Mch. Peter Msigwa, kwa hili tukio la Mbowe nenda katubu kwa uzushi wako kama kweli wewe ni mtumishi wa Mungu

Dam55

JF-Expert Member
Oct 8, 2015
5,592
11,830
Maneno yangu ni machache tu kwako na najua upo humu na utaupata ujumbe huu.

Wewe kama mtumishi wa Mungu tena mchungaji kabisa ulichokifanya si haki mbele za Mungu.

Umeeneza uzushi kwamba mh Mbowe alishambuliwa na watu walio mshambulia walikuwa wanatamka maneno "wewe ndio unamsumbua Rais tumekuja kukuvunja ili tuone utafanya vipi kampeni"

Maneno haya umeyatoa wapi??
Ulikuwa na dhamira gani kuongopa namna hii?

Mbowe alikuwa peke ake wakati anashambuliwa kama mlivyo dai sasa wewe haya maneno ulitoa wapi??

Yalirekodiwa na nani hadi wewe ukayasikia??

Mch nenda katubu kwa hili na uwaombe radhi waumini wako kwa hili ulilofanya.

Alafu hizi tabia uziache hazifai kumbuka uliwahi kumsingizia mzee Kinana kuwa ni jangili kwa masilahi yako ya kisiasa na ukakiri mwenyewe kwa ulimi wako leo tena kwanini unafanya kosa lilelile??

Nenda katubu na uombe radhi waumini wako.
 
Wewe unafuata tu jeshi la polisi linachosema sio ajabu kwa sababu wewe ni ccm.Wewe ulibariki tamko la Mambosasa kuwa risasi iliyomuua akwilima ilipigwa juu kisha ikashuka kama mwewe kunyakua binti asiye na hatia.Leo unakuja kufurahia upuuzi mwingine kama huu sio ajabu ila malipo ni hapahapa
 
Maneno yangu ni machache tu kwako na najua upo humu na utaupata ujumbe huu.

Wewe kama mtumishi wa Mungu tena mchungaji kabisa ulichokifanya si haki mbele za Mungu.

Umeeneza uzushi kwamba mh Mbowe alishambuliwa na watu walio mshambulia walikuwa wanatamka maneno "wewe ndio unamsumbua Rais tumekuja kukuvunja ili tuone utafanya vipi kampeni"

Maneno haya umeyatoa wapi??
Ulikuwa na dhamira gani kuongopa namna hii?

Mbowe alikuwa peke ake wakati anashambuliwa kama mlivyo dai sasa wewe haya maneno ulitoa wapi??

Yalirekodiwa na nani hadi wewe ukayasikia??

Mch nenda katubu kwa hili na uwaombe radhi waumini wako kwa hili ulilofanya.

Alafu hizi tabia uziache hazifai kumbuka uliwahi kumsingizia mzee Kinana kuwa ni jangili kwa masilahi yako ya kisiasa na ukakiri mwenyewe kwa ulimi wako leo tena kwanini unafanya kosa lilelile??

Nenda katubu na uombe radhi waumini wako.

Je wewe unayebisha ulikuwepo??
Je unamwakilisha nani hapo??
Je umeongea na Mbowe aliyepigwa??
Nia yenu ni ipi hasa, maana mmekuwa mavuvuzela ya Limumba!!
 
Maneno yangu ni machache tu kwako na najua upo humu na utaupata ujumbe huu.

Wewe kama mtumishi wa Mungu tena mchungaji kabisa ulichokifanya si haki mbele za Mungu.

Umeeneza uzushi kwamba mh Mbowe alishambuliwa na watu walio mshambulia walikuwa wanatamka maneno "wewe ndio unamsumbua Rais tumekuja kukuvunja ili tuone utafanya vipi kampeni"

Maneno haya umeyatoa wapi??
Ulikuwa na dhamira gani kuongopa namna hii?

Mbowe alikuwa peke ake wakati anashambuliwa kama mlivyo dai sasa wewe haya maneno ulitoa wapi??

Yalirekodiwa na nani hadi wewe ukayasikia??

Mch nenda katubu kwa hili na uwaombe radhi waumini wako kwa hili ulilofanya.

Alafu hizi tabia uziache hazifai kumbuka uliwahi kumsingizia mzee Kinana kuwa ni jangili kwa masilahi yako ya kisiasa na ukakiri mwenyewe kwa ulimi wako leo tena kwanini unafanya kosa lilelile??

