SPECIAL PRAYERS FOR WAITING MOTHERS
1. I bring to judgement before the Lord, every spiritual cause that is delaying your child bearing in Jesus name.
2. Every physical cause of your delay, that has been hidden to medical knowledge, I ask that they be made obvious for immediate correction in...
Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo imewapitisha Tundu Antipas Lissu Lazaro Nyalandu na Dr Mayrose Majige kusaka nafasi ya kuwania Urais Tanzania.
Katika kikao chake cha Kamati Kuu kilichomalizika usiku mnene majina hayo Leo yataletwa ndani ya Baraza Kuu ambao watakata mzizi wa...
Ni mida ya jioni nashuka kwenye boti ya Azam kutoka bongo Islamic state (Zanzibar).
Mfukoni nimebakiwa na Shilingi mia tano huku Safari yangu inabidi nielekee Mbezi Kimara, simu imezima chaji lakini pia safari yangu toka Bongo Islamic state ikiwa ni ya shida maana nilienda kiutafutaji huko...
Usioe ama. Kuolewa. kukamilisha IBADA ya ndoa
Italia
WHY IT IS IMPORTANT TO MARRY A PRAYERFUL SPOUSE
1. God will teach him/her how to love you through prayer
2. God will reveal things concerning you to him/her for your welfare
3. She/he will nourish your prayer life
4. She/he will protect...
Vyemaa tukaelimishana tulipotoka na tunapoenda. Watanzania wengi husubiri kumsifia mtu pale waaposika amelala anaitwa hayati ama marehemu
Wengi huonà hapa ipo muda muafaka kumsifia marehemu. Ndugu zangu nimekuwa nikilaani sana marehemu hasemwi vibaya sababu hawezi tena kujitetea
Hivyo hivyo...
Salaam Wakuu,
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tanzania Bara Tundu Lissu anatarajiwa kuwasili nchini leo saa saba na dakika ishirini saa za afrika Mashariki.
Lissu amekaa nje ya nchi miaka mitatu sasa baada ya kuondoka kwa shambulio la risasi lililotokea mjini...
chadema
corona
halima mdee
hotuba
inawezekana
jeshi
jeshi la polisi
lissu
magufuli
mimi
mpango
mungu
ofisi
picha
polisi
risasi
soma
taifa
tanzania
tundu lissu
urais
video
vyombo vya habari
watanzania
waziri
Niko nazunguka zunguka hapa JNIA, Kwenye shughuli zangu lakini pia niko naangalia mikusanyiko ya watu kama wapo sioni dalili ya mkusanyiko.
Maana yake mambo ya wahamasishaji wa mitandaoni kutokutii mamlaka za nchi zimepuuzwa wananchi wako kwenye msiba mzito na maombolezo ya Kitaifa.
Wananchi...
Wabobezi wa jukwaa hili naombeni mtoe maoni yenu hapa. Nina Mahusiano na wadada 2 wenye sifa tofauti.
1. Wa Kwanza ni mdada amebarikiwa shepu, sura ya kuvutia na mautundu ya kutosha kwenye 6 kwa 6. Hakika nimuonapo nafsi yangu husuuzika sana, na hata nikiwa naye barabarani najiona mm ndiye...
Nasikia Tafiti mbalimbali zinafanyika huko Mars ili hawa jamaa wahame huku Duniani, maana huyu Mungu huku Wamemkataa mpaka basi na anaonesha kuwazidi Nguvu. Wameshakubali huku Duniani inawezekana Kuna Mungu wa kweli sasa hili linawauma sana wao ndio wanataka wawe Miungu ya Dunia hii lakini sasa...
Askofu mkuu wa kanisa la ufufuo na uzima Dkt. Gwajima amesema kwa sasa mitume wamekuwa wengi hivyo Mungu amemtuma aiache madhabahu na aende akaitumikie nchi na baadae kupitia nchi ataitumikia dunia.
Askofu Gwajima ambaye ni mgombea ubunge jimbo la kawe ameyasema haya katika ibada kanisani...
Kila nafsi lazima itaonja mauti, hilo lipo na litakuwepo siku zote, ila kuna wengine wakiondoka tunaachwa na maswali mengi sana na kuomba bora wangevuta muda kidogo, hata hivyo hatulaumu ila kumshukuru Mungu maana ndiye mwenye uwezo wa kutoa na kutwaa, muigizaji na mcheshi bwana Charles Bukeko...
Najua tukokatika kipindi cha mauzo.
Makundi kama waumini makanisani, bodaboda, wafanyabiashara ndogondogo,mashabiki wa muziki, timu za mpira et al ni rahisi tu kuuzwa kwa mwanasiasa fulani nyakati hizi.
Mfano: Mwaka 2015 Gwajima alimpa Lowassa waumini wake, na mwaka huu kampa Magufuli.
Pia...
Nimeona niwawekee sehemu ya kiapo cha mtu aliyeteuliwa na " kukubali" uteuzi wa kuwa mkuu wa mkoa.
Nimeupenda sana huu utaratibu unaotumiwa na Rais Magufuli wa Kata mti panda mti, watu wenye sifa ni wengi sana.
Maendeleo hayana vyama
Ningewashangaa kweli kweli wale ambao walipewa Dhamana ya Kumchagua na Kumpitisha Mrithi wa Rais wa Zanzibar Dkt. Shein kama wangefanya Kosa kubwa na la Kiufundi kabisa la Kutomchagua Mtu ambaye GENTAMYCINE nadhani si tu kwamba anafaa kuwa Rais wa huko Kisiwani Zanzibar bali naona kabisa kuwa...
Asilimia kubwa ya idadi ya watu duniani ni size ya kati ya miaka 14-55 ambao wengi ni Vijana! Hiki ni kizazi kilichotabiriwa kizazi cha nyoka ambacho hakitataka kuyasikiliza maneno ya Mungu! Ni kizazi ambacho haya ndo kinachoyafurahia.
1: Kumiliki pesa nyingi ambazo sio za jasho!
2: Kupenda...
Habari wapendwa? Natumaini Wazima wa Afya.
Twende kwenye hoja yetu, ni hivi: Jumapili kulikuwa na Tamasha la kwaya mbalimbali Lengo ni Kumshukuru MUNGU, Sasa kwenye mida kama ya Usiku hivi Kulikuwa na kama Tv ikamuonesha Rais John Pombe Magufuli akiwasalimia waliohudhuria.
Ila Nyuma ya...
Kama umetazama kwenye Tv, umesikiliza kwenye redio au umehudhuria ibada ya leo at Arise and Shine utakuwa SHUHUDA wangu katika hili.
Kuna dada anaitwa NEEMA BAKARI anatokea Tanga, alikuwa mmoja kati ya waliosimama madhabahuni kutoa SHUHUDA zao.
Dada anaongea vizuri hatari. Yani anaongea mpaka...
Kwanini hamchukulii hatua shetani ?
Shetani ana nguvu kumliko?
Anafurahishwa na matendo ya shetani?
Wana lengo moja?
Hana njia yoyote ya kumzuia mpaka binadamu tumsaidie?
Kama Gwajima, Mwamposa kweli wanatoa mapepo/mashetani ndani ya watu yeye anashindwa nini kumtoa duniani kabisa?
Mbona...
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa JamiiForums. Mimi mdogo wenu (Last Born) Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty.
Ndugu zangu Watanzania huyu Habibu B. Anga (The Bold) Mungu ampe maisha marefu sana, afya njema pamoja na baraka tele. I sincerely appreciate...