No Escape2
JF-Expert Member
- Jul 4, 2020
- 228
- 323
Nasikia Tafiti mbalimbali zinafanyika huko Mars ili hawa jamaa wahame huku Duniani, maana huyu Mungu huku Wamemkataa mpaka basi na anaonesha kuwazidi Nguvu. Wameshakubali huku Duniani inawezekana Kuna Mungu wa kweli sasa hili linawauma sana wao ndio wanataka wawe Miungu ya Dunia hii lakini sasa inaonekana Inawia vigumu sasa wameamua Kukimbilia huko kusikojulikana.
Wanasahau kabisa Dunia na Mars zipo ndani ya Ulimwengu na Mungu ameumba Ulimwengu sio Dunia pekee. Yatakayowakuta huko Mie simo.
Wanasahau kabisa Dunia na Mars zipo ndani ya Ulimwengu na Mungu ameumba Ulimwengu sio Dunia pekee. Yatakayowakuta huko Mie simo.