Mungu anisamehe inaniwia vigumu kuwaamini viongozi wetu wa dini

Superbug

JF-Expert Member
Jan 31, 2018
12,383
30,836
Najaribu kuwapima viongozi wetu wa dini kwangu hapa namaanisha wachungaji wa kikristo naona kama wamepotoka na hawalisaidii taifa.

Kwanini?

1. Angalia idara pendwa wakati ipo chini ya RO .

2. Angalia idara pendwa wakati ipo chini ya mchungaji MK.

3. Angalia idara pendwa wakati huu ipo chini ya DAM.

Hebu hata niwewe mwana great thinker utawaamini wachungaji? Hapa muweke mbali gwjby maana Mimi ameniongezea sababu za kutowaamini Hawa watu. (Wachungaji)

Hakika sio wote wamuitao bwana watauona ufalme wa Mungu.

Super B.
 
Hao mods unawaomba siku hizi kila uzi wanafuta sijui wanataka sisi tusome nini, currently kumekua na uchujaji wa nyuzi nyingi humu mpaka mtu unakereka
 
Hao Kama ulivyosema Ni viongo wa dini, Ni viongozi tu Kama ilivyo viongozi wengine.
Tuna hitaji wahubiri wa kweli na sio viongoizi uto.
 
Viiongozi wa Dini walipaswa wasiwe wanaongozwa na serikal bali wao ni waonyaji na wasimamizi wa watu wote lakini sasa Serikal imewameza wote mwisho wanasifia sifia tu.
 
Najaribu kuwapima viongozi wetu wa dini kwangu hapa namaanisha wachungaji wa kikristo naona kama wamepotoka na hawalisaidii taifa.

Kwanini?

1. Angalia idara pendwa wakati ipo chini ya RO .

2. Angalia idara pendwa wakati ipo chini ya mchungaji MK.

3. Angalia idara pendwa wakati huu ipo chini ya DAM.

Hebu hata niwewe mwana great thinker utawaamini wachungaji? Hapa muweke mbali gwjby maana Mimi ameniongezea sababu za kutowaamini Hawa watu. (Wachungaji)

Hakika sio wote wamuitao bwana watauona ufalme wa Mungu.

Super B.
Mtume Paul alisema nifateni ( tujifunze kwake na kuishi kama yeye ) mimi kama ninavyo mfata Kristo Yesu . Ukishaona mchungaji wako mzushi mzushi hamfati Kristo Yesu vile ipasavyo na ambavyo neno linavyotaka.. mpige chini mapema. Jifunze direct mwenyewe kwa Mungu na kumfata ili kizazi chako kije kujifunza kupia wewe.. sie wachungaji wa now day tumeharibika na tamaa ya pesa na mademu na umaarufu mavi 😀😀😀
 
Najaribu kuwapima viongozi wetu wa dini kwangu hapa namaanisha wachungaji wa kikristo naona kama wamepotoka na hawalisaidii taifa.

Kwanini?

1. Angalia idara pendwa wakati ipo chini ya RO .

2. Angalia idara pendwa wakati ipo chini ya mchungaji MK.

3. Angalia idara pendwa wakati huu ipo chini ya DAM.

Hebu hata niwewe mwana great thinker utawaamini wachungaji? Hapa muweke mbali gwjby maana Mimi ameniongezea sababu za kutowaamini Hawa watu. (Wachungaji)

Hakika sio wote wamuitao bwana watauona ufalme wa Mungu.

Super B.
kwani umeagizwa wapi na nani kuwaamini viongozi wa dini mkuu?
Tupe aya
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom