu Kristo...

å Nabii wa kweli anatakiwa kuwa na utakatifu uliovuka viwango vya kawaida....

å Mashimo tuneshawahi kumshuhudia akirushiana ngumi na wapiga debe wa stendi ya nabasi ya mikoani Ubungo, DSM (tazama video hapo juu). Hakuna nabii wa Mungu wa kweli mwenye tabia hizi katika Biblia yote, kuanzia Agano la kale hadi Agano Jipya la Neema..!!

å Kumbuka imendikwa "....MTAWATAMBUA kwa matendo yao....!!, kwamba huyu atoka kwa Mungu wa kweli ama ametoka kuzimu....

å Mashimo, kwa kinywa chake (tazama video) anasema ili awashirikishe unabii wake walengwa, basi wamtumie nauli au usafiri aende Dodoma ama popote. Manabii wa Mungu hawaombi pesa...

å Nabii wa kweli wa Mungu huwa ANATUMWA na KUPELEKWA na ALIYEMTUMA (Mungu). Na Mungu huwa tayari ameshaandaa mazingira ya nabii kupokelewa yeye na ujumbe wake..

å Kama Mashimo (kwa maelezo yake) alikuwa anapata vikwazo kuufikisha unabii wake kwa wahusika, maana yake Mungu aliingilia kati kuwakoa watu wake wasije kula sumu ya unabii wake...

å MWISHO: Pasipo kupepesa macho wala kumung'unya maneno, Huyu " Nabii wa kuzimu" ni miongoni mwa " wasiojulikana" wanaohusika na mauaji na mateso ya watu. Huyu idara yake anayoisimamia ni hii ya kujifanya mtumishi wa Mungu, Nabii. Polisi shughulikeni naye, akiminywa sawasawa atawapa kila mnachokihitaji...!

¶ Nahitimisha kwa kuwaasa familia ya Mh. Freeman Mbowe, na CHADEMA msije mkaingia kwenye mtego huu wa shetani mwenyewe, mtaangamia...

¶ Huo utokao kwa mtu huyu ajiitaye Nabii siyo ujumbe wa Mungu, ni ujumbe toka KUZIMU. Huyu ni mjumbe halisi was shetani....

Hawezi kufa mtu hapo. Mbowe hawezi kufa nje ya mapenzi ya Mungu. Hawezi kufa kwa sbb ya huyu mtu ajiitaye Nabii na ujumbe wake toka kuzimu.....

¶. Mungu wa PEKEE, na KWELI na MWENYE upendo yupo na kila mtu hapo hapo mlipo. Mungu Yehova anampenda kila mtu bila masharti...

¶ La muhimu la kufanya ni kila mtu kujiachilia kwake, kila mmoja wetu kumimina mioyo na nafsi zetu kwake Yehova ktk Yesu Kristo na kusema;

"...Mungu Baba Mwenyezi nakuja kwako Leo. Mimi ni mwenye dhambi. Nakiri kwa KINYWA changu na kuamini kwa MOYO wangu kuwa Yesu Kristo alisulubiwa na kufa badala yangu msalabani. Akazikwa na kufufuka siku ya tatu na sasa yu hai mbinguni. Alichukua adhabu ya dhambi zangu. Napokea msamaha ambao Mungu anaoutoa kwangu. Nashukuru kwa uhusiano wake na mimi alionipa sasa. Kuanzia sasa nitaishi kila siku katika uhusiano binafsi na Mungu na naahidi kuwashirikisha pia wengine ukweli huu. AMINA..."

¶ Ni rahisi tu namna hii. Ni kwa kusema na kuamini tu. Hakuna gharama yoyote maana gharama yote ilishalipwa na Yesu Kristo miaka zaidi ya 2000 iliyopita kwa kifo chake msalabani...

Bwana awabariki na kuwatia nguvu nyote. Mungu anawapenda. Chukueni uamuzi sahihi..
 
Nabii Yuko Sahihi MUNGU mbariki nabii
Kwamba Mbowe lazima afe?

Ila wakuu naona kama mnavuka mipaka ya utu aisee. Kwanini siasa zinawazidi nguvu hivi? Unashangiliaje mwenzako afe hata kama mko vyama tofauti?

Hivi kwa mtu kama wewe, ukiwa na nafasi au ukiwa na Bunduki utashindwa kufanya mauaji kweli mkuu?
 
Kweli Chadema Vilaza,huyu mashimo wanakonsider unabii fake wake?Huyo mashimo alishawahi kusema "tabiri"nyingi tu na hazijatokea.
 
Nabii tapeli asie na tofauti na wacheza kamari; anatoa option nyingi ili ikitokea yoyote kati ya hizo wajinga wamsifie halafu jumapili inayofuata wakimbilie kanisani kwake kwa wingi wakamtolee sadaka, kisha anunue V-8 aanze kusumbua nalo mtaani.

Wajinga ndio waliwao.
 
Akitoa taarifa rasmi za shambulio na kujeruhiwa kwa M/kiti CHADEMA taifa, KUB na Mbunge wa jimbo la Hai - Kilimanjaro Mh. Freeman Aikael Mbowe, katibu Mkuu wa CHADEMA ndugu John Mnyika alitumia fursa hiyo pia kutoa wito kwa jeshi la polisi kumkamata na kumhoji mtu mmoja anayejiita "Nabii" anayeitwa Mashimo, ili aisaidie polisi ktk upelelezi na uchunguzi juu ya tukio hili.

Hii inatokana na ukweli kuwa, wiki kadhaa nyuma kabla ya shambulio hili, huyu mtu katika kile alichokiita "unabii toka kwa Mungu" alitabiri kwa kutoa orodha kadhaa ya viongozi wakubwa wa kisiasa kuwa mmoja angeshambuliwa na kuumiza vibaya. Katika orodha hiyo, Freeman .A. Mbowe akiwemo pia.

Jana tarehe 10/6/2020 Global TV imehoji mtu huyu anayejiita "Nabii" Mashimo.

Katika maelezo yake na ikiwa ni majibu kwa John Mnyika na CHADEMA, amethibitisha kuwa ni kweli alitoa unabii huo na imetokea na eti bado haujakamilika kwa ukamilifu wake, maana ili ukamilike ni mpaka Mbowe afe...!!

Hii ilinishitua kidogo Mimi binafsi na kutaka kujua huyu ni Nabii kweli ama ni mmoja wa "mashetani katika maumbo ya kibinadamu" mwenye misheni maalumu ya kuharibu, kuchinja na kuua?

Hii ikanipelekea nifanye utafiti wa kimaandiko ya Biblia ili nimthibitishe huyu Nabii na kuandaa makala hii ndefu kumchambua huyu mtu kwa misingi ya imani ya Kikristo.

Utafiti wangu ulijikita ktk kujibu maswali manner haya:

1. Nabii wa Mungu ni nani?

2. Zipi ni sifa za Nabii wa kweli wa Mungu?.

3. Zipi ni sifa sahihi za unabii wa kweli utokao kwa Mungu?

4. Je, huyu mtu ajiitaye "Nabii" ana - quality kuitwa "Nabii wa kweli wa Mungu?"

Fuatana nami ktk tafakuri hii. Na msingi ama rejea ya uchambuzi huu ni Neno la Mungu (Biblia Takatifu)

## NABII WA MUNGU NI NANI?

å Ni mtu ambaye anaongea kwa niaba ya Mungu. Kwa maana ya kuwa Mungu huwasiliana na nabii kwa yeye Mungu kuweka maneno au ujumbe wake kwenye kinywa cha mtu huyu ili aupeleke kwa mtu ama mahali Mungu amemtuma...

( Yeremia 1:9)

"....ndipo Bwana akaunyoosha mkono wake akanigusa kinywa changu ; Bwana akaniambia tazama nimetia maneno yangu kinywani mwako...."