Nenda katubu na uombe radhi waumini wako.
Kichwa chako kidogo, Ni mapema mno kumuhukumu Msingwa.
Subr muhusika apone aje atoe evidence kama alishambuliwa au sivyo.
Usipende sana kuwaamini hawa policcm. Kama wanajua kutoa majibu hata uchunguzi wangetoa ya bensanane, lisu hata yule dogo Nondo haieleweki mpaka leo alitekwa au alijiteka.
 
Huyo ni mzoefu kwa uzushi!

Juzi tu kamuomba radhi Kinana kwa jambo hilohilo.

Pole kwa hao wanaoenda kumsikiliza mzushi huko kanisani.
 
Wewe ulikuwepo kwenye eneo la tukio?

Au unaamini jeshi la polisi linalofanya kazi kisiasa?!
Thibitisha kuwa jeshi la polisi linafanya kazi kisiasa kama unavyodai au ni kwasababu wametoa ripoti kinyume na matarajio yako??

Wewe ulikuwepo eneo la tukio uka
Thibitisha kama kapigwa kweli??

Nimeuliza hayo maneno Msigwa aliyasikia vipi wakati walidai kuwa alikuwa pekeake wakati anashambuliwa??
 
Maneno yangu ni machache tu kwako na najua upo humu na utaupata ujumbe huu.

Wewe kama mtumishi wa Mungu tena mchungaji kabisa ulichokifanya si haki mbele za Mungu.

Umeeneza uzushi kwamba mh Mbowe alishambuliwa na watu walio mshambulia walikuwa wanatamka maneno "wewe ndio unamsumbua Rais tumekuja kukuvunja ili tuone utafanya vipi kampeni"

Maneno haya umeyatoa wapi??
Ulikuwa na dhamira gani kuongopa namna hii?

Mbowe alikuwa peke ake wakati anashambuliwa kama mlivyo dai sasa wewe haya maneno ulitoa wapi??

Yalirekodiwa na nani hadi wewe ukayasikia??

Mch nenda katubu kwa hili na uwaombe radhi waumini wako kwa hili ulilofanya.

Alafu hizi tabia uziache hazifai kumbuka uliwahi kumsingizia mzee Kinana kuwa ni jangili kwa masilahi yako ya kisiasa na ukakiri mwenyewe kwa ulimi wako leo tena kwanini unafanya kosa lilelile??

Nenda katubu na uombe radhi waumini wako.
Mkuu huyo wala si mchungaji ni muuza mitumba pale Iringa!! Ameabika sana huyu mchingaji fake!!
 
Maneno yangu ni machache tu kwako na najua upo humu na utaupata ujumbe huu.

Wewe kama mtumishi wa Mungu tena mchungaji kabisa ulichokifanya si haki mbele za Mungu.

Umeeneza uzushi kwamba mh Mbowe alishambuliwa na watu walio mshambulia walikuwa wanatamka maneno "wewe ndio unamsumbua Rais tumekuja kukuvunja ili tuone utafanya vipi kampeni"

Maneno haya umeyatoa wapi??
Ulikuwa na dhamira gani kuongopa namna hii?

Mbowe alikuwa peke ake wakati anashambuliwa kama mlivyo dai sasa wewe haya maneno ulitoa wapi??

Yalirekodiwa na nani hadi wewe ukayasikia??

Mch nenda katubu kwa hili na uwaombe radhi waumini wako kwa hili ulilofanya.

Alafu hizi tabia uziache hazifai kumbuka uliwahi kumsingizia mzee Kinana kuwa ni jangili kwa masilahi yako ya kisiasa na ukakiri mwenyewe kwa ulimi wako leo tena kwanini unafanya kosa lilelile??

Nenda katubu na uombe radhi waumini wako.
Wamezoea kusema uongo sifa kuu ya chadema ni uongo umesahau uongo aliomzushia kinana? Halafu anajiita mchungaji
 
Mkuu, hapo si unaongelea maji na samaki?

Unataka Msigwa atoke majini ili afe?
Wacha aseme uwongo maisha yaendelee
 
Hivi walio muwekea sumu mzee Mangula wameisha kamatwa?
Hivi waliomteka MO wameisha kamatwa?
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom