Uchaguzi 2020 Salum Jecha Mwenyezi Mungu hataniwi, umelipwa kwa kadri ya matendo yako, sasa subiri makubwa zaidi

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,641
218,091
Tulikuonya mapema sana kwamba Shetani hajawahi kuwa na rafiki, ukatuona wajinga lakini taarifa za siri kutoka kwenye kikao cha CCM Zanzibar cha kuchuja wagombea wa urais wa Zanzibar, jina lako limekatwa kinyama bila hata kujadiliwa, wewe Jecha ndio mtu wa kwanza kufyekwa bila huruma.

Mwenyekiti wa kikao hicho kilichokuchinjia baharini ni yuleyule Shein uliyembeba kwa mbeleko ya chuma bila aibu wala soni, sasa subiri kudhalilika zaidi.

2446891_masoudkipanya_CBuWuTVjcwz.jpg
 
Very strange
Jecha anawauma chadema kuliko hata wanzanibari wenyewe!!!

Nyuzi nyingi na comments nyingi humu za kumponda jecha Ni za watanzania bara sio wanzanibari Tena watanzania bara wenyewe wa chadema lakini wanzanibari Wala wako kimya

Chadema kwa umbeya na udandiaji mambo yasiyowahusu hawajambo
 
Very strange
Jecha anawauma chadema kuliko hata wanzanibari wenyewe!!!

Nyuzi nyingi na comments nyingi humu za kumponda jecha Ni za watanzania bara sio wanzanibari Tena watanzania bara wenyewe wa chadema wanzanibari Wala wako kimya

Chadema kwa umbeya na udandiaji mambo yasiyowahusu hawajambo
Kwani tabia za Nyumbu huzijui?
 
Back
Top Bottom