å Mungu hutumia njia hizi zifuatazo kuwasiliana na Manabii wake:

1. Utabiri (1Sam.10:10-13
2. Maono (Daniel. 10: 7- 8)
3. Ndoto (Daniel 7:1)
4. Njozi (Daniel. 7:7)

## KAZI YA NABII NI:

å Kutoa maonyo
å Kukemea dhambi za watu wote na watawala (viongozi)
å Kusahihisha njia mbovu (za dhambi) za watu na watawala (viongozi)
å Kufunua Neno na Mapenzi ya Mungu
å Kuitisha toba kuita watu watubu dhambi zao

## ZIPI NI SIFA ZA NABII WA KWELI WA MUNGU?

å Swali hili tunaweza kuliweka kwa namna hii pia; Tunawezaje kumtambua Nabii wa kweli wa Mungu kutoka kwa manabii wa uongo?
å Yesu Kristo anatupa jibu hili (Math.7:15 - 20)

"....jihadharini na manabii wa uongo, watu wanaowajia wamevaa mavazi ya kondoo, walakini kwa ndani ni mbwa mwitu wakali. MTAWATAMBUA KWA MATENDO YAO. Je, watu huchuma mizababu katika miiba; au tini katika mibaruti? Vivyo hivyo kila mti mwema huzaa matunda mazuri; na mti mwovu huzaa matunda mabaya. Mti mwema hauwezi kuzaa matunda mabaya, wala mti mwovu kuzaa matunda mazuri. Kila mti usiozaa tunda zuri hukatwa ukatupwa motoni. Ndiposa KWA MATUNDA YAO MTAWATAMBUA...."

å Kwa mistari hiyo hapo juu, bila shaka tunaweza sasa kuona kuwa hizi ndizo sifa za Nabii wa kweli wa Mungu;

1. Huishi maisha matakatifu sana, ya kiwango cha juu sana kuliko watu wa kawaida; Mfano; Yesu Kristo, Mussa, Samweli, Isaya na manabii wengine wengi...

2. Ujumbe wake mara zote siyo laini wa kuwafurahisha watu na kufunika dhambi zao....

3. Ujumbe wake haupingani au kukinzana na Neno la Mungu (Biblia) na manabii wa zamani wa Biblia waliotangulia (1 Kor. 14:34)....

4. Wako tayari hata kufa kwa ajili ya ujumbe waliotumwa kuufikisha (Yer. 26: 7 - 11)....

5. Hutii Neno la Mungu na ushuhuda wa manabii waliowatangulia ( Isaya. 8:20 )

6. Wanaamini na kulikiri jina la Yesu Kristo.

7. Mnyenyekevu na ana hofu ya Mungu

8. Ujumbe wao haubagui mtu kwa msingi wa hali ama hadhi fulani ktk jamii. Nabii nyingi na karibu zote ziliwahusu "viongozi watawala" na matendo yao maovu. Huyu yeye unabii wake mara zote unatetea dhambi ya watawala na kuwalenga tu wale tu wanaokosoa matendo ya watawala...!

## SIFA ZA UNABII WA KWELI UTOKAO KWA MUNGU:

å Unabii wa kweli utokao kwa Mungu una sifa zifuatazo;

1. Unawiana na Neno la Mungu. Haukinzani na Biblia

2. Unakuja ukiwa kamili na kumlenga mtu ama taifa ama kitu maalumu (specific). Hauna cha "hili tukio linaweza kumpata fulani ama fulani ama fulani..."
å Mfano ni unabii wa Isaya dhidi ya Mfalme Hezekia (Soma: Isaya 20: 1 - 6)
å Ujumbe wa unabii ulikuwa very clear na specific. Isaya hakuwa na maswali. Alielewa na alikwenda moja kwa moja kwa mlengwa wa ujumbe
å Mara nyingi unabii huwalenga watawala (wafalme), viongozi wenye mamlaka na maamuzi juu ya mustakabali wa maisha ya watu wengi...

3. Mungu ndiye anayegharamia safari ya Nabii wake anayemtuma kumpeleka ujumbe huo MTU aliyemlenga bila kujali abayehusika yuko umbali gani duniani...
Mfano, Yona alitumwa na Mungu kupeleka unabii Tarshish nchi nyingine ya mbali. Mungu akimwandalia kila alichohitaji ktk safari yake...

å Haifanyiki kama vile huyu mtu anayejiita "Nabii" Mashimo anavyofanya, kwamba ili Mbowe ama CHADEMA awafikishie unabii wao basi lazima wamtumie nauli ama usafiri...!

å Kwenye hili Neno la Mungu linasema:

"....mmepata bure, toeni bure....."

å Unabii ni karama itokayo juu kwa Mungu Mwenyezi mwenyewe kuoitia kwa mwanae, YESU KRISTO...

å Ametoa bure. Gharama zote zimeshalipwa Golgotha. Hatutakiwi kudai pesa kuwapelekea watu habari njema za Injili ya Kristo...!

å Unabii ni Injili maana unalenga kuokoa roho ya mtu isiangamie kwa Mungu mwenyewe kufanya vile kupitia kwa mtu (Nabii)...

## JE, HUYU MTU ANAYEJIITA "NABII" MASHIMO BAADA YA MAELEZO HAYA ANA - QUALIFY KUITWA NABII WA KWELI WA MUNGU ALIYE JUU, YEHOVA?

å Jibu, ni HAPANA. Huyu mtu ni 100% "..IS A DEVIL IN HUMAN SHAPE...!"

Biblia Neno la Mungu inasema;

"...hamkosi (yaani hamtashindwa) kuzitambua hila (yaani mbinu ama mikakati (strategies) zake ......"

å Huyu ni mbwa mwitu aliyevaa vazi la kondoo. Ni hatari, anadanganya na kupoteza wengi....

å Neno la Mungu linasema " .....MTAWATAMBUA kwa matendo na matunda yao...." Mtazame matendo yake
View attachment 1474912

å Matunda ya Manabii wa kweli wa Mungu yako hapa..
( Wagalatia. 5: 22 - 23 )

å Matunda anayozaa huyu mtu mwovu ni haya;
( Wagalatia 5: 19 - 21 )

å Ndugu yetu huyu Mashimo, unabii wake umekosa sifa nyingi kama zilivyoorodheshwa hapo juu

å Aidha ushuhuda wa Mashimo si wa mkristo halisi, wa kweli. Unamtupa nje kabisa ya kuwa Nabii wa kweli wa Yesu Kristo...

å Nabii wa kweli anatakiwa kuwa na utakatifu uliovuka viwango vya kawaida....

å Mashimo tuneshawahi kumshuhudia akirushiana ngumi na wapiga debe wa stendi ya nabasi ya mikoani Ubungo, DSM (tazama video hapo juu). Hakuna nabii wa Mungu wa kweli mwenye tabia hizi katika Biblia yote, kuanzia Agano la kale hadi Agano Jipya la Neema..!!

å Kumbuka imendikwa "....MTAWATAMBUA kwa matendo yao....!!, kwamba huyu atoka kwa Mungu wa kweli ama ametoka kuzimu....

å Mashimo, kwa kinywa chake (tazama video) anasema ili awashirikishe unabii wake walengwa, basi wamtumie nauli au usafiri aende Dodoma ama popote. Manabii wa Mungu hawaombi pesa...

å Nabii wa kweli wa Mungu huwa ANATUMWA na KUPELEKWA na ALIYEMTUMA (Mungu). Na Mungu huwa tayari ameshaandaa mazingira ya nabii kupokelewa yeye na ujumbe wake..

å Kama Mashimo (kwa maelezo yake) alikuwa anapata vikwazo kuufikisha unabii wake kwa wahusika, maana yake Mungu aliingilia kati kuwakoa watu wake wasije kula sumu ya unabii wake...

å MWISHO: Pasipo kupepesa macho wala kumung'unya maneno, Huyu " Nabii wa kuzimu" ni miongoni mwa " wasiojulikana" wanaohusika na mauaji na mateso ya watu. Huyu idara yake anayoisimamia ni hii ya kujifanya mtumishi wa Mungu, Nabii. Polisi shughulikeni naye, akiminywa sawasawa atawapa kila mnachokihitaji...!

¶ Nahitimisha kwa kuwaasa familia ya Mh. Freeman Mbowe, na CHADEMA msije mkaingia kwenye mtego huu wa shetani mwenyewe, mtaangamia...

¶ Huo utokao kwa mtu huyu ajiitaye Nabii siyo ujumbe wa Mungu, ni ujumbe toka KUZIMU. Huyu ni mjumbe halisi was shetani....

Hawezi kufa mtu hapo. Mbowe hawezi kufa nje ya mapenzi ya Mungu. Hawezi kufa kwa sbb ya huyu mtu ajiitaye Nabii na ujumbe wake toka kuzimu.....

¶. Mungu wa PEKEE, na KWELI na MWENYE upendo yupo na kila mtu hapo hapo mlipo. Mungu Yehova anampenda kila mtu bila masharti...

¶ La muhimu la kufanya ni kila mtu kujiachilia kwake, kila mmoja wetu kumimina mioyo na nafsi zetu kwake Yehova ktk Yesu Kristo na kusema;

"...Mungu Baba Mwenyezi nakuja kwako Leo. Mimi ni mwenye dhambi. Nakiri kwa KINYWA changu na kuamini kwa MOYO wangu kuwa Yesu Kristo alisulubiwa na kufa badala yangu msalabani. Akazikwa na kufufuka siku ya tatu na sasa yu hai mbinguni. Alichukua adhabu ya dhambi zangu. Napokea msamaha ambao Mungu anaoutoa kwangu. Nashukuru kwa uhusiano wake na mimi alionipa sasa. Kuanzia sasa nitaishi kila siku katika uhusiano binafsi na Mungu na naahidi kuwashirikisha pia wengine ukweli huu. AMINA..."

¶ Ni rahisi tu namna hii. Ni kwa kusema na kuamini tu. Hakuna gharama yoyote maana gharama yote ilishalipwa na Yesu Kristo miaka zaidi ya 2000 iliyopita kwa kifo chake msalabani...

Bwana awabariki na kuwatia nguvu nyote. Mungu anawapenda. Chukueni uamuzi sahihi..
View attachment 1474891
Ukiota ndoto tu ambayo haijatokea na labda isitokee kabisa unawekwa lockup zaidi ya miezi mitano na unanyimwa na dhamana pia. Ukitabiri yakatokea unakuwa shujaa na unapewa nafasi na vyombo vya habari kujitangaza zaidi na kuzidisha umaarufu wako wakati watu wako na POP na pengine ICU.
I do cry for my country.
 
Tanzania.
There is something terribly wrong happening right in front of our eyes; and yet we can't see it!
 
Aendelee tu
FB_IMG_1591880696907.jpeg
 
Mkuu @Kitaturu,ubarikiwe sana kwa bandiko lililosheheni utafiti wa kibiblia. Kongole sana mkuu.
 
Huyo Ni mjasiliadini aliyepangwa na wahusika ,Anajua utabiri gani huyo Pimbi,Basi atabiri atakufa lini yeye mishimo tujue Kama Anajua kutabili kweli.
 
Kwamba Mbowe lazima afe?

Ila wakuu naona kama mnavuka mipaka ya utu aisee. Kwanini siasa zinawazidi nguvu hivi? Unashangiliaje mwenzako afe hata kama mko vyama tofauti?

Hivi kwa mtu kama wewe, ukiwa na nafasi au ukiwa na Bunduki utashindwa kufanya mauaji kweli mkuu?
UKIMWONA BINADAMU FULANI ANAMWOMBEA NA KUMTABIRIA MWENZAKE KIFO UJUE HUYO ANA LAKE JAMBO, KWA SABABU KIFO KIPO TU HATA USIPOJISUMBUA KUNITABIRIA NAJUA SIKU MOJA NITAKUFA TU. KWANI WALIOKUFA WOTE WALITABIRIWA NA HUYU MASHIMO, A.KA JIWE?
 
Back
Top Bottom